Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

... great observation! Ilham Umar saa hizi angesha-post vibaya sana kwenye social media na kuwasilisha hoja binafsi kwa Nancy Pelosi ili kumkomoa Trump.
Halafu kuna media zinapata ufadhili wa George Soros hasimu wa Trump km Bloomberg ,cnn etc zingetoa habari mapema tu alfajiri!
 
Wasisahau kuwa kifo cha mkandarasi mmoja ndicho kilichopelekea kilio Iran
Hawapo watasemaje? Wasingizie watu wamekufa wakati hawajafa? Pili, tunavyoijua Marekani isingewezekana wanajeshi wake wafe halafu shughuli zifanyike kimya kimya haipo hiyo kitu. Ni lazima CNN na vyombo vingine wangeihabarisha dunia na majeneza tungeyaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hawamjui Us vizuri, hii taarifa inayopikwa huenda wanatafuta uhalali wa kummaliza Iran.
Watashangaa Trumph anatengeneza sababu za kushambulia vibaya zaidi, na kimya hiki wanachagua sehemu ambayo wakirusha kombora liwavunje uti wao wa mgongo...yetu macho na masikio
.... tena mwenye asili ya Iraq!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawapo watasemaje? Wasingizie watu wamekufa wakati hawajafa? Pili, tunavyoijua Marekani isingewezekana wanajeshi wake wafe halafu shughuli zifanyike kimya kimya haipo hiyo kitu. Ni lazima CNN na vyombo vingine wangeihabarisha dunia na majeneza tungeyaona.
Wewe kweli JUNDE Kwani mwanzo si walitangaza hakuna hata majeruhi au Upo dunia gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hawamjui Us vizuri, hii taarifa inayopikwa huenda wanatafuta uhalali wa kummaliza Iran.
Watashangaa Trumph anatengeneza sababu za kushambulia vibaya zaidi, na kimya hiki wanachagua sehemu ambayo wakirusha kombora liwavunje uti wao wa mgongo...yetu macho na masikio

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatapatapa mshafyata kudadeki subilini watoe idadi ya wanajeshi waliokufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keywords hapa ni "concussion symptoms". Hilo tatizo wabongo mkipimwa zaidi ya 95% mtakutwa nalo! Anyway, kama hiyo ndio maximum "destruction" sijui "retaliation" makombora ya Iran yaliweza kuwafanya wamarekani basi poa! Bora Trump kaamua kupuuzia.
Concussion inatokana na mtikisiko wa ubongo either due to physical trauma to the head or vibratory effects of the missile impacts...sasa why unasema kuwa wabongo 95% wanaweza wakawa nalo chief..hebu nipe mwanga kidogo what might be the cause ya wabongo kiasi kikubwa hicho kuwa katika risk ya kuwa na hizo symptoms maana binafsi sioni risk factor yoyote ya kusababisha hilo kwa massive number of people as u mentioned 95%
 
"Concussion symptoms " hata wewe ukipimwa unayo na visababishi ni vingi. Kama hayo ndio matokeo ya kuifanya Iran ishangilie kutimiza lengo; kama hayo ndio matokeo bora kabisa ya jeshi la Iran sawa.
Kwanini toka awali hawakusema ukweli kama kulikua na majeruhi

Ipo siku wata tuambia ukweli walikufa wangapi katika lile tukio

Haiwezekani ipigwe kambi na madhara yalotokea halaf asife hata mtu mmoja

Huo uongo trumpet akawadanganye wamarekani sio sisi

Maana tuna elewa taifa la marekani lina endeshwa kwa ukweli na propaganda kwenye mambo yakimsingi sanaaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawapo watasemaje? Wasingizie watu wamekufa wakati hawajafa? Pili, tunavyoijua Marekani isingewezekana wanajeshi wake wafe halafu shughuli zifanyike kimya kimya haipo hiyo kitu. Ni lazima CNN na vyombo vingine wangeihabarisha dunia na majeneza tungeyaona.
Kwan kuhusu majeruhi walikuwepo au hawa wapya ?! .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kuna shida mahala hasa huko USA haiwezekani mkuu wa nchi aseme hakuna majeruhi wa vifo lakini baadae waseme kuna majeruhi je, ni matukio manapi hayajasemwa?
 
Kwan kuhusu majeruhi walikuwepo au hawa wapya ?! .....

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo umekomaa na neno majeruhi majeruhi kwa tafsiri ya majeruhi unayoielewa wewe. Umeambiwa "majeraha" waliyopata hawa ni dalili (symptoms) za "concussion"; narudia tena DALILI. Sasa wewe ulitegemea "concussion symptoms" zionekane siku ileile? Ni tatizo linalo-develop taratibu! Ok, basi tuipe ushindi Iran tumalize ubishi.
 
Lakini kuna shida mahala hasa huko USA haiwezekani mkuu wa nchi aseme hakuna majeruhi wa vifo lakini baadae waseme kuna majeruhi je, ni matukio manapi hayajasemwa?
Jifunze kuelewa - "concussion symptoms".
 
Back
Top Bottom