Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maanisha nini kusema kua Hamas na Hizbullah wameshajikataa na hawana cha kupoteza?Narudia tena, ni hatari kupigana vita na hivi vikundi kama Hamas, Hizbollah nk, hawa wameshajikataa na hawana cha kupoteza
Raia wa Israel wanaishi kama nguchiro wakihofia makomboraNETANYAHU anakisasi cha tangu ujanani baada ya kuuwawa kaka ktk oposheni entebe uyo jsmaaa ndio atasababisha kuanguka icho kitaifa vita inawagalimu sio pesa pesa wanazo tatizo kubwa wajeda wanakufa sana na vita sasa avipoi kwenye miji yao AD nayo tatizo tofaut n siku za nyumu hii inapelekea watu kuikimbia ISRAEL kwawingi na wengi wao wanasema awatorudi tena. ISRAEL ilifanyakazi sana kuwashawish watu waende Israel sasa mavita vita yanawachosha. Raia wajeda.na Netanyahu kakaza fuvu lake la vita vita akiwa na lengo la kuuwa wapalestin wengi kuliko yoyote,
Una maanisha nini kusema kua Hamas na Hizbullah wameshajikataa na hawana cha kupoteza?
Hivyo vikundi vinapigania uhuru wao,hao ni freedom fighters ila westerners wamewaaminisha kua ni vikundi vya kigaidi kwa maslahi yao,unapochoka kuonewa na kufungiwa mipaka,utakua tayari kufanya lolote lile ili kujiokoa.
Nimekuelewa Mkuu.Mtu anayepigania haki yake na ambaye ameshapoteza mamia ya ndugu zake, kifupi tunasema amejikataa (Hana cha kupoteza) na kifo sio hofu tena kwake, lazima apigane mpaka mwisho apate haki yake.
Kupigana vita na watu wa namna hii ni stress, maana mtakuwa mnapigana vita isiyoisha na mwisho wake ni pale haki itakapopatikana.
Duniani kote askari wa majeshi ya ulinzi na polisi hawaruhusiwi kufanya mgomo au maandamano.Hio sio JWTZ..
Wanajeshi wa Israel wamechoka kupelekwa mbele vitani kuchinjwa na kuumizwa..
Wanajeshi wanaandamana kupinga uamuzi wa serikali?Huo ni uhaini mtupu na una consequences zake.Wanajeshi anaopinga uamuzi wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu hii imetokea leo Israel.
Zaidi Tazama hapa Wanajeshi Wa Israel wakiandamana
Hao watawekwa ndani woteWanajeshi wanaandamana kupinga uamuzi wa serikali?Huo ni uhaini mtupu na una consequences zake.
Bado sijaiamini hiyo taarifa kwamba mwanajeshi mwenye kiapo cha utii kwa mamlaka na kuifia nchi afanye uhaini/uasi huo hadharani.Ngoja niifuatilie mkuu.Hao watawekwa ndani wote
Ndio taarifa haina uhakika lakini harakati za jeshi ni kusonga mbele tu hata kama munaambiwa ujinga ujinga, japo wengi IDF hawataki kwenda gaza kwakua watalazimika kuua watoto matokeo yake wanarudi vichaa. Kuna wale reserve waliandika barua kugoma kwenda LebanonBado sijaiamini hiyo taarifa kwamba mwanajeshi mwenye kiapo cha utii kwa mamlaka na kuifia nchi afanye uhaini/uasi huo hadharani.Ngoja niifuatilie mkuu.
all in all, vita ni mbaya japo haepukiki duniani humu.Gallant alikuwa anapingana na Netanyahu kwa muda mrefu, hata suala la mateka, Gallant alionelea ni vyema yafanyike mazunguzo na si vita kuendelea...
Kama hao askari wanaandamana unafikiri ina maana ipi?
Mhh! Si unajua tena mambo ya Vijiweni yakhe? Sikio halilali njaa.Wanajeshi waandamana?! Dah nyie wazee hadi huruma.
Usikute hapo kwenye kijiwe cha kahawa wewe ndio unaaminika asee.
Mbona mara nyingi tu hao IDF huko Gaza waligoma,kuna wale zaidi ya mia walitia saini petition ya kugonga,wakarudishwa home,wapo waligoma kwenda msitari wa mbele,hilo jeshi ni hovyo,ni vile halikusukwasukwa tu,sasa mbinyo kidogo,nyufa kibaoBado sijaiamini hiyo taarifa kwamba mwanajeshi mwenye kiapo cha utii kwa mamlaka na kuifia nchi afanye uhaini/uasi huo hadharani.Ngoja niifuatilie mkuu.
Kuondolewa gallant, askari kugoma ni dalili ya vita kwenda mrama,vita vingekua vinaenda poa waziri wa ulinzi asingefukuzwa,unamfukuzaje waziri wa ulinzi nchi ipo vitani!?Hali imekuwa mbaya sana upande wetu
Anastasia ni antisemitic, hivyo akipata kataarifa kadogo tu ka kuichafua Israel ataikuza sana. Mm ninachjua Israel is a democracy tena iliyokomaa.usitegemee kuwe na coup. Mtaruhusiwa to vent your anger mtaaani, lakini itabidi mtumie ballot box kumtoa kiongozi madarakaniWanajeshi anaopinga uamuzi wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu hii imetokea leo Israel.
Zaidi Tazama hapa Wanajeshi Wa Israel wakiandamana