Wako wapiWnajeshi anaopinga umami wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu
Zaidi Tazama hapa Wanajeshi Wa Israel wakiandamana
Ni tukio la jana Kuna waandamaji walifunga barabara baada ya Netanyahu kumfukuza GallantWnajeshi anaopinga uamuzi wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu hii imetokea leo Israel.
Zaidi Tazama hapa Wanajeshi Wa Israel wakiandamana
Wnajeshi anaopinga uamuzi wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu hii imetokea leo Israel.
Zaidi Tazama hapa Wanajeshi Wa Israel wakiandamana
Wako wapi
Wanajeshi waandamana?! Dah nyie wazee hadi huruma.
Usikute hapo kwenye kijiwe cha kahawa wewe ndio unaaminika asee.
OP kaeka link hadi uclick ikiwa na video Wakiwa na uniformmaandamano jeshini? never on earth !!!!
YESU NI BWANA&MWOKOZI
Hio sio JWTZ..maandamano jeshini? never on earth !!!!
YESU NI BWANA&MWOKOZI
Hio sio JWTZ..
Wanajeshi wa Israel wamechoka kupelekwa mbele vitani kuchinjwa na kuumizwa..
Gallant alikuwa anapingana na Netanyahu kwa muda mrefu, hata suala la mateka, Gallant alionelea ni vyema yafanyike mazunguzo na si vita kuendelea...sasa shida ni kupelekwa mbele vitani ama ni kuondolewa kwa waziri.
mbona mnajifariji kizembe hivi
Trump tena?Gallant alikuwa anapingana na Trump kwa muda mrefu, hata suala la mateka, Gallant alionelea ni vyema yafanyike mazunguzo na si vita kuendelea...
Kama hao askari wanaandamana unafikiri ina maana ipi?
Assume ni kweli kwamba moja ya sababu ya waziri kuondolewa ni kutaka Ultra Orthodox Jews nao pia wa serve jeshini, na wewe ni mwanajeshi, utakubali kila siku mnakufa wakati kuna wenzenu wanakula tu Maisha na jamii yao wote haipigani vita?sasa shida ni kupelekwa mbele vitani ama ni kuondolewa kwa waziri.
mwanajeshi kufa kwa malaria ni fedheha, mjeda hufia vitani
Video ya jamaa ambayo wewe umechukua Screenshot inaonesha wengi ya hao wanajeshi ama wewe unaewaita polisi wakiwa wamejificha sura zao kwa vitambaa, unaweza kutuambia ni majukumu gani hayo ambayo yanawafanya wao wajizibe sura na vitambaa?Usiwe unakurupuka bila research
View attachment 3145692
Hizo ni unform za mapolisi wa Israel wakiwa kwenye majukumu yao
Wanajeshi wanaendelea kupiga mzigo
View attachment 3145691
Netanyahu sijui anafikiri nini, ila vita inahuzunisha sanaWanajeshi anaopinga uamuzi wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu hii imetokea leo Israel.
Zaidi Tazama hapa Wanajeshi Wa Israel wakiandamana
No, Sorry, Netanyahu...Trump tena?
Usikute wewe una familia na wanakutegemea eti ndio kichwa cha familia!Wanajeshi waandamana?! Dah nyie wazee hadi huruma.
Usikute hapo kwenye kijiwe cha kahawa wewe ndio unaaminika asee.
Walokole bhana,maandamano jeshini? never on earth !!!!
YESU NI BWANA&MWOKOZI