Wanajeshi na Askari mnatumia nini kuzuia ndevu na vipele?

Ukimaliza kunyoa fanyiwa scrub hutakuja kuona hicho kipele hata moja na mm ilikuwa ivyo mwanzoni
 
Vipele vya ndevu havina dawa! Dawa ni kunyoa kwa time interval fupi siku 3 au 4 nyoa utaja kushukuru bdae
 
Mashine yako binafsi?? Mashine hazitoi vipele kwa wengi..
 
Inaweza kutumika kwa nywele za kwa bibi

Si nzuri kwa mitaa ya ikulu ndogo as inatoa nywele kwa kuziozesha in few minutes then unazoa tu sasa kule inaweza athiri ile moisture ya kule!
 
Kwenye uso,mikono,miguu. Unatumia na inaondoa kila kitu na kubaki bila unywele

Kwa bibi usitumie those chemicals na kwa bibi hazifai kabisa pia hiyo ngozi ya kwa bibi laini sana maana inaweza kukubabua ukabaki na vidonda
Wanauza wapi? Hebu elekeza vizuri.
 
Ukiona mtu/Kijana ananyoa ndevu zote huyo ana Indicator za uchokoo
 
Ukiona mtu/Kijana ananyoa ndevu zote huyo ana Indicator za uchokoo
Wewe baso mdogo ndiyo kwanza unaanza kuota ndevu ndiyo maana unaona wengine wanaonyoa maboya, ngoja umri uende na ufike mahali zinakukera au una kazi isiyotaka uwe nazo
 
Huwa tunatumia mafuta ya taa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…