Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
... una haki ya kuongea chochote Mkuu; otherwise weka trusted source.
Mnachekesha sanaa asee sosi mnazoziita nyie zakuaminika ndio zilikanusha awali yakwamba hakukua na majeruhi

Halaf leo hii zinaleta habari yakwamba kweli kulikua na majeruhi

Hizi sosi unawezaje tena kuziita kwamba nizakuaminika MKUU ?!

Haijalishi inajri nizanamna gani ila haiwezekani kama hawakujua kama hakuna injari

Labda tulete tomato sos sasa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna watu hawamjui Us vizuri, hii taarifa inayopikwa huenda wanatafuta uhalali wa kummaliza Iran.
Watashangaa Trumph anatengeneza sababu za kushambulia vibaya zaidi, na kimya hiki wanachagua sehemu ambayo wakirusha kombora liwavunje uti wao wa mgongo...yetu macho na masikio

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio waliuwawa hawajauwawa ?!

Walipigwa hawakupigwa?!

Kambi ilikua na wanajeshi haikua na ?!


US Kumpiga IRAN Haitakaa Itokee.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IRAN Ishinde Kwa Kipi ?!
Tatizo umekomaa na neno majeruhi majeruhi kwa tafsiri ya majeruhi unayoielewa wewe. Umeambiwa "majeraha" waliyopata hawa ni dalili (symptoms) za "concussion"; narudia tena DALILI. Sasa wewe ulitegemea "concussion symptoms" zionekane siku ileile? Ni tatizo linalo-develop taratibu! Ok, basi tuipe ushindi Iran tumalize ubishi.
Kwan Mwanzo Si Mulisema Kama KAMBI Zilihamwa ?!

Hawa wanajeshi wametokea wapi sasa ?!


Trumpet Muongo Mnooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee inasikitisha MNOOO..
Lakini kuna shida mahala hasa huko USA haiwezekani mkuu wa nchi aseme hakuna majeruhi wa vifo lakini baadae waseme kuna majeruhi je, ni matukio manapi hayajasemwa?
Halaf wao ndio wanajiita eti watetezi wa hakki za bina adamu kumbaf zao [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wapuuzi waongo tu jamaa wamepigika wanajidai kuleta stori zavijiweni hapa
Wanajeshi wa marekani ni dhaifu sana. Mtu anapata concussion anapandishwa ndege

USA kawasababishia concussion raia wangapi huko middle east Kwa mabomu anayodondosha



Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekula kipigo kitakatifu na ipo siku watausema ukweli halisi

Waache kwanza wahangaike hangaike tu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200117-174613.png
 
Haya ni majeruhi ya kuweweseka, lakini mlisema waliondoka ko hayo majeruhi wameyapata wapi, tunashindwa kuamini huenda hata hao siyo kuweweseka bali majeruhi wa vidonda kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani source yako ni MpekuziHuru. Dah! Tuna safari ndefu sana kama Taifa.
 
Back
Top Bottom