Lkn pia na Congo ni mzembe, mvivu,......Kagame ni tatizo sana ukanda Africa mashariki km sio Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn pia na Congo ni mzembe, mvivu,......Kagame ni tatizo sana ukanda Africa mashariki km sio Africa
Sio kweliTatizo la Wanyarwanda ni tabia zao chafu za kutaka kutawala wengine. Ili Congo itulie lazima imalize huu uasi kwa njia ambayo hautajirudia.
Mkuu kwa kuliona hili, unadhani nini kifanyike?Miafrika akili haina kazi kuwana tu, hio Congo haiwezi kutulia sio sababu ya Kagame, ni sababu ya USA na Western hao hawawezi kukubali mwafrika aishi kwa amani na starehe kwenye mali zao.
Lazima watafute mjinga wamtumie kwa faida zao, exactly kama wanavyo fanya nchi za kiarabu.
We leo unakuta jitu linashangilia genocide zinazo fanywa na Israel, eti taifa teule, yani taifa lenu ni la watumwa au 😆
Wafrika ni makondoo sana, kupata watu wenye akili wakafocus na maisha ya nchi zao, na kuhudumia wananchi zao ni vigumu sana.
Akili huna mbona Kagame na watusi waliokuwa wakionewa kongo walipoenda kumvurumisha dikteta mobutu kumtoa madarakani mbona hamkusema hilo kuwa Western powers na Kagame wanataka kukalia kongo na kuiba madini nk mbona Wapiganaji walishangiliwa sana na wakongoMiafrika akili haina kazi kuwana tu, hio Congo haiwezi kutulia sio sababu ya Kagame, ni sababu ya USA na Western hao hawawezi kukubali mwafrika aishi kwa amani na starehe kwenye mali zao.
Kwanza inatakiwa tupende nchi zetu kwanza kuliko kitu chochote, tusikubali kudhuru nchi zetu.Mkuu kwa kuliona hili, unadhani nini kifanyike?
We ndio kapime akili zako vizuri, umelewa nilicho ongea?Akili huna mbona Kagame na watusi waliokuwa wakionewa kongo walipoenda kumvurumisha dikteta mobutu kumtoa madarakani mbona hamkusema hilo kuwa Western powers na Kagame wanataka kukalia kongo na kuiba madini nk mbona Wapiganaji walishangiliwa sana na wakongo
Palikua na mkataba wa kupewa ardhi mashariki ya congo, kabila akauvunja baada ya kuingia ikulu,na si watusi Bali Uganda na Rwanda,palikua na maslahi,yalipoenda kombo hata Uganda na Rwanda walipigana ndani ya CongoTatizo la kongo waliomtoa Mobutu madarakani walikuwa watusi ambao aliwaonea sana pamoja na Wakongo walikuwa wanacheza miziki tu na ndombolo na kujificha ulaya ubelgiji nk wakila bata hawakuingia msituni kumtoa Mobutu
Baada ya watusi kumtoa mobutu na kuweka nchi tulivu ndipo kila diaspora la kongo linataka kuwa tawala la kongo na kuwaita watusi wavamizi waondoke wawaaachie wakongomani
Walipokuwa watusi wameingia kongo kumtoa Mobutu mbona walushangiliwa kila kona mitaani wakiitwa wakombozi wa kongo
Hawakuitwa wavamizi
Kuna shida wakongo hata humu kuna Wakongo lakini kuna wanaojielewa na wasiojiewa
Diaspora wakongo wataka kutawala Kongo na kuvurumisha watusi waliokomboa kongo akiwemo Raisi Tishekedi wakati hawakushiririki vita kutoa mobutu ndani ya konngo wao na baba zao wakila bata ubelgiji akili kichwani hawana
Wanyarwanda wamekuwa wakishiriki katika kuwatoa madarakani viongozi wa Congo. Serikali ya Rwanda ilishiriki moja kwa moja katika kumuua Kabila kwa kutowajumuisha Wanyarwanda waliomsaidia katika mapinduzi katika Serikali yake mpya. Kwa kifupi M23 ni extended arm ya Rwanda iliyoundwa kwa lengo la kuiwezesha Rwanda kuiba ndani ya CongoWaTatizo la kongo waliomtoa Mobutu madarakani walikuwa watusi ambao aliwaonea sana pamoja na Wakongo walikuwa wanacheza miziki tu na ndombolo na kujificha ulaya ubelgiji nk wakila bata hawakuingia msituni kumtoa Mobutu
Baada ya watusi kumtoa mobutu na kuweka nchi tulivu ndipo kila diaspora la kongo linataka kuwa tawala la kongo na kuwaita watusi wavamizi waondoke wawaaachie wakongomani
Walipokuwa watusi wameingia kongo kumtoa Mobutu mbona walushangiliwa kila kona mitaani wakiitwa wakombozi wa kongo
Hawakuitwa wavamizi
Kuna shida wakongo hata humu kuna Wakongo lakini kuna wanaojielewa na wasiojiewa
Diaspora wakongo wataka kutawala Kongo na kuvurumisha watusi waliokomboa kongo akiwemo Raisi Tishekedi wakati hawakushiririki vita kutoa mobutu ndani ya konngo wao na baba zao wakila bata ubelgiji akili kichwani hawana
Mbona ni hatari sana. Kwamba vyombo vyetu vya usalama visijue jambo kama hilo.Akitokea ccm akajibu kuhusu mkoa wa kagera karagwe kuhusu kambi za M23 zipo pale na ofisi zao zinapokea kila kifaa na njia mnayo danganywa kuhusu katoro. Mengine ni nyamaze
Ok sasa mkuu, mwisho umewaongelea walio kwenye position ya kusisitiza na kuhakikisha hayo yanafanyika kwenye nchi zao ( African leaders). Swali langu juu yako nini kifanyike ili turekebishe hali? We are in a vague current situation that'needs a reformation, wewe kama mwananchi nafasi yako ni ipi kurekebisha hali?Kwanza inatakiwa tupende nchi zetu kwanza kuliko kitu chochote, tusikubali kudhuru nchi zetu.
Pili, nilazima tujitahidi sana kutoa elimu ya kifo sababu kila mmoja atakufa, lazima kila mmoja afanye mazuri kwenye nchi yake, wananchi na viongozi.
Tuepukane na tamaa ya kupenda wewe tu upate vizuri, na wengine huwafikiri, lazima unacho penda wewe kiwe kizuri kwako na family yako, wenzako pia na family zao wapate wanacho kipenda.
Huwezi kufikiria tumbo lako bila kuwafikiria wenzako, ukianza mchezo wakufikiria tumbo lako na family yako tu, bila kuwafikiria wengine basi ujuwe unakaribisha chuki, ujambazi na etc
Tatizo kubwa la viongozi wa kiafrica na warabu, wanafikiria matumbo yao kwanza, na hapo ndipo adui wanapenya kutumia hizo tamaa zao.
US au Western hawawezi leta mzizi wa fitna kwa kiongozi anaye penda nchi yake, wananchi wake, na taifa lake.
Unless aone huyo kiongozi yuko mbali na hizo point.
Hii hoja yako haina ukweli. Congo Mashariki inakaliwa na Watutsi hata kabla ya Ukoloni. Ilikuwa ndani ya Ufalme wa himaya ya watutsi. wakati wa ukoloni sehemu kubwa ya utawala wa Watutsi iliwekwa chini ya utawala wa Mbelgiji na kipande kuwa chini ya German East Afrika kama ambavyo wamasai wa walijikuta ndani ya himaya mbili za Mwingereza (Kenya) na Mjerumani (tanganyika). sawa sawa na Wamamonde n Wamakua na wanyasa na hata wakura na wajaluo. tatizo kongo baada ya uhuru wanataka Watutsi waondoke.Wanyarwanda wamekuwa wakishiriki katika kuwatoa madarakani viongozi wa Congo. Serikali ya Rwanda ilishiriki moja kwa moja katika kumuua Kabila kwa kutowajumuisha Wanyarwanda waliomsaidia katika mapinduzi katika Serikali yake mpya. Kwa kifupi M23 ni extended arm ya Rwanda iliyoundwa kwa lengo la kuiwezesha Rwanda kuiba ndani ya Congo
Mwananchi anaweza kuplay part yake kwenye faida ya nchi yake.Ok sasa mkuu, mwisho umewaongelea walio kwenye position ya kusisitiza na kuhakikisha hayo yanafanyika kwenye nchi zao ( African leaders). Swali langu juu yako nini kifanyike ili turekebishe hali? We are in a vague current situation that'needs a reformation, wewe kama mwananchi nafasi yako ni ipi kurekebisha hali?
Mimi sijapinga hoja ya kuwa Congo ina Watutsi kuanzia wakati wa ukoloni. Hoja ni kuwa, hawa wamekuwa wakitumiwa na Rwanda katika kuihujumu Congo.Hii hoja yako haina ukweli. Congo Mashariki inakaliwa na Watutsi hata kabla ya Ukoloni. Ilikuwa ndani ya Ufalme wa himaya ya watutsi. wakati wa ukoloni sehemu kubwa ya utawala wa Watutsi iliwekwa chini ya utawala wa Mbelgiji na kipande kuwa chini ya German East Afrika kama ambavyo wamasai wa walijikuta ndani ya himaya mbili za Mwingereza (Kenya) na Mjerumani (tanganyika). sawa sawa na Wamamonde n Wamakua na wanyasa na hata wakura na wajaluo. tatizo kongo baada ya uhuru wanataka Watutsi waondoke.
Tukirudi katika comment yako yako ya kwanza kabisa kwakuwaita waafrika ni kondoo sana na wanahitaji watu wa kuwafundisha wakafocus katika maisha ni vigumu sana, swali langu je wewe ni mmoja wa hao watakaowafundisha waafrika kwasababu tayari umeshapevuka na ni vigumu kupatikana au ni miongoni mwa waongeaji/watupa lawama tu bila suluhisho kivitendo?Mwananchi anaweza kuplay part yake kwenye faida ya nchi yake.
Mfano kama ana elimu aitumie hio elimu yake kwa faida ya watu wote, kama ana biashara ajaribu kuwapa maarifa na wengine vipi kufanya biashara zingine sio lazima kama yake, au kama yake na asichukue faida kubwa sana kukandamiza wananchi.
Kuwapa Ideas watu kwenye kilimo, transportation n.k
Mwananchi anaweza kusaidia nchi yake akawa mlinda amani, msaidizi wa kusaidia vilema n.k
Mwananchi sio kila kitu ategemee serekali imsaidie yeye pia anaweza isaidia serekali kwa njia tofouti
Hawajawahi kutumiwa na Rwanda kuihujumu Congo. Isipokuwa tangu mara tu baada ya uhuru hawa Watutsi wamekuwa wakitendewa sivyo kama vile hawastahili kuishi Congo. Kama Congo hawatakiwi wanatakiwa kukataliwa pamoja na kipande chao cha ardhi waliyokuwa wakiikalia tangu kabla ya ukoloni.Mimi sijapinga hoja ya kuwa Congo ina Watutsi kuanzia wakati wa ukoloni. Hoja ni kuwa, hawa wamekuwa wakitumiwa na Rwanda katika kuihujumu Congo.
Shida ni hao watusi wanajikubali kua ni wakongo au bado wanajinasibu kua ni warwanda...Hii hoja yako haina ukweli. Congo Mashariki inakaliwa na Watutsi hata kabla ya Ukoloni. Ilikuwa ndani ya Ufalme wa himaya ya watutsi. wakati wa ukoloni sehemu kubwa ya utawala wa Watutsi iliwekwa chini ya utawala wa Mbelgiji na kipande kuwa chini ya German East Afrika kama ambavyo wamasai wa walijikuta ndani ya himaya mbili za Mwingereza (Kenya) na Mjerumani (tanganyika). sawa sawa na Wamamonde n Wamakua na wanyasa na hata wakura na wajaluo. tatizo kongo baada ya uhuru wanataka Watutsi waond
Tatizo si kuwakubalia , tatizo liko jamaa wanataka wakikubaliwa wawe na haki zote hasa za kisiasa za kugombea nafasi zote hadi urais na pia hata kuteuliwa wasiwe raia wa kukaa tu , kitu ambacho DRC hatakiSolution moja tu
Kongo ikubali kuwa watusi walioko Kongo ni raia wake
Sijui kwa nini kongo inakuwa nzito
Watusi wako kongo miaka na miaka kabla hata kongo haijapata uhuru iwakubali.kama raia halali wa kongo isiwanyanyase
Tanzania mbona tuliwakubali makabila kibao ya yaliyoko nchi zingine na hatuna tuliwakubali wanyasa ambao ni wengi Malawi,tuliwakubali wamasai na wajaluo ambao ni wengi Kenya,tukawakubali wamakonde na wamakua ambao ni wengi msumbiji ,Tuna wabembe ambao wengi ni wako Congo nk na nchi iko tulivu haina shida
Kongo wawakubali watusi wa Kongo kama raia halali wa kongo kutaka ohh waondoke warudi Rwanda si sahihi
Mkoloni alichora ramani vibaya makabila yanakatika kabila moja kipande kinajikuta kiko nchi ingine na kingine nchi ingine
Kila nchi ikubali tu kupokea kipande kilichokatikiwa kwao mipaka ikichorwa na wakoloni kwenye mkutano wa Berlin
Sawa sawaShida ni hao watusi wanajikubali kua ni wakongo au bado wanajinasibu kua ni warwanda...
Mfano mmasai au mjaluo wa Tz atabaku kua mtz na mkenya anakubali kua ni mkenya..
Shida ya hao watusi unaowatetea hua wanajitia uspecial sana na pia hawakubali kua ni raia wa nchi hiyi wanaishi, sasa kama ni ivo warudi kwao, au waiishi kama wakimbizi
unauhakika wanalinda au wapo kuteka machimbo ya madini,UN wanafiki sana. Wakati Kagame na Kabalebe wanamtoa Mobutu walikuwa wapi?. Yani Rwanda ni Wazuri wakati wa kumtoa Dikteta ila wakati wa Kulinda kundi la Wanyamulenge lililotengwa nchini Kongo ni shida.