Mkuu, wewe ni mjinga sana wa elimu. just google "genocide convention of 1948", isome uone maana ya genocide ni nini. kwa makosa ya aina hiyo, kitu ambacho israel anaweza kuwa amefanya ni crimes against humanity (mauaji ya halaiki), au wa crimes (makosa ya kivita). kwenye hayo makosa ya vitani yapo manne,
1. genocide (mauaji ya kimbari)
2. crimes against humanity (mauaji ya halaiki)
3. war crimes (makosa ya kivita)
4. crime of aggression (nchi kuvamia nchi nyingine bila sababu).
katika makosa hayo yote manne, Mahakama ya kimataifa ilipoangalia viini vya kosa, imeona Genocide (mauaji ya kimbari) hayajafanyika, kwa yote hayo unayoyaona Gaza hapajatokea mauaji ya kimbari, ila wakaona elements za makosa zilizoojenga substantial case ni "wa crimes" nayo sio kwa ajili ya mashambulizi, bali kwa sababu israel alitumia njia ya kunyima chakula kuingia Gaza. na Kiongozi wa icc ni mwarabu toka Misri. binafs ninachoamini, pale Israel anaweza kuwa amefanya makosa ya crimes against humanity kwa kupiga eneo lenye raia na hiyo war crimes.
sasa wewe ukiona kuna bomu limedondoshwa kwenye makazi ya watu unasema hiyo ni genocide, hapana, definition ya hilo kosa sio. kupiga maeneo ya raia kama anavyofanay israel ni crimes against humanity, kwa kiswahili ni MAUAJI YA HALAIKI (sio ya kimbari), tofautisha hayo makosa mawili. usichanganye mauaji ya kimbari (genocide) na mauaji ya halaiki kama yale ya gaza (crimes against humanity). na, nina uhakika, ICC hawajataja kosa la crimes against humanity kwa sababu waliona israel ana sababu za justification, magaidi wenu wengi walikuwa wanajichanganya na raia, ndio maana wamesita kidogo kutaja hilo kosa.
haya mambo huwa hayataki hasira, kama huna elimu na akili unatakiwa kusubiri wenye uelewa wakuelimishe na ukielimishwa unatakiwa ukubali kuelewa. kosa la genocide ni gumu sana kumeet vigezo vyake. kobaz wengi mnasikiliza al jazeera wanaposema kuna genocide gaza bila kujua lengo lao, lengo lao sio kwamba hawaelewi kuwa pale hakuna genocide ila kuna hayo makosa mengine, wanachotafuta ni kukoleza chumvi ili ulimwengu uone kama israel inafanya genocide. ni kampeni ya al jazeera kutangaza kwamba pale kuna genocide, ila hakuna elements za makosa ya genocide.