Wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo

Sidhani kama kuna sehemu nimeongea kuunga mkono genocide au wanachofanya wazungu juu ya waafrika. Maswali yangu yalikuwa ni kukuchimba ili niweze kupata ufafanuzi wako wa kina juu ya kile unachokisema na kukiamini.
Hapo nilibold usipakimbie, umeniomba nikuoneshe wapi uliposema waafrika ni kondoo sana. Usiwe unasahau unachokisema mwanzo na kukonclude kwa ya mbele yanayokujia kichwani. Mpaka sasa najidhihirisha kuwa
1. Wewe ni mdini; you're very biased when it comes to westernization
2. Negative oriented person; Unapenda kulaumu pasipo kuwa na solutions katika kile unacholaumu.
Katika yote uliyoyaongea hakuna strong strategy ambayo waafrika wanaweza wakatumia kujikwamua toka katika hali uliyoiongelea.
Conclusions; kama vijana tujenge tabia ya kuchambua mambo with solutions ambazo hata ukiwezeshwa na kupewa nafasi ya kutatua utakuwa na uwezo wa kufanya moja mbili tatu na jamii ikaona kile unachokisimamia.
 
Sidhani kama kuna sehemu nimeongea kuunga mkono genocide au wanachofanya wazungu juu ya waafrika. Maswali yangu yalikuwa ni kukuchimba ili niweze kupata ufafanuzi wako wa kina juu ya kile unachokisema na kukiamini.
Vipi useme sidhani kwani wewe ni hi tu mada umechangia, wakati kuna mada zingine unawasupport Israel.

Hi point ulio highlighted ambayo tunaiongelea inawapoint wanao shiriki uwaji na kuwasupport Western na US agenda.

Ukisoma kuanzia mwanzo wa kujibu kwangu hio point naongelea wanao uwana. Wanao pigana vita huko Congo, ni nani wazungu?

Ulitaka niseme wazungu ni makondoo? Makondoo ni wale wafrica wanao uwana.

Nilisha kuambia kila mada inajibiwa kutokana na mada yenyewe, sa we akilini kwako wanao pigana kule Congo, ni wote hawa wanapigana kwa faida zao, na watoto zao?

Au wanepewa bunduki na tupesa ambazo hazita wasaidia lolote, wanao faidika ni Western, US na ma puppets wao tu, sa hao wana akili?

Si bora wangetafuta asali wakauza, au biashara zingine kuliko biashara kuwauwa watu wasio na hatia, utakuwa huna raha duniani wala kule akhera, lazima kwenye hesabu pale kwa Mungu utahukumiwa tu kwa makosa yako

Hio ya kusema nachukia Western sio kweli, nachukia vitendo vya serekali zao na wajinga wanao wasupport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…