Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Allah ni tofauti na huyu wa Kwenu anayitwa Jehoha Jireh, Jehovan Nisi?Tofautisha broo,
Huyu anayejipigania mwenyewe plus kupigania watumishi (wafuasi) wake na kuangamiza maadui wote ni Yehova, Mungu muumbaji.
Huyo anayepewa msaada wa kupiganiwa na kutetewa na wanadamu ni Allah