Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

Ahahaha haya bwana, naona umeamua kuii judge straight.
Okay 😂
 
Movie ina dragoni mara mazombii Yale sijui yan utoto mwingii GoT amn muvi hapa.
 
nime rudia Leo got, season 5 ep 8, kile kipande Wana pigana na Yale majitu.

John snow mwenyewe Ali zibuliwa, mpaka akawa ana ona wenge.
Eti dragon glass😆😁
Army of the dead au White walkers, My heart melt Viserion alipouliwa na the Night King halafu anamfufua na kuwa dragon wake.
 
Watched both breaking bad and GOt more than twice

Breaking bad is a master piece no dragons no what
Just pure realistic life
 
3 Body Problem ni nzuri? Unairecommed?
 
Shongun ni nzuri ila wazee GOT 🙌…….. labda ngoja tusubir muondelezo wake huko mbelenii ila mpaka sasa bado viwango vya GOT havijafikiwa
Kwa mimi ukitaka nifurahie movie au fasihi yako usizunguke saaanaaa na kuweka matandabui kibaaooo.
Movie kama Shogun aisee kwa mimi nadiriki kusema ni nzuri kuliko GOT kwasababu mbili,kwanza stori yake inaeleweka pia ina mlolongo mzuri na inavutia,pili mpangilio wa matukio ni mzuri.
Mwisho Shogun imekamilisha kazi kubwa ya fasihi ya kupeleka ujumbe kwa hadhira.
Mule mtajifunza kuwa kumbe kuna mila na desturi zilikua zinafanyika ambazo kandamifu kipindi cha nyuma.
 
“From” ni series kali sana, wametoa trailer yake ya season 3
Nawangoja sana nijue Nini kitafuata kwa wale walio kule kijijini je watadhani yule mama kafa na yeye huku mjini watamuelewa vipi akiwaambia ya kule na kuanza kutafuta kile Kijiji
 
Wanaumwa hao wanaufananisha hii hadithi ya watoto na GOT
 
We mzee hiyo poet ya euron ni season ya ngapi na episode ipi naomba kufahamishwa bado sijaimaliza GOT Series yangu bora ilikuwaga merlin naona inaenda kupitwa
 
We mzee hiyo poet ya euron ni season ya ngapi na episode ipi naomba kufahamishwa bado sijaimaliza GOT Series yangu bora ilikuwaga merlin naona inaenda kupitwa
Dah kama ndio unaangalia basi unapata Raha sana anyway nadhani ni season 6 au 7 kwa episode siwezi sema maana ni mda kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…