klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
na hawa kina aspirin mjombaake panadol wakikuPM PM usisite kunijulisha niwapatie ban. na hilo pia ni kosa (sheria namba 6 ya JF inasema mgeni asitumiwe PM isipokuwa na mod mpaka aishi jamvini kwa kipindi kisichopungua miezi 2).Kumbe ni kosa asante mod kwa kunisamehe, sitorudia tena
akikutumia ukijibu basi ujue mod tunaona na tutachukua hatua. tuko vere serious na hii sheria.