Wanajeshi wa Israel wameandamana kumpinga Netanyahu kwa kitendo cha kumfukuza Gallants

Anaamini jeshi lake lina uwezo mkubwa sana na tashinda likini kinachosikitisha kila siku anapokea maiti
 
Kuondolewa gallant, askari kugoma ni dalili ya vita kwenda mrama,vita vingekua vinaenda poa waziri wa ulinzi asingefukuzwa,unamfukuzaje waziri wa ulinzi nchi ipo vitani!?
Ndo ujinga nimeona kwa Netanyahu ni kiongozi asiyekuwa na busara .kiongozi gani anagombna na kila mtu na kuwakoromea viongozi wa ulaya
 
Na pia isreli wako too exosted hawakutegemea kupigana vita virefu hivyo
 
Ndo ujinga nimeona kwa Netanyahu ni kiongozi asiyekuwa na busara .kiongozi gani anagombna na kila mtu na kuwakoromea viongozi wa ulaya
Mgonjwa akili yule jamaa,bill clinton aliudhika nae sana,ana superiority complex ya uteule,wakati ni mpoland jina la babu yake mileikowsky benzion wa Poland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…