Wanajeshi wa Israel waziba chanzo cha maji kwa saruji kinachowapa Wapalestina maji mjini Hebroni

Nimeiona hii habari Al Jazeera nimesikitika sana

Halafu kuna wapuuzi wanasema Israel taifa teule la Mungu
Ni kweli islaer ni taifa teule la mungu.., lakini ukifuatilia vitabu vya injili hii Hali haikuanza Leo,ndio maana hata bwana yesu aliwaonya sana kwamba kwa kuwa wamekuwa wakatili na kuona hii zawadi waliyopewa na mungu si kitu kwao,basi hii zawadi ya uzima wa milele watapewa watu wa mataifa

Ndipo tutawaona Ibrahim na isaka na yakobo wakifurahi katika ufalme wa mungu huku Wana wa ufalme( islaer) wakitupwa nje kwenye Giza Nene hambapo kutakuwapo kilio na kusaga meno

Kama hawakuweza kumstahi mwana pekee wa mungu, unafikiri hao wapalestna watawastahi kwa lipi?
 
Hata miaka hiyo Mungu hakuwapa ushindi wa mezani. Walipigana na adui zao vita haswa na ushindi ukaja kwa njia hizo. Ukiangalia vita vya Ukraine vizuri, utagundua Israeli ana huruma sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Israel lilikuwa taifa teule lakini baada ya kuwakataa manabii wa Mungu, Mungu akaachana nao.

Ona hapa Yesu aliwachana bila kuficha Wayahudi

MATHAYO 23:37, 38

37. Ee Yerusalemu, Yerusalemu! Unayewaua manabii. Unawapiga kwa mawe wale ambao Mungu amewatuma kwako. Mara nyingi nimetaka kuwasaidia watu wako. Nimetaka kuwakusanya watu wako kama kuku anavyowakusanya vifaranga wake chini ya mbawa zake. Lakini hukuniruhusu kufanya hivyo.

38. Sasa Hekalu lako litaachwa ukiwa kabisa.

Hii ilikuwa ni laana kwa taifa la Israeli la kale na kuanzia hapo wakawa watumwa kwa taifa la Roma (Roman Empire) na wakatawanyika kutoka pale Israeli kwenda maeneo ya Ulaya.

Eneo lao likawa ukiwa

Baadaye ardhi/eneo lao likachukuliwa na Wapalestina

Baada ya miaka mingi ya kutangatanga, kubaguliwa na mateso huko Ulaya, Marekani na maeneo mengine duniani, Wayahudi wakarudi kinguvu mwaka 1949 wakipewa support ya UN, Marekani na Uingereza kuwaondoa Wapalestina wakidai ni nchi yao ya ahadi kwenye movement iliyoitwa ZIONISM MOVEMENT
 
Ni kweli islaer ni taifa teule la mungu.., lakini ukifuatilia vitabu vya injili hii Hali haikuanza Leo,ndio maana hata bwana yesu aliwaonya sana kwamba kwa kuwa wamekuwa wakatili na kuona hii zawadi waliyopewa na mungu si kitu kwao,basi hii zawadi ya uzima wa milele watapewa watu wa mataifa

Ndipo tutawaona Ibrahim na isaka na yakobo wakifurahi katika ufalme wa mungu huku Wana wa ufalme( islaer) wakitupwa nje kwenye Giza Nene hambapo kutakuwapo kilio na kusaga meno

Kama hawakuweza kumstahi mwana pekee wa mungu, unafikiri hao wapalestna watawastahi kwa lipi?
Kule Urusi na Ukraine uboronge,na huku pia uboronge.

Mungu Hana mtoto.

.Hes 23:19
Mungu si mtu.
 
Ni kweli islaer ni taifa teule la mungu.., lakini ukifuatilia vitabu vya injili hii Hali haikuanza Leo,ndio maana hata bwana yesu aliwaonya sana kwamba kwa kuwa wamekuwa wakatili na kuona hii zawadi waliyopewa na mungu si kitu kwao,basi hii zawadi ya uzima wa milele watapewa watu wa mataifa

Ndipo tutawaona Ibrahim na isaka na yakobo wakifurahi katika ufalme wa mungu huku Wana wa ufalme( islaer) wakitupwa nje kwenye Giza Nene hambapo kutakuwapo kilio na kusaga meno

Kama hawakuweza kumstahi mwana pekee wa mungu, unafikiri hao wapalestna watawastahi kwa lipi?

Kwann wakristo wanaisapoti akati hio nchi c rafik kwa mitume yao wala manabii wao wala dini yao ila bdo wanAisujudia ilhali imetesa manabii wote
 
Israel lilikuwa taifa teule lakini baada ya kuwakataa manabii wa Mungu, Mungu akaachana nao.

Ona hapa Yesu aliwachana bila kuficha Wayahudi

MATHAYO 23:37, 38

37. Ee Yerusalemu, Yerusalemu! Unayewaua manabii. Unawapiga kwa mawe wale ambao Mungu amewatuma kwako. Mara nyingi nimetaka kuwasaidia watu wako. Nimetaka kuwakusanya watu wako kama kuku anavyowakusanya vifaranga wake chini ya mbawa zake. Lakini hukuniruhusu kufanya hivyo.

38. Sasa Hekalu lako litaachwa ukiwa kabisa.

Hii ilikuwa ni laana kwa taifa la Israeli la kale na kuanzia hapo wakawa watumwa kwa taifa la Roma (Roman Empire) na wakatawanyika kutoka pale Israeli kwenda maeneo ya Ulaya.

Eneo lao likawa ukiwa

Baadaye ardhi/eneo lao likachukuliwa na Wapalestina

Baada ya miaka mingi ya kutangatanga, kubaguliwa na mateso huko Ulaya, Marekani na maeneo mengine duniani, Wayahudi wakarudi kinguvu mwaka 1949 wakipewa support ya UN, Marekani na Uingereza kuwaondoa Wapalestina wakidai ni nchi yao ya ahadi kwenye movement iliyoitwa ZIONISM MOVEMENT

Nabii musa (Moses)naye pia alipata tabu na hao wana Israel.
Kawatoa utumwani kwa pharaoh ila hizo tabu walizompa [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom