Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

Makao Makuu ya Jeshi la Marekani imesema Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad nchini Iraq Januari 8

Tehran ilirusha makombora dhidi ya kambi za Ain al-Assad (Magharibi) na Erbil (Kaskazini), ambapo baadhi ya wanajeshi 5,200 wa Marekani wanapiga kambi, kwa kulipiza kisasi kifo cha Jenerali wa Iran, Qassem Soleimani

==============================

Published: 17 Jan 2020 | 04:29 GMT

US Central Command has revealed that 11 personnel stationed at an Iraqi airbase which incurred a retaliatory attack by Tehran earlier in January had to be sent out of the country after displaying concussion symptoms.

“While no US service members were killed in the January 8 Iranian attack on Al Asad airbase, several were treated for concussion symptoms from the blast and are still being assessed,” Navy Captain Bill Urban said in a statement on Thursday.

Upon initial examination, eight troops were flown out of the war-ravaged country to a medical facility in Germany for further checks, while three others were taken to Camp Arifjan, a US Army installation in Kuwait.

The temporary removal of the troops was taken “out of an abundance of caution,” Urban said, refusing to divulge any more details about the condition of the servicemen or the extent of their injuries.

“The health and welfare of our personnel is a top priority and we will not discuss any individual's medical status,” he said, noting that the servicemen are expected to return to duty following additional screening.

The base in Iraqi Kurdistan found itself under fire from two volleys of ballistic missiles launched from Iran after a US drone strike near Baghdad on January 3 killed Iranian Major General Qassem Soleimani, the elite Quds Force commander who played a major role in beating Islamic State terrorists in both Syria and Iraq. His assassination has inflamed tensions between Washington and Tehran, and drew a harsh rebuke from Baghdad, prompting the Iraqi Parliament to pass a resolution ordering US troops to leave the country.

Immediately after the attack by Iran, which was reported to have incurred extensive but pinpointed damage on the facility and resulted in no casualties, US President Donald Trump declared that “all is well,” with the Pentagon likewise saying that early warning systems at the base alerted the troops, who wasted no time in seeking shelter.

Source: Russia Today
pembe la ng'ombe halifichiki
 
Kwa anayejua historia ya mabeberu hii haitashangaza hata kidogo..
Hata kipindi kile Iran ilipotungua lile drone marekani alianza kukataa .. lakini baada ya muda akaufyata ikabidi akubali kua alipata kichapo heavy..

Hata hili jambo sasa hivi ataanza kukaza. Maana mwanzo alisema hakuna hata aliyeumia ni infrastructure chache tu ndio zimeharibika.. lakini ghafra leo anasema watu 11 wameumia kidogo. Hivi kuumia kidogo ndio wapelekwe Germany kutibiwa..

Baada ya muda utasikia walikufa 20 mara 80 hadi ukweli utajulikana..

Wale wamarekani weusi kutoka buza wataanza kuweweseka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poleni Kwa Majeruhi Mloyapata Mliambiwa Hapa Haiwezekani Ballistic Zaidi Ya Moja Zipike Kambi Wanayokaa wanajeshi Hlaf Asijeruhiwe Hata Mmoja

Nb:Itafikia Siku Watataja Idadi Kamili Yawatu Walio Uwawa

US-Anatakiwa Apige Upya Hesabu Zake IRAN Sio Waarabu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia nilikuwa na mashaka na taarifa ya Trump. Nilisema hata wangevurumishiwa maji lazima wangelowa, sembuse mizinga!
 
Kuna watu hawamjui Us vizuri, hii taarifa inayopikwa huenda wanatafuta uhalali wa kummaliza Iran.
Watashangaa Trumph anatengeneza sababu za kushambulia vibaya zaidi, na kimya hiki wanachagua sehemu ambayo wakirusha kombora liwavunje uti wao wa mgongo...yetu macho na masikio

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ulishajiuliza kwanini hao Wamerekani hawakujibu mapigo wakati wanashambuliwa? Hivi hujawahi kusikia Iran imeshusha drones kadhaa za Marekani kwenye anga lake? Je, kwa umri wako ulishawahi kusikia kambi yoyote ya Marekani imeshambuliwa na kusababisha "concussion symptoms" kwa askari?

Mimi natambua uwezo wa Marekani kivita lakini sipuuzi uwezo wa Iran kuisababishia Marekani au "Mayahudi" ukilema; na bila shaka wako tayari kwa hatua yoyote ya Marekani dhidi yao.

Lakini kwa jinsi tunavyotambua uwezo wa Marekani katika mambo ya vita walishindwaje "ku-intercept" au "ku-diverge" balistic missiles waliovurumishiwa hata yakawasababishia "concussion symptoms" ?
 
Points ya Maana Sana Hii Ambayo Wengi Wanajifanya Hawataki Kuiongelea.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawapo watasemaje? Wasingizie watu wamekufa wakati hawajafa? Pili, tunavyoijua Marekani isingewezekana wanajeshi wake wafe halafu shughuli zifanyike kimya kimya haipo hiyo kitu. Ni lazima CNN na vyombo vingine wangeihabarisha dunia na majeneza tungeyaona.
Kama wagojwa wanaotembea ukuwaona sembuse maiti ambayo hata kwenye box unaweza kuiweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani amekwambia kuwa yameisha?

Back
Top Bottom