Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na hatari kubwa ya kukamatwa nje ya nchi baada kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza

Hii ni chuki tu dhidi ya wayahudi.

Wanataka kuwafunga mikono kwa kutumia vitisho vya sheria ila sidhani kama hii itaathiri operation tokomeza ugaidi hapo Gaza.
Ndio kwanza bunge la Israeli limepiga kura kuongeza kipigo zaidi kwa magaidi hasa upande wa kaskazini.
Hamna kurudi nyuma
 
Masahihisho kidogo:
1. GENOCIDE-Mauaji ya Kimbari.
2. WAR-CRIME-Makosa ya kivita
3. CRIME AGAINST HUMANITY-Makosa dhidi ya binadamu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Changamoto ni Magaidi kujichanganya na Raia.
Hawajitokezi kama wapiganaji,
Hujitokeza kama wafugaji, watu ibada na wakulima wa kawaida.
Kumbe ndio haohao wapiganaji
 
Masahihisho kidogo:
1. GENOCIDE-Mauaji ya Kimbari.
2. WAR-CRIME-Makosa ya kivita
3. CRIME AGAINST HUMANITY-Makosa dhidi ya binadamu.
whatever the case, mauaji ya halaiki ni moja ya matendo yenye elements za makosa dhidi ya ubinadamu, kwa sababu sio crimes against humanity zote zinahusisha mauaji. ila ukiongea na raia wa kawaida anayetazama Gaza, yale mashambulizi kwenye maeneo ya raia, hospitali, shuleni n.k ili mtu aelewe huwa tunasema tu mauaji ya halaiki yaani yasiochagua combatants na non-combatants ili tu mtu aelewe haraka. ila kwa maana halisi, upo sahihi, ukitohoa crimes against humanity ni makosa dhidi ya ubinadamu.
 
Yahudi jeusi limechafukwa 😀
Arabu jeusi linalia lia....bado sana. Umefufuka upya. Mayahudi yametembeza kichapo hadi Assad kakimbia. Maarabu mengine nayo hoi. Maafrika tuna furahi... Wacha zipigwe.....
 
Wewe zwazwa na wenyewe amuoni aibu kuwa mazwazwa na ndio kumpigania mungu wenu basi mnamdhalilisha mungu ajawapa iyo kazi ambayo amuiwezi kiasi sasa mnamdhalilisha sijui Jehova Wenye Akili watajiuliza kama mungu wenu nyinyi ni Wakweli kwann nyinyi mnatumia uwongo kumwinua mungu wenu!!! JE NIKWELI walemavu vipofu viziwi wanapona kupitia mikelele ya Manabii mitume wachungaji JE wafu!!!!!!!!! Kama sio kweli awawezi pona kwenye ukweli lkn wanaweza pono kwenye mchongo tu JE kwann mmeamua kumdhalilisha uyo mungu wenu. Mnamsemea uwongo kuwa anaponya lkn aponyi JE MUNGU kawatuma apana sasa mnaangakia nini njaaaaa tu. Naamin mungu aitaji uduma zenu kwamaana azina msaada kwake zaid mnafosi kumdhalilisha ohhh kaponya kile na kile wkt yeye anawachungulia tu mnavyomtumia kutajilika kupitia yeye naaamini siku akikasilika akaamua kuja basi viboko vitaanza kwa awa mitume na manabiii akiwadai pesa zake.!!!!! Kisha nyinyi mnaotumwa na wachungaji na ao mitume na wengine mudanganye watu yani munampigania ktk uwongo!!! Mtapigwa na bakora ya waya ya moto. Ndio akili zitawalejea acheni Utapeli
 
Wapalestina wakamatwe kwa kufanya ubakaji, uuaji wa wajawazito , wazee , watoo\to na wasio na hatia 7-1-2023
Ukiombwa ushahidi utatoa? Unadhani wapalestina ni akina congo na kenya!! Wale wanapigana kwa ajili ya Allah, wapo tayari kwa lolote ili ardhi wasidhulumike
 
Ee saafi sana watafia hapo hapo Israel hakuna kusafiri. Kwanza hao ni international land robbers kamwe usiwakaribishe kwenye nchi yako hawaaminiki
 
Ukiombwa ushahidi utatoa? Unadhani wapalestina ni akina congo na kenya!! Wale wanapigana kwa ajili ya Allah, wapo tayari kwa lolote ili ardhi wasidhulumike
Allah anasema vita yake atapigana mwenyewe, hajaomba msaada!

Kutoka 14:14

"Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya."
Huu ni ujumbe wa Musa kwa Waisraeli walipokuwa wakikabiliwa na Wamisri waliokuwa wakiwafuatilia. Mungu alionyesha uwezo wake wa kujipigania kwa kuwagawanyia Bahari ya Shamu.

2 Wafalme 19:34 "Kwa kuwa nitalitetea mji huu ili niuokoe, kwa ajili yangu mwenyewe na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu."
Huu ni ushahidi mwingine wa Mungu kujipigania na kulinda jina lake pamoja na ahadi zake.​


Mayahudi Mungu wao anawapigania, ninyi mnampigania, aloo!
 
 
Tofautisha broo,
Huyu anayejipigania mwenyewe plus kupigania watumishi (wafuasi) wake na kuangamiza maadui wote ni Yehova, Mungu muumbaji.

Huyo anayepewa msaada wa kupiganiwa na kutetewa na wanadamu ni Allah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…