WanaJamiiForums tumeonyesha Ubinafsi wetu kwa Pascal Mayalla, tumeshindwa kumpigania kwa kumpamba

Unajua umri wake mkuu? Kwa age yake nadhani its fair to say he lives beyond his future, na kwa bahati mbaya hamna future mbili.
Age ni number tu Kuna wanaifanikiwa mapema lakini wanaishi below 40, Kuna wanaochelewa na kuishi mda mrefu, mbona Barack Obama alipata uraisi akiwa 50s na amestaafu, wakati Trump Ni Raisi wa Marekani akiwa na 70s so no formula kila Jambo na wakati wake. Kikubwa tu ndoto huwa haifi mpaka itimie
 
Unaowataja wote ukipitia historia zao utagundua walikuwa focused na wanachokifanya tangu zamani, kwenye hizo age kila mmoja kwa wakati wake urais imekuwa ni peak kwao.
 
Ha haaaa, lile swali nadhani hakuwa amemjua Meko vizuri. Tatizo alikosea kuanza na yule jamaa kwa visasi ni komesha.
 
Unaowataja wote ukipitia historia zao utagundua walikuwa focused na wanachokifanya tangu zamani, kwenye hizo age kila mmoja kwa wakati wake urais imekuwa ni peak kwao.
But duniani kila mtu na njia yake wote hawawezi kutumia njia moja kufikia malengo yao, kila mtu na path yake
 
Yupo zitto kabwe
 
kwani sisi ni wajumbe?
 
Paschal he is no more necessary he is obsoleted the same as mama Tibaijuka Ngeleja and Change
 
Kuna muda huwa nawaza sana jinsi unavyoishi na raia bila ya kupata jibu ila jibu huwa linakuja mwishoni kwa vile watakavyoku-treat ndio unapata jibu kuwa raia wananichukuliaje na wanasimama upande gani.

Maisha haya aisee. Acha tu...!
 
Mzee huwa hasahau Jambo yule, na mtu ka huyo Ni kuwa naye tu makini. Ila mbona wengine huwa ana wasamehe tu jamani
Nadhani kutokana na mood swings za Meko wengine anawatema, kama alivyosema mwenyewe, 'itategemea ameamkaje'
 
Angepita kirahisi mno kama angegombea huko Simiyu au Buchosa..

Sasa unagombea Kawe? Seriously?
Ila The Boss,nakumbuka kipindi Magu anaingia madarakani ulielezea sana umuhimu wa kununua Ndege na nikaona mheshimiwa kafuata ushauri wako but ghafla nikaona unaponda tena ununuzi wa ndege,shida ilikuwa nini
 
Ila The Boss,nakumbuka kipindi Magu anaingia madarakani ulielezea sana umuhimu wa kununua Ndege na nikaona mheshimiwa kafuata ushauri wako but ghafla nikaona unaponda tena ununuzi wa ndege,shida ilikuwa nini


Hebu nikumbushe labda niliongea kitu tofauti..
Kununua ndege ni kitu kizuri Ila unanunua Kwa style gani?
Why ulipe cash??
Je tuna wataalam behind?.

Lengo ni nini?Kufufua ATC?
Je kufufua ATC bila management overhaul ni sahihi?..

Na unanunua ndege ngapi? Gharama je?
Je ni kipaumbele cha taifa Kwa sasa?..
Hakuna means ingine ya kuanza nayo?
 
Aondoe hofu, jina lilishafika mahali husika, akaze roho kidogo na kuwa na imani na Chama chetu, kinajali kuliko upeo wa fikra za wapinzani.
 
Kauli yako kwamba tumemkosa mtu muhimu, ninakubaliana nayo. Lakini kusema kwamba sisi ndiyo tumemhujumu, hiyo siyo kweli. Sisi hatukuwa wajumbe tuliopiga kura, na wala hatukuwa kwenye NEC iliyoidhinisha nani ateuliwe kugombea. Kwa mawazo yanayofanana na yako, jana nililalamika kwamba sikuamini kuona jina la Gwajima kuteuliwa kugombea ubunge wa Kawe, kuacha wote waliotia nia, pamoja na wale waliomshinda kwenye kura za awali. Nilisema afadhali hata Paskali aliyepata nunge kwenye kura za awali, angeweza kutoa mchango wa maana zaidi bungeni. Sidhani kama sisi wana JF kama tulikuwa na cha zaidi cha kufanya. Labda mawazo mengi yakitokea kwenye mitandao yakasikika na wahusika huenda wakamfikiria hata kwenye viti vya kuteuliwa. Shime kwetu sote tunaokuwa na imani naye. Yeye hutoa mawazo yake, hata kama hukubaliani nayo, na anajitambulisha rasmi kwamba ni yeye bila kutumia jina la bandia. Hii inathibitisha uhalali wa anachofikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…