WanaJamiiForums tumeonyesha Ubinafsi wetu kwa Pascal Mayalla, tumeshindwa kumpigania kwa kumpamba

Ukweli wanaJamiiForums kwa gwiji wetu Pascal Mayalla tumeonyesha chuki ya wazi ikiwemo mimi, namuomba radhi.

Ingawa Pascal ni CCM ila alikuwa hana ule u CCM kama makada wengine. Pasco ni mhanga wa mambo mengi yaliyotokea kwenye utawala huu ikiwemo kusitishiwa tenda zake muhimu zilizokuwa zikimpa ugali na watoto kwenda chooni. Pamoja na wengi wetu kujua kuwa Pasco alitia nia, tulijitenga naye na kwa hapa hatukuwaza vizuri.

Ingekuwa vizuri sana kwa Pasco kuweo bungeni kuliko mwana CCM yeyote yule na jukwaa letu hili pendwa lingepata sauti kubwa bungeni. Ndiye mwanajamii forum pekee aliyejitokeza hadharani na kuitaja Jamii forum tena kwa herufi kubwa. Hakuna mpinzani wala mwana CCM yeyote aliyewahi na hadi sasa hakuna.

Kumkosa Pasco bungeni ni huku tukijua kuwa alikuwa akiipa Jf kipaumbele cha kwanza kabisa, pia huku sisi tukijibaragaza humu tulishindwa kabisa kumfanya asikike walau hata kwa kumuanzishia vi thread vya kumpamba, tumecheza vibaya. Pia Pasco ni mwana CCM ambaye anaiheshimu sana katiba, hapa jukwaa letu kama ikitokea likaguswa huyu angesimama kidete. Sauti ya mwanaccm mmoja inasikika pale anapopinga kitu kuliko sauti ya wapinzani 1000. Tumemkosa mwanaccm nyutro na huenda tukaja kuona madhara yake baadaye! Huyu asingeegemea chama! Huyu kati ya chama na Jf angesimama na Jf!

So sory bro, tumekukosea na nikiri kuwa hakuna tena mwanaccm wa aina yako ambaye tungempata ndani ya bunge lijalo.
Yumo kwenye viti maalimu vya waandishi wa habari yeye na Mwakyembe.
 
Paskali ni mtu bingwa sana sema alichelewa kuanza mapambio muda uliobaki miezi miwili hawezi kuteuliwa na CCM ndio inapumzishwa 28 Oct 2020.
 
Tatizo Hana msimamo, mara nyeupe mara nyeusi fyuum Pascal Mayalla 😀
 
Naunga mkono hoja.
 
Hili jukwaa la Chadema, akapambwe kwenye majukwaa ya CCM.
 
Paskali alifeli maeneo mawili.

1. Jimbo aliloamua kugombea; Kawe palikuwa na watia nia wengi sana, hicho kwa namna moja au nyingine kilichangia kudidimiza uwepo wa Paskali uonekane, mind set ya mwenyekiti wao somehow ilikuwa confused, plus uwepo wa msukuma mwenzake aliepewa jimbo ambae kiaina ni popular zaidi ya Paskali. Angeenda majimbo ya mikoani huko Kanda ya Ziwa angeongeza chances za kushinda. Angefanya kama Mwana FA angetoboa.

2. Ustaarabu uliopitiliza; Paskali alificha nia yake ya kugombea Kawe muda mrefu sana, kwa kuhofia nafasi yake ya uandishi wa habari ingeweza kumsababishia matatizo mbeleni aonekane ameanza kujifagilia, hapa napo alikosea, kwenye uchaguzi kila mgombea anavutia kwake, kwa kutumia his all necessary means. Sasa Paskali alificha hii silaha yake ambayo nayo ina umuhimu mkubwa sana, kaja kuitoa mwishoni binafsi nilijua baada ya yeye mwenyewe kusema kaambulia zero!,hili likamsababishia achelewe kutambulika kwa wajumbe.

My Take; Asikate tamaa, ndoto siku zote haifi mpaka mtu aingie kaburini, next time kuwa open, set your targets, wacha watu wafahamu nia yako mapema, atambue hakuna uchaguzi usio na figisu ustaarabu mwingi hautakiwi, ule sio uchaguzi wa uchungaji, wish him all the best.
 
Mkuu Pasco aligombea kwa tiketi ya ccm, wanaccm wa hapa jukwaani ndio walipaswa kumuunga mkono. Aliwahi kusema kwenye uzi fulani tumuunge mkono, nikamwambia tumuunge mkono akapambane na Mdee? Sisi wapinzani tunaimani na Mdee na sio mwanaccm yoyote.
 
Asikate tamaa one day Yes naamini uwezo wake, mlango mmoja ukifungwa naamini mingine mingi inafunguka. Mimi naamini Pasco ana bright future naye zamu yake itafika tu.
 
Ukweli wanaJamiiForums kwa gwiji wetu Pascal Mayalla tumeonyesha chuki ya wazi ikiwemo mimi, namuomba radhi.

Ingawa Pascal ni CCM ila alikuwa hana ule u CCM kama makada wengine. Pasco ni mhanga wa mambo mengi yaliyotokea kwenye utawala huu ikiwemo kusitishiwa tenda zake muhimu zilizokuwa zikimpa ugali na watoto kwenda chooni. Pamoja na wengi wetu kujua kuwa Pasco alitia nia, tulijitenga naye na kwa hapa hatukuwaza vizuri.

Ingekuwa vizuri sana kwa Pasco kuweo bungeni kuliko mwana CCM yeyote yule na jukwaa letu hili pendwa lingepata sauti kubwa bungeni. Ndiye mwanajamii forum pekee aliyejitokeza hadharani na kuitaja Jamii forum tena kwa herufi kubwa. Hakuna mpinzani wala mwana CCM yeyote aliyewahi na hadi sasa hakuna.

Kumkosa Pasco bungeni ni huku tukijua kuwa alikuwa akiipa Jf kipaumbele cha kwanza kabisa, pia huku sisi tukijibaragaza humu tulishindwa kabisa kumfanya asikike walau hata kwa kumuanzishia vi thread vya kumpamba, tumecheza vibaya. Pia Pasco ni mwana CCM ambaye anaiheshimu sana katiba, hapa jukwaa letu kama ikitokea likaguswa huyu angesimama kidete. Sauti ya mwanaccm mmoja inasikika pale anapopinga kitu kuliko sauti ya wapinzani 1000. Tumemkosa mwanaccm nyutro na huenda tukaja kuona madhara yake baadaye! Huyu asingeegemea chama! Huyu kati ya chama na Jf angesimama na Jf!

So sory bro, tumekukosea na nikiri kuwa hakuna tena mwanaccm wa aina yako ambaye tungempata ndani ya bunge lijalo.

Ebwana eeh tutake radhi kwanza, huyu Paskal mwishoni alizidi shobo kwa Jiwe kitu ambacho kilikuwa lazima kimgharimu kama Bashite, waache wafu wawazike wafu wao na kilio hiki hakituhusu. Kapewa dakika moja ya kujieleza kashindwa kabakia kujichekesha, Paskal wa kiti moto sio huyu kabisa.
 
Back
Top Bottom