WanaJamiiForums tumeonyesha Ubinafsi wetu kwa Pascal Mayalla, tumeshindwa kumpigania kwa kumpamba

Boss G Sam Undumiwakuwili na Double Standard zake ndio zimemuangusha.
Hata maandiko yanasema, wa kusujudiwa ni Mungu pekee.
Sasa kakosa yote, Kakosa Tenda zake, Kakosa Mjengoni.
Uzuri hajaanguka mwenyewe, Kuna Vikisi vimeng'oka Buaaanaa ....
So kifo cha wengi .....


 
Mkuu, upo sahihi sana nami ni msomaji mzuri wa maandiko yake hapa JF na ninamuheshimu pia kwa uandishi wake ambao nahisi wengi wetu humu hatujaijua falsafa yake vizuri.
Kikwazo ni huo unyutro katika chama na utetezi wa JF huenda ndiyo vizingiti vikuu kupata uteuzi wa kugombea ubunge. Hivi ni nani anataka unyutro kwenye chama cha siasa ? Ateuliwe then akapige madongo ya kiaina kwa wateuzi wake ? Haiwezekani hasa kwenye siasa, ni lazima awe mwanachama wa kweli, kukitetea chama hata pale kinapoteleza. Hawezi kuwa mwanachama ' bora' mguu mmoja ndani mwingine nje aidha abadilike mazima, awe pure politician. Je ataweza ?
 
Kuna Uzi humu ulihusu kipindi cha star TV kwamba waandishi wa Habari wasijihusishe na Chama vya Siasa na kurejea tena kwenye uandishi, lazima atakuwa biased, ilishauliwa ukiingia siasani baki huko mazima km alivyofanya Mwl Chadema baada ya kuondoka channel 10. huenda kazingatia hili sasa yupo huko mazima. Tumuombee Uendelee kupata MAFANIKIO kwa kuwa SOTE twahangsikia watoto wetu mahitaji wa msingi
 
Mkuu Pasco aligombea kwa tiketi ya ccm, wanaccm wa hapa jukwaani ndio walipaswa kumuunga mkono. Aliwahi kusema kwenye uzi fulani tumuunge mkono, nikamwambia tumuunge mkono akapambane na Mdee? Sisi wapinzani tunaimani na Mdee na sio mwanacdm yoyote.
Uko sahihi kabisa makada wa Ccm wa humu jukwaani ndio waliotakiwa kumuunga mkono.

Wengine kumuunga mkono ni kusaliti wagombea wetu na vyama vyetu.
 

Pasco anaelekea 70s sasa
 
Ukweli wanaJamiiForums kwa gwiji wetu Pascal Mayalla tumeonyesha chuki ya wazi ikiwemo mimi, namuomba radhi.
...
So sory bro, tumekukosea na nikiri kuwa hakuna tena mwanaccm wa aina yako ambaye tungempata ndani ya bunge lijalo.

Mkuu G Sam, najiuliza imekuaje umkumbuke Paskali wakati wewe ni wa mlengo mwingine, au unamsanifu na kumfitinisha na chama chake?

Paskali alitumia haki yake kikatiba kuomba ridhaa ya wanachama wenzake wa CCM na uamuzi ukawa huo. Tumpe hongera kwa ujasiri wake huo na kumwombea kila la kheri.
 
Asikate tamaa one day Yes naamini uwezo wake, mlango mmoja ukifungwa naamini mingine mingi inafunguka. Mimi naamini Pasco ana bright future naye zamu yake itafika tu.
Unajua umri wake mkuu? Kwa age yake nadhani its fair to say he lives beyond his future, na kwa bahati mbaya hamna future mbili.
 
Sio kumreplace Pasco angeenda hata huko kwao koromije Ila hyo haiondoi kuwa yeye Ni mtu smart
Sidhani unaweza kuwa smart ukafanya calculated move inayokupa kura 1 mkuu, angekuwa kwenye twenties tungesema ni mwanzo.
 
Sidhani unaweza kuwa smart ukafanya calculated move inayokupa kura 1 mkuu, angekuwa kwenye twenties tungesema ni mwanzo.
Wengine hugombea ili waonekane wapate uteuzi, Sasa Pasco nadhani alimuudhi mzee na lile swali lake ikulu na mzee huweka vitu moyoni, maana Kama tu kumtetea uncle humu JF hakuna anaye mshinda humu, naomba akumbukwe bwana, katambi tu kamshanbulia lisu kateuliwa kugombea ubunge shinyanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…