Wanajamvi

Wanajamvi

Kumbe ni kosa asante mod kwa kunisamehe, sitorudia tena
na hawa kina aspirin mjombaake panadol wakikuPM PM usisite kunijulisha niwapatie ban. na hilo pia ni kosa (sheria namba 6 ya JF inasema mgeni asitumiwe PM isipokuwa na mod mpaka aishi jamvini kwa kipindi kisichopungua miezi 2).

akikutumia ukijibu basi ujue mod tunaona na tutachukua hatua. tuko vere serious na hii sheria.
 
Hahahahaha haya bwana klorokwini baba yake aprin na babu yake panadol, kwa sababu wewe ndio mkubwa wa wote sina budi kusikiliza nasaha za kubwa
 
Siamini Sarafina unatongozeka kirahisi hivi na antimalaria......

Hebu njoo huku Martenity Ward kwanza nikutulize maumivu kabla hujamwona daktari.
 
sasa ka sarafina ni ka bikira, huko maternity ward kaje kufanya nini? aspirin bana! dah!
 
Kuna mimba za kupandikiza. klorokwini bana! dah! mia.
haka kagonjwa ni ka tineja bana tukikabamiza na dozi mbili katatutoka kabla pasaka, hapa fellow tablet inabidi uheshim katiba ya famasi kwa kuachia ngazi. mia
 
Mpenzi Sarafina1

Hii kunitaja mimi wa kwanza kunamaanisha mi ndo kinara? hebu angalia inbox yako, kuna PM nimekutumia. Afu usimwambie mtu.

Karibu, mimi naitwa babu mkaguzi a.k.a Big braza ODM, babu wa wajukuu wa kike. Are you he/she?

wee babu, mbona maneno mengi, hilo karibisho lakooo. loooo, aka mbona nyingiiiii....

any ways, Sarafian welkome
 
haka kagonjwa ni ka tineja bana tukikabamiza na dozi mbili katatutoka kabla pasaka, hapa fellow tablet inabidi uheshim katiba ya famasi kwa kuachia ngazi. mia

tatizo dozi yako kubwa 4-4-2 siku tatu mfululizo. Halafu tineja kanasinzia na kuduwaa, kanatapika afu kananogewa......ngoja nianze mimi kutwa mbili mara tatu, maumivu yanakwisha nakusokomezea ufanyie kazi plasimodiamu. mia mia mia!

Kizuri kula na nduguyo. mia
 
ka sarafina kenyewe kashakimbia. siku zote sredi akikomenti mjomba kimey basi wadada wote wanakimbia. hii research nimekamilisha alfajiri ya leo. acha tumuombee aludi. mia
 
hahahaha na wewe waogopa Fataki? Chetuntu unajua nilikumiss sana.!!

Nawaogopa sana, nipo Kimey si ulinitosa ku birthday. Ukajamaliza keki peke!
Sasa yule alikuwepo pale na kujitambulisha kama Chetuntu ni nani? sasa itabidi nianze upya tena...lol na ile karatasi ya maneno matamu tamu nimepoteza..!! Ila nadhani unanisoma mpaka hapa si ndio?
 
ka sarafina kenyewe kashakimbia. siku zote sredi akikomenti mjomba kimey basi wadada wote wanakimbia. hii research nimekamilisha alfajiri ya leo. acha tumuombee aludi. mia
hahahaha Komredi umeanza sasa, hebu tulia kwanza nimalizane na Chetuntu asije toweka kama Sarafina1, sasa wewe na fellow tablet mbona mnachanganyana, si unajua inaanza Asprini inatuliza maumivu then unakuja wewe kukompliti misheni au sio? ila namuone huruma sara, mziki wa chloro si mchezo, 4x4x2
 
Back
Top Bottom