Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Tusti waliopo Congo wanajitambua kama Wacongo ila Congo ndo haiwatambui. Inawaona kama wakuja.Shida ni hao watusi wanajikubali kua ni wakongo au bado wanajinasibu kua ni warwanda...
Mfano mmasai au mjaluo wa Tz atabaku kua mtz na mkenya anakubali kua ni mkenya..
Shida ya hao watusi unaowatetea hua wanajitia uspecial sana na pia hawakubali kua ni raia wa nchi hiyi wanaishi, sasa kama ni ivo warudi kwao, au waiishi kama wakimbizi
siyo wana mchekea yule ni CIA!! jichanganye uone marekani,british na ufaransa watavo kuvaaaKagame wakiendelea kumchekea Kuna siku atakuja kuchambisha East Africa nzima
mkuu we mwenye akili umesaidia nini hii nchi???Miafrika akili haina kazi kuwana tu, hio Congo haiwezi kutulia sio sababu ya Kagame, ni sababu ya USA na Western hao hawawezi kukubali mwafrika aishi kwa amani na starehe kwenye mali zao.
Lazima watafute mjinga wamtumie kwa faida zao, exactly kama wanavyo fanya nchi za kiarabu.
We leo unakuta jitu linashangilia genocide zinazo fanywa na Israel, eti taifa teule, yani taifa lenu ni la watumwa au 😆
Wafrika ni makondoo sana, kupata watu wenye akili wakafocus na maisha ya nchi zao, na kuhudumia wananchi zao ni vigumu sana.
Umesahau na USA hukooUN: Vikosi vya Rwanda vyasaidiana na M23 kupigana Kongo
Ripoti moja ya wataalam wa Umoja wa Mataifa iliyoonekana na shirika la habari la Ufaransa AFP inasema, kati ya wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo.
Ripoti hiyo inasema Kigali, ndiyo inayodhibiti operesheni za waasi hao wa M23.
Watafiti wa ripoti hiyo walikadiria wakati wa kuandikwa kwake mnamo mwezi Aprili kwamba, idadi ya vikosi vya Rwanda inalingana au imeivuka idadi ya waasi wa M23 ambayo ilikuwa inadaiwa kuwa karibu 3,000.
Ripoti hiyo inajumuisha picha zilizohakikiwa, mikanda ya video, picha zilizopigwa na droni, ushuhuda na ripoti za majasusi mambo yanayothibitisha uingiaji wa jeshi la Rwanda RDF huko mashariki mwa Kongo.
Watoto kusajiliwa jeshini
Mikanda hiyo ya video na picha zinaonesha milolongo ya wanajeshiwaliojihami wakitumia silaha na magari ya kijeshi yaliyo na mifumo ya kuzuia mashambulizi ya makombora ya ndege. Picha hizo pia zinaonesha malori yanayotumiwa kuwasafirisha wanajeshi.
Vile vile ripoti hiyo inaeleza kwamba watoto kuanzia umri wa miaka 12 wamesajiliwa kutoka walau kila kambi ya wakimbizi ndani ya Rwanda na wanapelekwa katika kambi za mazoezi katika maeneo ya waasi chini ya usimamizi wa wanajeshi wa Rwanda na wanamgambo wa M23.
Inaongeza kwamba watoto walio na umri wa miaka 15 na zaidi wanapewa mafunzo ya kijeshi na kupelekwa vitani ili kuwa katika mstari wa mbele kushiriki mapigano hayo.
Wataalam hao wa Umoja wa Mataifa wanadai kwamba kusajiliwa kwa watoto jeshini nchini Rwanda, ni jambo linalofanywa na maafisa wa ujasusi wakitoa ahadi za uongo za mishahara na malipo kwa watoto hao. Inaripotiwa kwamba wale wanaopinga, wanachukuliwa na kusajiliwa jeshini kwa nguvu.
Rwanda iliwasaidia waasi kunyakua maeneo mengi zaidi
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imekuwa ikiituhumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M23 ila Kigali imekuwa mara zote ikikanusha vikali tuhuma hizo.
Lakini ripoti hiyo iliyoitishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, inasema hatua ya jeshi la Rwanda kuzidhibiti harakati za waasi wa M23 ni jambo linaloifanya nchi hiyo kulaumiwa kwa vitendo vya waasi hao.
Kulingana na wataalam hao wa Umoja wa Mataifa, uingiliaji wa jeshi la Rwanda na operesheni zake za kijeshi katika mkoa wa Kivu Kaskazini katika maeneo ya Nyiragongo, Rutshuru na Masisi, ulikuwa muhimu kwa waasi hao kutanua maeneo zaidi inayoyadhibiti kati ya Januari na Machi mwaka huu.
Mkoa wa Kivu Kaskazini umekuwa chini ya udhibiti wa waasi wa M23 tangu mwishoni mwa mwaka 2021, huku kundi hilo likinyakua maeneo makubwa na kuanzisha utawala wa kivyake katika maeneo ambayo sasa yako chini ya udhibiti wake.
Chanzo: AFP
Hawajawahi kutumiwa na rwanda, UN wanasema wanajeshi wa rwanda takribani 3000 hadi 4000 wako congo wakiwasaidia hao watutsi m23, kuchinja wakinamama na watoto na huku wakiwachomea wengine ndani ya nyumba zao, kwa hiyo unadhani ni sawa tukisema kuwa m23 ni jeshi kutoka rwanda? Au wanajeshi wa rwanda ndiyo m23 wenyewe? Kati ya m23 na rpf yupi ni mzalendo mwenye mapenzi mema kwa congo?Hawajawahi kutumiwa na Rwanda kuihujumu Congo. Isipokuwa tangu mara tu baada ya uhuru hawa Watutsi wamekuwa wakitendewa sivyo kama vile hawastahili kuishi Congo. Kama Congo hawatakiwi wanatakiwa kukataliwa pamoja na kipande chao cha ardhi waliyokuwa wakiikalia tangu kabla ya ukoloni.
Haya bhana, endeleeni kulinda kundi la wanyamulenge.UN wanafiki sana. Wakati Kagame na Kabalebe wanamtoa Mobutu walikuwa wapi?. Yani Rwanda ni Wazuri wakati wa kumtoa Dikteta ila wakati wa Kulinda kundi la Wanyamulenge lililotengwa nchini Kongo ni shida.
Watutsi hawatakiwi hata huko rwanda kwenyewe!! Usijifanye hujui chanzo cha 1994 genocide ni watutsi (20%)kujipa superiority against HUTUS(80%) na siku paka akilala wahutu watapokelewa kwa nderemo kwenye mipaka ya kongo watakapoenda kuwasaidia wakongo kuwafurusha hao inyenzi (cokroaches) wa mwisho baada ya kuhakikisha kuwa ardhi ya rwanda ipo safi kama sufi.Tusti waliopo Congo wanajitambua kama Wacongo ila Congo ndo haiwatambui. Inawaona kama wakuja.
Nipe comments nilio andika Wafrica ni makondoo, kuna tofauti ya mtu kushangilia genocide, kwa sababu amedangan'ywa eti Israel taifa teule.Tukirudi katika comment yako yako ya kwanza kabisa kwakuwaita waafrika ni kondoo sana na wanahitaji watu wa kuwafundisha wakafocus katika maisha ni vigumu sana, swali langu je wewe ni mmoja wa hao watakaowafundisha waafrika kwasababu tayari umeshapevuka na ni vigumu kupatikana au ni miongoni mwa waongeaji/watupa lawama tu bila suluhisho kivitendo?
Do Africans need people who are very talkative without being positive impact oriented?
Can you make it more substantiated please?
Kwani wewe ni katika hao wanao pigana vita? Muwe mnaelewa mtu anakusudia nini, kabla ya kujibu fikiria napo sema miafrica inayo uwana, wewe ni mmoja wapo au 😄mkuu we mwenye akili umesaidia nini hii nchi???
Wengine hatuna akili haya we mwenye akili umetatua tatizo gan la africa
Stupid barking dog
Kupigana ni nature ya binadamu hasa ukiwa masikini ! Wakongo hawana choice nchi za magharibi zina wauzia silaha waasi waue watu wao watoroshe madiniKwani wewe ni katika hao wanao pigana vita? Muwe mnaelewa mtu anakusudia nini, kabla ya kujibu fikiria napo sema miafrica inayo uwana, wewe ni mmoja wapo au 😄
We ndio barking dog, kwani wewe uko Porini huko congo unapigana vita, basi wewe ndio hao miafrika isio kuwa na akili.
Sikuwa nafamu mwenye akili ni lazima auwe wenzake, ili maisha yake yawe mazuri, kwa hio hata majambazi utawasifia waingie kwenye majumba ya watu, wauwe wapate pesa.Kupigana ni nature ya binadamu hasa ukiwa masikini ! Wakongo hawana choice nchi za magharibi zina wauzia silaha waasi waue watu wao watoroshe madini
So ukielewa kinachoendelea huwezi kusema hawana akili
Watu hao wenye asili ya kitutsi ni raia wa rwanda?Tatizo kwenye Nini?. Kulinda watu wenye asili ya kitusi nchini Kongo?. Halafu Kagame angejua angeyaachaga makongoman yapambane na Mobutu yenyewe. Akayasaidia kupitia James Kabarebe kumtoa Mobutu leo hayana shukrani.
Wakongo wanaichukia hiyo jamii vibaya sana.Mimi sijapinga hoja ya kuwa Congo ina Watutsi kuanzia wakati wa ukoloni. Hoja ni kuwa, hawa wamekuwa wakitumiwa na Rwanda katika kuihujumu Congo.
we akili huna!! TukusameheSikuwa nafamu mwenye akili ni lazima auwe wenzake, ili maisha yake yawe mazuri, kwa hio hata majambazi utawasifia waingie kwenye majumba ya watu, wauwe wapate pesa.
Sawa nimekuelewa sasa, ndio mana akili yangu na wewe zimepishana sana, kama vile mbingu na ardhi 😄
Wakongo wako sahihi. Walishaijua jamii hiyo haifai kuchanganyika nayo.Tusti waliopo Congo wanajitambua kama Wacongo ila Congo ndo haiwatambui. Inawaona kama wakuja.
hawawatambui kutokana na kile walichokiona katka first congo war na second hapo ndo tofauti zilipoanziaTusti waliopo Congo wanajitambua kama Wacongo ila Congo ndo haiwatambui. Inawaona kama wakuja.
Mimi nadhani bora nikuwache na ujinga wako kama unadhani hao wanao pigana vita wana akili.we akili huna!! Tukusamehe
sijui hata umri wako!!….
Unafikiri sudan watu wanapenda kuuliwa? au kuwana
Somalia,ukraine, drc,central africa….
Aisee ebu nenda kwene fb kwa watoto wenzio
Sasa mbona kama unanizaa mbona akili huna mzee!!Mimi nadhani bora nikuwache na ujinga wako kama unadhani hao wanao pigana vita wana akili.
Mwenye akili hawezi kupigana vita isio na malengo, we jiulize Sudan wanao pigana lengo lao ni nini, Ukraine walikuwa na maisha mazuri kuliko sasa, lengo lao ni nini kumfurahisha Biden 😄
DRC ni vita vya wizi wanao faidi ni US na Western ndio nikasema miafrica mijinga.
We dogo mimi na kuzaa kabisa hata baba yako mdogo kwangu, nenda kanywe maziwa ulale.
Vita ni vile Hamasi na Hezbullah hivyo ndio vita vya kugombana, wana dai ardhi zao na hazirudi bila kuwala vichwa wayahudi.
Si ndio nakuambia wewe akili huna wanaye pigana wawe viongozi au wananchi?Sasa mbona kama unanizaa mbona akili huna mzee!!
Eti wanapigana???
kuna mwananchi huwa anapiga kura kwamba tuanze kupigana au unajikuta uko katikati ya risasi??
Ni lini wa ukraine walipiga kura kua wanataka vita na Russia au ni wanasiasa wanaamua kwa manufaa yao??
Ni lini wakongo walisema sasa sisi tunataka kupigana na rwanda au waasi?
Mkuu mbona kama kichwa huna
Civilian mara zote ni victim babuu
Tumia akili hata kidogo!! basi