Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Jaman jamannjoo pm mamii...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman jamannjoo pm mamii...
DUUUH HIO USHAURI SIO POAAAAAAAAAAAAAAAATumia alovera, tafuna lijipande zima kabisa mara moja kwa mwezi
Mashine yako binafsi?? Mashine hazitoi vipele kwa wengi..Moja kwa moja kwenye hoja,
Mimi ni miongoni mwa wasiyopenda ndevu kabisa. Nikitoa ndevu naonekana nadhifu sana na najisikia kujiamini kuliko nikiacha ndevu ziote.
Utaratibu wangu ni kunyoa mara moja kwa wiki na inanighalimu sana na inanipotezea muda. Hata hivyo, ndani ya wiki lazima ndevu ziote na kuchoma na kutoa vipele.
Mwanzo nilikua natumia nyembe nikaona sipati matokeo ninayoyataka, nikawa natumia mashine, lakini hakuna mabadiliko yoyote.
Lakini wanajeshi na askari kwa matakwa ya taaluma yao huwa hawafugi ndevu na mara zote wako nadhifu. Ebu wakuu tusaidieni videkozo vya namna ya kunyoa ndevu na kuepuka kutokea vipele.
Karibuni.
Kama vipi ajimwagie timdikali basi sehemu ambazo ndevu huota...Paka conc. sulphuric acid mkuu ili utoe na kidevu kisiwepo kabisa maana akili huna.
Inaweza kutumika kwa nywele za kwa bibi
Poa thanksSi nzuri kwa mitaa ya ikulu ndogo as inatoa nywele kwa kuziozesha in few minutes then unazoa tu sasa kule inaweza athiri ile moisture ya kule!
Simshauri na heri anyoe kwa kufuata kanuni za ndevu zinazotakiwa ngoja nilete somoMagic powder tumia, kidevu cheupe kabisa
7-9k inauzwa
Yaani jina langu ndio tibaMagic powder tumia, kidevu cheupe kabisa
7-9k inauzwa
Inauzwa bei gan?Tumia aftershave lotion
Wanauza wapi? Hebu elekeza vizuri.Kwenye uso,mikono,miguu. Unatumia na inaondoa kila kitu na kubaki bila unywele
Kwa bibi usitumie those chemicals na kwa bibi hazifai kabisa pia hiyo ngozi ya kwa bibi laini sana maana inaweza kukubabua ukabaki na vidonda
Wewe baso mdogo ndiyo kwanza unaanza kuota ndevu ndiyo maana unaona wengine wanaonyoa maboya, ngoja umri uende na ufike mahali zinakukera au una kazi isiyotaka uwe nazoUkiona mtu/Kijana ananyoa ndevu zote huyo ana Indicator za uchokoo
Huwa tunatumia mafuta ya taa!Moja kwa moja kwenye hoja,