Wanajamvi

Nampendaga Mt. RR sasa sijui wewe na st. rr mna uhusiano wa karibu au

St. RR/Mt. RR kazaliwa upya....infact aliangukia pua....so he is actually no longer st./mt.......
 
shikamoo babu napita tu , najua jioni ntakupata wapi! Liner park.

Hahaha...marahaba kajukuu.

Na hii posting Via Mobile inaashiria uko kikazi zaidi.

Umwambie Josefina akupe kesto laiti mbili baridi kwa bili yako, afu ntakuja kulipa. sawae?
 
Hahaha...marahaba kajukuu.

Na hii posting Via Mobile inaashiria uko kikazi zaidi.

Umwambie Josefina akupe kesto laiti mbili baridi kwa bili yako, afu ntakuja kulipa. sawae?

babu nipo kwenye dose ya babu, halaf naona huyu Sarafina huyu hayaa.
 
Nilikuambia mapema kuwa huyo bwana ni mdanganyifu, hodari sana wa kuoa na kuacha hukutaka kunisikia
Leo umeona mwenyewe!

Piga chini huyo sharobaro, rudi kwa babu. Kitanda chako bado hakijampata mrithi....Ila kama una mimba, itoe kwanza....

Hahahahahahahah
Nimecheka mbavu za
uma sasa dahh..
JF kuna raha jamani
Mmmhh

Babu nimesahau
kumbe we hutaki vitukuu
Lol hahah
 
Hahahahahahahah
Nimecheka mbavu za
uma sasa dahh..
JF kuna raha jamani
Mmmhh

Babu nimesahau
kumbe we hutaki vitukuu
Lol hahah

Vitukuu vitamzeesha babu...babu bado anadai...babu bado ana nguvu za kiume...babu ni rijali
 
afro hujambo mama?ukinionea aliekuwa mtakatifu mpe salam

Mi sijambo
Mpenzi..
hivi kumbe yule aliacha
utakatifu ae
dahh hii mpya

Vipi GYM inaendaje
Baada ya kula ile keki
yote mwenye
hahaha lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…