Wanajamvi naombeni msaada hii dawa

Wanajamvi naombeni msaada hii dawa

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Wadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
 
Umenunua pharmacy au umepewa na doc hospital
 
Wadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
Unajuaje? Labda mwili kuuma inahusiana zaidi na tatizo linalokusumbua kuliko dawa ulozomeza...... wasiliana na anayekutibu isijekuwa tatizo linazidi kuwa kubwa.
 
Nimeuliza Ili niweze kujua hizi dawa zinachosha mwili maana nimepewa hospital
 
Kwa omeprazole sioni uelekeo na kuuma mwili.

Labda kwa neurotone nikitohoa kutokana na utendaji kazi wake. Zinasaidia fahamu na neva kufanya kazi vizuri zaidi. Hivyo ikiwa kulikuwa na shida mwilini lakini fahamu hazikuwa makini, basi ndiyo umeanza kuyahisi maumivu.

Lakini, pia labda umezidisha kuhisi ama umeacha kutumia dawa ya kukutia ganzi ndo maana maumivu yamerudi.

Je kabla ya hapo ulikuwa ukitumia dawa/drug zipi?
 
Sijawahi kutumia dawa yeyote mkuu
 
hi
Wadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
Omiprazole sio dawa ndg better Amoxillin, ukitaka kuepuka maumivu kula asubuhi kunywa hasa uji wa lishe
 
Wadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
kifua mbavu mzee kapime naimonia kwa kujiridhisha tu ila soma kwenye google side effects zitokanazo na matumizi ya dawa hizo
 
Hizo dawa niliwahi kutumia binafsi hazikunisaidia
 
Omeprazole umepewa sababu una Vidonda vya tumbo pain inaradiate kwenda had kwenye Scapula wewe utasema ni mgongo

Neuroton ni dawa za kuhuisha neva mara nyingi tunatumia kutibu peripheralc neuropathy (ganzi hususani miguuni)
 
Back
Top Bottom