Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

Anga za kimataifa wajeda wanapata aibu ya mwaka, ujue watanzania Wana tabia za ajabu sana yaani no matter iweje ila Kuna zile tabia kbasa watu hawezi acha iwe mwanajeshi
Polisi au watumishi ndo maana unakuta watu wanafanya vitu kwa mazoea tu
 
na mjadara wetu wa jkt kunyanyasa watoto wa kike wale wa mujibu wa sheria uendelee, kuna ukweli hapa....jeshi likishakuwa la kujuana tayari uadilifu unapungua.... by the way wanajeshi siyo watumishi wa umma mikataba yao ya ajira isitishwe mara moja na wahukumiwe mara moja.
 
Hili nalo likaanngaliwe vizuri,

System ya usalama (jwtz, polisi, tis, zimamoto, magereza) kunamapungufu makubwa, wakiwasikiliza watendaji wa ngazi za chini na wakafanya tafiti nzuri wanaweza pokea maoni bora kabisa kwaajili ya kufanya maboresho. tusisubiri litokee la kutokea tukaumbuka.
 
Acheni ubakaji,kama unampenda demu basi "ongea naye mpaka mwisho ni mia tano" in Masai voice
Nalog off
Vitani ubakaji ni mkubwa sana.
Hata Uganda walibakwa sana wanawake. Hiyo ni kawaida.

Hata Ukraine watu kibao walibakwa

Kuna dogo wa miaka 8 alipigwa mande na kikosi kizima hadi akafa
 
Walinda Amani wengi wa Tanzania Kongo wao huiba sana Dhahabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…