Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

Acheni kabisa kujidanganya hakuna Mtu aliyeuwawa na kuteswa katika Mataifa ya Ulaya kama Muisraeli amekomaa haswa pogroms baada ya pogroms Genocide ya Hitler hatimae wamerudi kwao hatoki hapo na YHWH yuko nao.
 
Ukwel unachelewa kusambaa wacha tuupe mda ukwel tutaujua nani anashinda Israel or hamas or hezbollah

Ata watetezi wa ukrain walikua wanasema ivyo ivyo ila mwisho wa sku 🇷🇺 anazidi kuchukua majimbo

Ukwel unachelewa
 
Gaza ni kaeneo kenye marefu ya Kilometres 41 na kwa Mapana ya 6 Kilometres kamezungukwa na IDF maeneo yote kasoro kusini ambako ni Egypt.

IDF ni moja ya Majeshi yenye nguvu katika Mashariki ya Kati na kwengineko hiyo Vita Mwarabu hawezi kutoboa atauwawa kama Kuku.

Waisilamu wa Tanzania mnatakiwa muwashauri Waarabu kuwa waache Vita warudishe mateka wote waliowateka Israel Judea na Samaria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…