Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

Hawapo watasemaje? Wasingizie watu wamekufa wakati hawajafa? Pili, tunavyoijua Marekani isingewezekana wanajeshi wake wafe halafu shughuli zifanyike kimya kimya haipo hiyo kitu. Ni lazima CNN na vyombo vingine wangeihabarisha dunia na majeneza tungeyaona.
Lakini mara ya kwanza siwalisema hakuna walio jeruhiwa?
 
Kumbuka hapo hawajasema ukweli halisi huenda kuna vifo na majeruhi kibao.Tusubiri muda utaongea.
Sawa; tusubiri huo muda uongee Mkuu. Ila taarifa rasmi ndio hiyo kwamba ni wanajeshi 11 tu waliogundulika kusumbuliwa na "concussion symptoms " kutokana na "kipigo" cha Iran. Duh! kwa jinsi maayatollah wa Kimanzichana walivyovamia huu uzi angekufa hata koplo mmoja wa kimarekani wallahi ingebidi tukimbie hili jukwaa forever!
 
Lakini mara ya kwanza siwalisema hakuna walio jeruhiwa?
... ni kweli ila kumbuka majeraha yapo ya viwango tofauti; mtu aliyekatika viungo kama miguu on the spot ni tofauti na wa "concussion symptoms". Symptoms hu-develop taratibu hivyo huchukua muda kuonekana tofauti na kukatika mikono kwa mfano.
 
Mbona maafisa wakuu wa kijeshi wa Marekani wengi tu wanauawa huko Uarabuni kama Afghanistan,Iraq,Syria na kwingineko.
Sawa; tusubiri huo muda uongee Mkuu. Ila taarifa rasmi ndio hiyo kwamba ni wanajeshi 11 tu waliogundulika kusumbuliwa na "concussion symptoms " kutokana na "kipigo" cha Iran. Duh! kwa jinsi maayatollah wa Kimanzichana walivyovamia huu uzi angekufa hata koplo mmoja wa kimarekani wallahi ingebidi tukimbie hili jukwaa forever!
 
Mbona maafisa wakuu wa kijeshi wa Marekani wengi tu wanauawa huko Uarabuni kama Afghanistan,Iraq,Syria na kwingineko.
... una haki ya kuongea chochote Mkuu; otherwise weka trusted source.
 
Mi naweka defn ya concussion tu
SmartSelect_20200117-112207_Google.jpg
 
Hawapo watasemaje? Wasingizie watu wamekufa wakati hawajafa? Pili, tunavyoijua Marekani isingewezekana wanajeshi wake wafe halafu shughuli zifanyike kimya kimya haipo hiyo kitu. Ni lazima CNN na vyombo vingine wangeihabarisha dunia na majeneza tungeyaona.
Na hawa walioneruhiwa uliona CNN wakitangaza?
Pima tu kwamba kwanini mpaka sasa bunge la senet limeshaapishwa kwaajili ya kuaanza mchakato Wa kumtoa Trump? Na ajenda moja wapo ni kujiamlia mambo bila kulishikirikisha bunge?

Watu wamejeruhiwa huko na bunge halikuidhinisha yaliofanyika chini Iraq kwa Iran sasa wameshamgeuka baada ya kuona watoto wao wanakuwa vilema.

Endelea na ubishi lakn mdogo mdogo watasema ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafasiri rahisi ya hiyo defn ni "kuweweseka"; in short wanajeshi 11 wa Marekani wameonesha dalili (symptoms) za kuweweseka baada ya ile milipuko halafu watu humu wanashangilia ushindi wa Iran! Ha ha ha!
Mkuu kiingereza ni lugha adhimu iliyokuja na meli😂😂😂
 
Hawapo watasemaje? Wasingizie watu wamekufa wakati hawajafa? Pili, tunavyoijua Marekani isingewezekana wanajeshi wake wafe halafu shughuli zifanyike kimya kimya haipo hiyo kitu. Ni lazima CNN na vyombo vingine wangeihabarisha dunia na majeneza tungeyaona.
Hao ayatollahs wanao agent wao kwenye Congress, Ilhan Omar.Ikitokea kama kuna mwanajeshi aliyekufa lazima ingejulikana.
 
... great observation! Ilham Umar saa hizi angesha-post vibaya sana kwenye social media na kuwasilisha hoja binafsi kwa Nancy Pelosi ili kumkomoa Trump.
 
Back
Top Bottom