Wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo

Wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo

Shida ni hao watusi wanajikubali kua ni wakongo au bado wanajinasibu kua ni warwanda...

Mfano mmasai au mjaluo wa Tz atabaku kua mtz na mkenya anakubali kua ni mkenya..

Shida ya hao watusi unaowatetea hua wanajitia uspecial sana na pia hawakubali kua ni raia wa nchi hiyi wanaishi, sasa kama ni ivo warudi kwao, au waiishi kama wakimbizi
Tusti waliopo Congo wanajitambua kama Wacongo ila Congo ndo haiwatambui. Inawaona kama wakuja.
 
Miafrika akili haina kazi kuwana tu, hio Congo haiwezi kutulia sio sababu ya Kagame, ni sababu ya USA na Western hao hawawezi kukubali mwafrika aishi kwa amani na starehe kwenye mali zao.

Lazima watafute mjinga wamtumie kwa faida zao, exactly kama wanavyo fanya nchi za kiarabu.

We leo unakuta jitu linashangilia genocide zinazo fanywa na Israel, eti taifa teule, yani taifa lenu ni la watumwa au 😆

Wafrika ni makondoo sana, kupata watu wenye akili wakafocus na maisha ya nchi zao, na kuhudumia wananchi zao ni vigumu sana.
mkuu we mwenye akili umesaidia nini hii nchi???

Wengine hatuna akili haya we mwenye akili umetatua tatizo gan la africa

Stupid barking dog
 
UN: Vikosi vya Rwanda vyasaidiana na M23 kupigana Kongo

Ripoti moja ya wataalam wa Umoja wa Mataifa iliyoonekana na shirika la habari la Ufaransa AFP inasema, kati ya wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo.

Ripoti hiyo inasema Kigali, ndiyo inayodhibiti operesheni za waasi hao wa M23.

Watafiti wa ripoti hiyo walikadiria wakati wa kuandikwa kwake mnamo mwezi Aprili kwamba, idadi ya vikosi vya Rwanda inalingana au imeivuka idadi ya waasi wa M23 ambayo ilikuwa inadaiwa kuwa karibu 3,000.

Ripoti hiyo inajumuisha picha zilizohakikiwa, mikanda ya video, picha zilizopigwa na droni, ushuhuda na ripoti za majasusi mambo yanayothibitisha uingiaji wa jeshi la Rwanda RDF huko mashariki mwa Kongo.

Watoto kusajiliwa jeshini

Mikanda hiyo ya video na picha zinaonesha milolongo ya wanajeshiwaliojihami wakitumia silaha na magari ya kijeshi yaliyo na mifumo ya kuzuia mashambulizi ya makombora ya ndege. Picha hizo pia zinaonesha malori yanayotumiwa kuwasafirisha wanajeshi.

Vile vile ripoti hiyo inaeleza kwamba watoto kuanzia umri wa miaka 12 wamesajiliwa kutoka walau kila kambi ya wakimbizi ndani ya Rwanda na wanapelekwa katika kambi za mazoezi katika maeneo ya waasi chini ya usimamizi wa wanajeshi wa Rwanda na wanamgambo wa M23.

Inaongeza kwamba watoto walio na umri wa miaka 15 na zaidi wanapewa mafunzo ya kijeshi na kupelekwa vitani ili kuwa katika mstari wa mbele kushiriki mapigano hayo.

Wataalam hao wa Umoja wa Mataifa wanadai kwamba kusajiliwa kwa watoto jeshini nchini Rwanda, ni jambo linalofanywa na maafisa wa ujasusi wakitoa ahadi za uongo za mishahara na malipo kwa watoto hao. Inaripotiwa kwamba wale wanaopinga, wanachukuliwa na kusajiliwa jeshini kwa nguvu.

Rwanda iliwasaidia waasi kunyakua maeneo mengi zaidi

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imekuwa ikiituhumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M23 ila Kigali imekuwa mara zote ikikanusha vikali tuhuma hizo.

Lakini ripoti hiyo iliyoitishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, inasema hatua ya jeshi la Rwanda kuzidhibiti harakati za waasi wa M23 ni jambo linaloifanya nchi hiyo kulaumiwa kwa vitendo vya waasi hao.

Kulingana na wataalam hao wa Umoja wa Mataifa, uingiliaji wa jeshi la Rwanda na operesheni zake za kijeshi katika mkoa wa Kivu Kaskazini katika maeneo ya Nyiragongo, Rutshuru na Masisi, ulikuwa muhimu kwa waasi hao kutanua maeneo zaidi inayoyadhibiti kati ya Januari na Machi mwaka huu.

Mkoa wa Kivu Kaskazini umekuwa chini ya udhibiti wa waasi wa M23 tangu mwishoni mwa mwaka 2021, huku kundi hilo likinyakua maeneo makubwa na kuanzisha utawala wa kivyake katika maeneo ambayo sasa yako chini ya udhibiti wake.

Chanzo: AFP
Umesahau na USA hukoo
 
Hawajawahi kutumiwa na Rwanda kuihujumu Congo. Isipokuwa tangu mara tu baada ya uhuru hawa Watutsi wamekuwa wakitendewa sivyo kama vile hawastahili kuishi Congo. Kama Congo hawatakiwi wanatakiwa kukataliwa pamoja na kipande chao cha ardhi waliyokuwa wakiikalia tangu kabla ya ukoloni.
Hawajawahi kutumiwa na rwanda, UN wanasema wanajeshi wa rwanda takribani 3000 hadi 4000 wako congo wakiwasaidia hao watutsi m23, kuchinja wakinamama na watoto na huku wakiwachomea wengine ndani ya nyumba zao, kwa hiyo unadhani ni sawa tukisema kuwa m23 ni jeshi kutoka rwanda? Au wanajeshi wa rwanda ndiyo m23 wenyewe? Kati ya m23 na rpf yupi ni mzalendo mwenye mapenzi mema kwa congo?
 
UN wanafiki sana. Wakati Kagame na Kabalebe wanamtoa Mobutu walikuwa wapi?. Yani Rwanda ni Wazuri wakati wa kumtoa Dikteta ila wakati wa Kulinda kundi la Wanyamulenge lililotengwa nchini Kongo ni shida.
Haya bhana, endeleeni kulinda kundi la wanyamulenge.
 
Tusti waliopo Congo wanajitambua kama Wacongo ila Congo ndo haiwatambui. Inawaona kama wakuja.
Watutsi hawatakiwi hata huko rwanda kwenyewe!! Usijifanye hujui chanzo cha 1994 genocide ni watutsi (20%)kujipa superiority against HUTUS(80%) na siku paka akilala wahutu watapokelewa kwa nderemo kwenye mipaka ya kongo watakapoenda kuwasaidia wakongo kuwafurusha hao inyenzi (cokroaches) wa mwisho baada ya kuhakikisha kuwa ardhi ya rwanda ipo safi kama sufi.
 
Tukirudi katika comment yako yako ya kwanza kabisa kwakuwaita waafrika ni kondoo sana na wanahitaji watu wa kuwafundisha wakafocus katika maisha ni vigumu sana, swali langu je wewe ni mmoja wa hao watakaowafundisha waafrika kwasababu tayari umeshapevuka na ni vigumu kupatikana au ni miongoni mwa waongeaji/watupa lawama tu bila suluhisho kivitendo?

Do Africans need people who are very talkative without being positive impact oriented?
Can you make it more substantiated please?
Nipe comments nilio andika Wafrica ni makondoo, kuna tofauti ya mtu kushangilia genocide, kwa sababu amedangan'ywa eti Israel taifa teule.

Bibilia zenu zina ongelea neno Israel ambaye ni mtu, sio hio Israel ambayo ni nchi ilio undwa 1948, wakati huo bibilia zilisha tungwa hakuna wala taifa hilo mnalo jidai ni teule , sa hapo nikiwaita watu hao kondoo ni kosa.

Usichangan'ye mkristo na mataifa .

Kuna wakati napo sema miafrica au miarabu kumbuka kuna target ya % hapo naongelea wanao pigana vita, au wanao wasikiliza wazungu sio wote.

Kila point inatokana na kisa, leo nyie mnapo waita waislam ni magaidi, mmekuja na dalili zipi, mpaa kila anaye pigana na Israel au America ni gaidi?

Au mnafato Western propoganda na Israel, na wakusudia badhi ya wakristo hapo karibu 85%, sio wote.

Usilete point ambayo sija kusudia, wewe unaye shangilia genocide, kwanini unatafuta solutions za maisha sasa, sishika basi na wewe bunduki umalize matatizo, kama kila unapo ongelea mada basi ndio akili yako ndio hio.

Kila mada inajibiwa kutokana na insight
 
mkuu we mwenye akili umesaidia nini hii nchi???

Wengine hatuna akili haya we mwenye akili umetatua tatizo gan la africa

Stupid barking dog
Kwani wewe ni katika hao wanao pigana vita? Muwe mnaelewa mtu anakusudia nini, kabla ya kujibu fikiria napo sema miafrica inayo uwana, wewe ni mmoja wapo au 😄

We ndio barking dog, kwani wewe uko Porini huko congo unapigana vita, basi wewe ndio hao miafrika isio kuwa na akili.
 
Kupigana ni nature ya binadamu hasa ukiwa masikini ! Wakongo hawana choice nchi za magharibi zina wauzia silaha waasi waue watu wao watoroshe madini
So ukielewa kinachoendelea huwezi kusema hawana akili
 
Sikuwa nafamu mwenye akili ni lazima auwe wenzake, ili maisha yake yawe mazuri, kwa hio hata majambazi utawasifia waingie kwenye majumba ya watu, wauwe wapate pesa.

Sawa nimekuelewa sasa, ndio mana akili yangu na wewe zimepishana sana, kama vile mbingu na ardhi 😄
 
Tatizo kwenye Nini?. Kulinda watu wenye asili ya kitusi nchini Kongo?. Halafu Kagame angejua angeyaachaga makongoman yapambane na Mobutu yenyewe. Akayasaidia kupitia James Kabarebe kumtoa Mobutu leo hayana shukrani.
Watu hao wenye asili ya kitutsi ni raia wa rwanda?
 
Sikuwa nafamu mwenye akili ni lazima auwe wenzake, ili maisha yake yawe mazuri, kwa hio hata majambazi utawasifia waingie kwenye majumba ya watu, wauwe wapate pesa.

Sawa nimekuelewa sasa, ndio mana akili yangu na wewe zimepishana sana, kama vile mbingu na ardhi 😄
we akili huna!! Tukusamehe

sijui hata umri wako!!….
Unafikiri sudan watu wanapenda kuuliwa? au kuwana
Somalia,ukraine, drc,central africa….
Aisee ebu nenda kwene fb kwa watoto wenzio
 
we akili huna!! Tukusamehe

sijui hata umri wako!!….
Unafikiri sudan watu wanapenda kuuliwa? au kuwana
Somalia,ukraine, drc,central africa….
Aisee ebu nenda kwene fb kwa watoto wenzio
Mimi nadhani bora nikuwache na ujinga wako kama unadhani hao wanao pigana vita wana akili.

Mwenye akili hawezi kupigana vita isio na malengo, we jiulize Sudan wanao pigana lengo lao ni nini, Ukraine walikuwa na maisha mazuri kuliko sasa, lengo lao ni nini kumfurahisha Biden 😄

DRC ni vita vya wizi wanao faidi ni US na Western ndio nikasema miafrica mijinga.

We dogo mimi na kuzaa kabisa hata baba yako mdogo kwangu, nenda kanywe maziwa ulale.

Vita ni vile Hamasi na Hezbullah hivyo ndio vita vya kugombana, wana dai ardhi zao na hazirudi bila kuwala vichwa wayahudi.
 
Sasa mbona kama unanizaa mbona akili huna mzee!!

Eti wanapigana???
kuna mwananchi huwa anapiga kura kwamba tuanze kupigana au unajikuta uko katikati ya risasi??

Ni lini wa ukraine walipiga kura kua wanataka vita na Russia au ni wanasiasa wanaamua kwa manufaa yao??
Ni lini wakongo walisema sasa sisi tunataka kupigana na rwanda au waasi?

Mkuu mbona kama kichwa huna

Civilian mara zote ni victim babuu
Tumia akili hata kidogo!! basi
 
Si ndio nakuambia wewe akili huna wanaye pigana wawe viongozi au wananchi?

Mimi sijasema civilian wana makosa rudia uwe unaelewa nacho ongea, nilicho sema yanayo pigana vita kwa faida ya viongozi wao, au kwa ajili ya faida ya hao Western na US, ni mijinga iwe miafrica, miarabu au hao Ukraine.

We tatizo lako akili ni ndogo huelewi.
 
Back
Top Bottom