HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Watafukuzwa kazi, hawatapata pensheniWanyongwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafukuzwa kazi, hawatapata pensheniWanyongwe
JKT watu wanabakwa sana ila wengi huogopa sema wamebakwa wanaamua kukaa kimya na hiyo siri
Kwamba UN wakutoe relini?Msitutoe kwenye reli tunataka kuona kinacho jiri leo tukiuza bandari
Wanaume huwa tunaangushwa na maku tu Wala hakuna chochote,yaani mie nawachekigi watu wanatafuta nguvu za kiume sijui wazipeleke wapi labda tungejikita kutafuta nguvu za kichwani Mana hata za mwili dunia hii hazina kazi Mana hatulimi kwa mikono, kupigana,kunyanyua zege.Anga za kimataifa wajeda wanapata aibu ya mwaka, ujue watanzania Wana tabia za ajabu sana yaani no matter iweje ila Kuna zile tabia kbasa watu hawezi acha iwe mwanajeshi
Polisi au watumishi ndo maana unakuta watu wanafanya vitu kwa mazoea tu
Ila kweli hao huwa wakitoka Depo wanachofikiria ni pombe na ngono tu.Unaongelea wanajeshi?
Hao ndo wamesambaza HIV kwa kasi ule mwaka 1978 , ukifuatilia utajua mwaka huo maambuziko yalikuwe mengi na waliutoa huko uganda .
Mwaka 20's wengi walikufa kwa HIV walikuwa wanajeshi na channel zao za michepuko ...
Vijana maadili hawana walikuwa hata bia wanauziwa bei ya chini na ndo maana wengi wanakuwa walevi na wapenda starehe.
We hujui wale mademu wanatumia kama fursa ya kupata msaada wa UN hawajabakwa hao basi tu jumba bovu ili wapone njaa zaoAcheni ubakaji,kama unampenda demu basi "ongea naye mpaka mwisho ni mia tano" in Masai voice
Nalog off
SawaWe hujui wale mademu wanatumia kama fursa ya kupata msaada wa UN hawajabakwa hao basi tu jumba bovu ili wapone njaa zao
Kunyoa denge kama ndo fashion yao ,shenzi sana!Ila kweli hao huwa wakitoka Depo wanachofikiria ni pombe na ngono tu.
Sio kwamba wanabaka directly Mzee..once ukitoka uku kwenda kulinda amani hutakiwi kufanya mapenzi na raia yeyote wa kule ata kama mmekubaliana inahesabika umebaka,ikijulikana au ukionwa tu kibarua huna tena uko Kwa taratibu zilivyoAcheni ubakaji,kama unampenda demu basi "ongea naye mpaka mwisho ni mia tano" in Masai voice
Nalog off
Poleni mliobakwa,tatizo kwa wanajeshi huwa ni nye ge au ni vitisho ili raia waogope?Vitani ubakaji ni mkubwa sana.
Hata Uganda walibakwa sana wanawake. Hiyo ni kawaida.
Hata Ukraine watu kibao walibakwa
Kuna dogo wa miaka 8 alipigwa mande na kikosi kizima hadi akafa
Nimekuelewa mkuuSio kwamba wanabaka directly Mzee..once ukitoka uku kwenda kulinda amani hutakiwi kufanya mapenzi na raia yeyote wa kule ata kama mmekubaliana inahesabika umebaka,ikijulikana au ukionwa tu kibarua huna tena uko Kwa taratibu zilivyo
Ila chanzo ni walimu tuuWanajeshi wetu wa bongo elimu Hawana wao wanaamini kuwa wanajeshi umemaliza kila kitu, waishie huko huko hatutaki vibaka sisi
Yale wanayowafanyia raia hapa home wameenda kuyaonesha huko.Walinda amani wa Tanzania kurejeshwa nyumbani kutokana na madai ya utovu wa nidhamu CAR
9 Juni 2023Haki za binadamu
Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) chenye makao yake makuu mjini Bangui, kimetangaza uamuzi wa Sekretarieti, kuwarudisha nyumbani kikosi cha wanajeshi 60 wa Tanzania, waliokuwa wametumwa katika kambi ya muda ya operesheni katika eneo la magharibi mwa nchi hiyo kufuatia madai makubwa ya matendo ya unyanyasaji wa kingono yanayodaiwa kutekelezwa na walinda amani hao, msemaji wa Umoja wa Mataifa amewaeleza walinda waandishi wa Habari hii katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, jijini New York, Marekani.
Msemaji wa Katibu Mkuu wa UN, Stéphane Dujarric, amesema, "Uamuzi huo unakuja baada ya uchunguzi wa awali ambao ulipata ushahidi wa kuaminika kwamba walinda amani 11 wa kitengo hicho walidaiwa kujihusisha na unyanyasaji wa kingono kwa waathirika wanne.”
Akifafanua zaidi Dujarric amesema, “Waathiriwa waliotambuliwa wanapatiwa matunzo na usaidizi kutoka kwa wadau wa operesheni za kibinadamu. MINUSCA pia imetuma timu ili kuzungumza zaidi na jamii.
Tanzania imetuma wachunguzi
Kwa mujibu wa Dujarric, “Mamlaka za Tanzania zimearifiwa rasmi na zimetuma maafisa wa uchunguzi wa kitaifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Katika kuthibitisha dhamira yao ya kutovumilia kabisa unyanyasaji wa kijinsia na kingono, mamlaka za Tanzania zilibaini uzito wa tuhuma hizo na wamejitolea kuchukua hatua zinazohitajika kushughulikia masuala haya.”
Msemaji huyo amesema, “Kikosi kimehamishwa na kupelekwa katika kambi nyingine huku uchunguzi ukiendelea, na wahusika wa kitengo hicho wamezuiliwa kwenye kambi, hii ni kwa ajili ya kuwalinda waathirika na bila shaka uadilifu wa uchunguzi. Kikosi hicho kitarejeshwa nyumbani pindi ambapo uwepo wao hautahitajika tena kwa wachunguzi.”
Vilevile Dujarric ameeleza, “Uamuzi wa Sekretarieti kurudisha kikosi hiki ni kwa mujibu wa azimio namba 2272 la Baraza la Usalama, ambapo Baraza 'linaidhinisha uamuzi wa Katibu Mkuu wa kurudisha nyumbani kikosi fulani cha kijeshi au kuunda kitengo cha polisi cha kikosi wakati kuna ushahidi wa kuaminika wa unyanyasaji wa kingono ulioenea au wa kimfumo unaofanywa na kitengo hicho'.
Msemaji huyo wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, "Umoja wa Mataifa unasalia na nia ya kutekeleza kwa dhati sera ya Katibu Mkuu ya kutovumilia kabisa unyonyaji na unyanyasaji wa kijinsia."
Akili zako hazipo sawaIla chanzo ni walimu tuu
Graduate wote huwa ni commissioned officers jeshiniMfumo wa jeshi uboreshwe wawe wanaajiriwa graduates walau Kwa kuanzia .
Elimu kwa mtu ambae amejitolea mwili wake kwa Risasi.Wanajeshi wetu wa bongo elimu Hawana wao wanaamini kuwa wanajeshi umemaliza kila kitu, waishie huko huko hatutaki vibaka sisi