fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Sidhani kama kuna sehemu nimeongea kuunga mkono genocide au wanachofanya wazungu juu ya waafrika. Maswali yangu yalikuwa ni kukuchimba ili niweze kupata ufafanuzi wako wa kina juu ya kile unachokisema na kukiamini.Nipe comments nilio andika Wafrica ni makondoo, kuna tofauti ya mtu kushangilia genocide, kwa sababu amedangan'ywa eti Israel taifa teule.
Bibilia zenu zina ongelea neno Israel ambaye ni mtu, sio hio Israel ambayo ni nchi ilio undwa 1948, wakati huo bibilia zilisha tungwa hakuna wala taifa hilo mnalo jidai ni teule , sa hapo nikiwaita watu hao kondoo ni kosa.
Usichangan'ye mkristo na mataifa .
Kuna wakati napo sema miafrica au miarabu kumbuka kuna target ya % hapo naongelea wanao pigana vita, au wanao wasikiliza wazungu sio wote.
Kila point inatokana na kisa, leo nyie mnapo waita waislam ni magaidi, mmekuja na dalili zipi, mpaa kila anaye pigana na Israel au America ni gaidi?
Au mnafato Western propoganda na Israel, na wakusudia badhi ya wakristo hapo karibu 85%, sio wote.
Usilete point ambayo sija kusudia, wewe unaye shangilia genocide, kwanini unatafuta solutions za maisha sasa, sishika basi na wewe bunduki umalize matatizo, kama kila unapo ongelea mada basi ndio akili yako ndio hio.
Kila mada inajibiwa kutokana na insight
Hapo nilibold usipakimbie, umeniomba nikuoneshe wapi uliposema waafrika ni kondoo sana. Usiwe unasahau unachokisema mwanzo na kukonclude kwa ya mbele yanayokujia kichwani. Mpaka sasa najidhihirisha kuwaMiafrika akili haina kazi kuwana tu, hio Congo haiwezi kutulia sio sababu ya Kagame, ni sababu ya USA na Western hao hawawezi kukubali mwafrika aishi kwa amani na starehe kwenye mali zao.
Wafrika ni makondoo sana, kupata watu wenye akili wakafocus na maisha ya nchi zao, na kuhudumia wananchi zao ni vigumu sana
1. Wewe ni mdini; you're very biased when it comes to westernization
2. Negative oriented person; Unapenda kulaumu pasipo kuwa na solutions katika kile unacholaumu.
Katika yote uliyoyaongea hakuna strong strategy ambayo waafrika wanaweza wakatumia kujikwamua toka katika hali uliyoiongelea.
Conclusions; kama vijana tujenge tabia ya kuchambua mambo with solutions ambazo hata ukiwezeshwa na kupewa nafasi ya kutatua utakuwa na uwezo wa kufanya moja mbili tatu na jamii ikaona kile unachokisimamia.