WanaJamiiForums tumeonyesha Ubinafsi wetu kwa Pascal Mayalla, tumeshindwa kumpigania kwa kumpamba

Ukweli wanaJamiiForums kwa gwiji wetu Pascal Mayalla tumeonyesha chuki ya wazi ikiwemo mimi, namuomba radhi.

Ingawa Pascal ni CCM ila alikuwa hana ule u CCM kama makada wengine. Pasco ni mhanga wa mambo mengi yaliyotokea kwenye utawala huu ikiwemo kusitishiwa tenda zake muhimu zilizokuwa zikimpa ugali na watoto kwenda chooni. Pamoja na wengi wetu kujua kuwa Pasco alitia nia, tulijitenga naye na kwa hapa hatukuwaza vizuri.

Ingekuwa vizuri sana kwa Pasco kuweo bungeni kuliko mwana CCM yeyote yule na jukwaa letu hili pendwa lingepata sauti kubwa bungeni. Ndiye mwanajamii forum pekee aliyejitokeza hadharani na kuitaja Jamii forum tena kwa herufi kubwa. Hakuna mpinzani wala mwana CCM yeyote aliyewahi na hadi sasa hakuna.

Kumkosa Pasco bungeni ni huku tukijua kuwa alikuwa akiipa Jf kipaumbele cha kwanza kabisa, pia huku sisi tukijibaragaza humu tulishindwa kabisa kumfanya asikike walau hata kwa kumuanzishia vi thread vya kumpamba, tumecheza vibaya. Pia Pasco ni mwana CCM ambaye anaiheshimu sana katiba, hapa jukwaa letu kama ikitokea likaguswa huyu angesimama kidete. Sauti ya mwanaccm mmoja inasikika pale anapopinga kitu kuliko sauti ya wapinzani 1000. Tumemkosa mwanaccm nyutro na huenda tukaja kuona madhara yake baadaye! Huyu asingeegemea chama! Huyu kati ya chama na Jf angesimama na Jf!

So sory bro, tumekukosea na nikiri kuwa hakuna tena mwanaccm wa aina yako ambaye tungempata ndani ya bunge lijalo.
Umenena kweli tupu mkuu ila ni kweli ambayo ina mashaka ndani yake kwani haijakamilika.

Pascally Mayalla alipaswa kuja kutuomba sababu hatukujua kama anahitaji mchango wetu kama wana - jamii forum katika hali uliyo ielezea mkuu.
 
Ukweli wanaJamiiForums kwa gwiji wetu Pascal Mayalla tumeonyesha chuki ya wazi ikiwemo mimi, namuomba radhi.

Ingawa Pascal ni CCM ila alikuwa hana ule u CCM kama makada wengine. Pasco ni mhanga wa mambo mengi yaliyotokea kwenye utawala huu ikiwemo kusitishiwa tenda zake muhimu zilizokuwa zikimpa ugali na watoto kwenda chooni. Pamoja na wengi wetu kujua kuwa Pasco alitia nia, tulijitenga naye na kwa hapa hatukuwaza vizuri.

Ingekuwa vizuri sana kwa Pasco kuweo bungeni kuliko mwana CCM yeyote yule na jukwaa letu hili pendwa lingepata sauti kubwa bungeni. Ndiye mwanajamii forum pekee aliyejitokeza hadharani na kuitaja Jamii forum tena kwa herufi kubwa. Hakuna mpinzani wala mwana CCM yeyote aliyewahi na hadi sasa hakuna.

Kumkosa Pasco bungeni ni huku tukijua kuwa alikuwa akiipa Jf kipaumbele cha kwanza kabisa, pia huku sisi tukijibaragaza humu tulishindwa kabisa kumfanya asikike walau hata kwa kumuanzishia vi thread vya kumpamba, tumecheza vibaya. Pia Pasco ni mwana CCM ambaye anaiheshimu sana katiba, hapa jukwaa letu kama ikitokea likaguswa huyu angesimama kidete. Sauti ya mwanaccm mmoja inasikika pale anapopinga kitu kuliko sauti ya wapinzani 1000. Tumemkosa mwanaccm nyutro na huenda tukaja kuona madhara yake baadaye! Huyu asingeegemea chama! Huyu kati ya chama na Jf angesimama na Jf!

So sory bro, tumekukosea na nikiri kuwa hakuna tena mwanaccm wa aina yako ambaye tungempata ndani ya bunge lijalo.
PM ni mnafki na mkabila tu.
 
Wewe pia ni mnafiki kama Paskali dah!
 
Hapana Hawa wanabadilika, kumbuka pole
Pole na Bashiru wa katiba mpya, usijeshangaa yeye akawa waziri wa habari halafu akawa wa Kwanza kutunga sheria za kutubana na pengine kuifuta kabisa. Hii yote Ni kwa sababu jamaa Ni mnafiki original.

Upo sahihi, kama aliweza kumpoteza kabendera , just imagine akiwa waziri itakuwaje.
 
Sasa ulitaka tujigeuze wote wajumbe kwenda kumpigia kura? Labda tatizo ilikuwa Chama maana naona kamaJF members 85% wapo kinyume.
Ukweli wanaJamiiForums kwa gwiji wetu Pascal Mayalla tumeonyesha chuki ya wazi ikiwemo mimi, namuomba radhi.

Ingawa Pascal ni CCM ila alikuwa hana ule u CCM kama makada wengine. Pasco ni mhanga wa mambo mengi yaliyotokea kwenye utawala huu ikiwemo kusitishiwa tenda zake muhimu zilizokuwa zikimpa ugali na watoto kwenda chooni. Pamoja na wengi wetu kujua kuwa Pasco alitia nia, tulijitenga naye na kwa hapa hatukuwaza vizuri.

Ingekuwa vizuri sana kwa Pasco kuweo bungeni kuliko mwana CCM yeyote yule na jukwaa letu hili pendwa lingepata sauti kubwa bungeni. Ndiye mwanajamii forum pekee aliyejitokeza hadharani na kuitaja Jamii forum tena kwa herufi kubwa. Hakuna mpinzani wala mwana CCM yeyote aliyewahi na hadi sasa hakuna.

Kumkosa Pasco bungeni ni huku tukijua kuwa alikuwa akiipa Jf kipaumbele cha kwanza kabisa, pia huku sisi tukijibaragaza humu tulishindwa kabisa kumfanya asikike walau hata kwa kumuanzishia vi thread vya kumpamba, tumecheza vibaya. Pia Pasco ni mwana CCM ambaye anaiheshimu sana katiba, hapa jukwaa letu kama ikitokea likaguswa huyu angesimama kidete. Sauti ya mwanaccm mmoja inasikika pale anapopinga kitu kuliko sauti ya wapinzani 1000. Tumemkosa mwanaccm nyutro na huenda tukaja kuona madhara yake baadaye! Huyu asingeegemea chama! Huyu kati ya chama na Jf angesimama na Jf!

So sory bro, tumekukosea na nikiri kuwa hakuna tena mwanaccm wa aina yako ambaye tungempata ndani ya bunge lijalo.
 
A subiri kipindi kijacho. Awe mvumilivu
Mwenzie shigongo mwaka 2015 alianguka vibaya lakini mwaka huu afadhari.

Hata mnyika nae mwaka 2005 alikuwa choka mbaya pale chadema.lakini mwaka 2010 a kapata ubunge.
Awe mpole aendeleze mapambio uenda atakuja kuonekana mahali

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hahahaha 2025 atazidi kuwa wa "SHIKAMOO" ambao chama hakiwataki.
 
Sio kumreplace Pasco angeenda hata huko kwao koromije Ila hyo haiondoi kuwa yeye Ni mtu smart
Kumuunga mkono Mayalla dhidi ya Mdee ilikuwa ni dhambi kubwa sana kwa taifa.

Wanaccm huwa wanatetea chama chao tu sana wakijitahidi majimbo yao.

While wabunge wa CHADEMA pamoja na uchache wao wanatetea taifa zima kwa nguvu zao zote hata kuhatarisha usalama wao.

Rejea hoja ya Bulaya kuhusu vikokotoo, na Hoja ya Zitto kwenye suala la Escrow.

Sasa hapo kumuondoa Mdee ili Mayalla aende bungeni ni kuwaondolea watanzania milioni 55 mtetezi wao na kuwapelekea wapiga makofi.

Hii dhambi nani yuko tayari kuibeba ?
 
Ila siunajua chaguzi za sikuhizi wananchi wanaamuliwa Kama serikali za mitaa, so tujiandae Hadi 2925 Kama hatuna bunge tu maana wakurugenzi walishapewa maagizo kuwa marufuku kutangaza upinzani, so tujiandae tu wote Hadi hii awamu iishe maana bunge lenye wabunge 99% CCM Ni hasara kwa taifa maana kazi yao kubwa kusifia Ni ndiyo tu.
So Pasco kupata nafasi kungekuwa Bora maana atleast ana logic tofauti na the rest
 
Tukiwaruhusu ccm wakaongoze bunge wanaenda kubadilisha katiba wale.

By hooks or by crooks tuhakikishe tunapunguza ile 2/3 majority waliyonayo bungeni.

Nje na hapo wanaenda kubadilisha katiba wamuongezee muda yesu.
 
Angepita kirahisi mno kama angegombea huko Simiyu au Buchosa..

Sasa unagombea Kawe? Seriously?

Ataendaje kugombea huko wakati hajulikani, amebatizwa Dsalaam pale Saint Peters, komunio Saint Peters, kipaimara Saint Peters, ndoa Saint Peters na hata misa ya kifo chake ameshatueleza humu kwamba itakuwa ni Saint Peters.
 
Tukiwaruhusu ccm wakaongoze bunge wanaenda kubadilisha katiba wale.

By hooks or by crooks tuhakikishe tunapunguza ile 2/3 majority waliyonayo bungeni.

Nje na hapo wanaenda kubadilisha katiba wamuongezee muda yesu.
Sasa na Zama hizi yale Yale ya kura serikali za mtaa
 
Umeleta hoja kiungwana sana.Hongera kwa hilo maana hoja zako zinashawishi,pamoja na hayo;
Kitendo cha kuwaunga mkono wanyonyaji/wakandamizaji,wabadhilifu,watu wasio na mbinu za kukuza uchumi wetu ndo kimemwangusha kaka mkubwa wetu.Bora angepitia upande ulee...
 
Back
Top Bottom