NETANYAHU anakisasi cha tangu ujanani baada ya kuuwawa kaka ktk oposheni entebe uyo jsmaaa ndio atasababisha kuanguka icho kitaifa vita inawagalimu sio pesa pesa wanazo tatizo kubwa wajeda wanakufa sana na vita sasa avipoi kwenye miji yao AD nayo tatizo tofaut n siku za nyumu hii inapelekea watu kuikimbia ISRAEL kwawingi na wengi wao wanasema awatorudi tena. ISRAEL ilifanyakazi sana kuwashawish watu waende Israel sasa mavita vita yanawachosha. Raia wajeda.na Netanyahu kakaza fuvu lake la vita vita akiwa na lengo la kuuwa wapalestin wengi kuliko yoyote,