jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamarekani kwa kuficha aibu ndio wenyewe mpaka leo hawataki kukubali kuwa Russia waliingilia mfumo wao na kumsaidia Trump kushinda,Wakati ukweli uko wazi mitaani.Lakini c tuliwaambia hapa kama wanaficha aibu
Ngoja ipo siku watatupa idadi kamili ya waliouwawa kama 80 Ama 100 ila lazma watatupa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Namkubali US lakini nawaamini IRAN, Hii ni habari mbaya sana kwa utawala wa Rais Trump na hasa kwa kipindi hiki cha Impeachment ikitokea ikawa kweli kuna wanajeshi waliokufa huo utakuwa mwanzo wa mwisho wa Longolongo Trump.Mimi nilisha sema toka lini US akakubali kichapo anachopewa? Iran huwa hawasemi uwongo na kutokana na Iran 80 wanajeshi wa US wamekufa na 200 wameumia. Hicho kichapo bado Iraq aliwatonya US kwamba missile zinakuja. Je asinge ambiwa na Iraq kuwa Iran atashambulia hizo base mbili ingikuwa balaa 😁 😂 😬
How about retaliation?Dah asee kama kweli waliwatonya walikosea mnooooJamaa wanatakiwa wawa ache tu sku yapili maana wangepewa ambush ya maana hapo leo wangekua washafika DC pimbaf hao
All Is Well In Turampet Voice[emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo pale camp pia Kuna Askari wa Iraq,kwahiyo Iran walimtonya waziri mkuu wa Iraq ambae nae akawatonya Askari wake nao wakavujisha,kwahiyo wote wakazama kwenye handaki kwa mujibu wa maelezo yaoDah asee kama kweli waliwatonya walikosea mnooooJamaa wanatakiwa wawa ache tu sku yapili maana wangepewa ambush ya maana hapo leo wangekua washafika DC pimbaf hao
All Is Well In Turampet Voice[emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app