Wanajeshi wa Israel waziba chanzo cha maji kwa saruji kinachowapa Wapalestina maji mjini Hebroni

Wanajeshi wa Israel waziba chanzo cha maji kwa saruji kinachowapa Wapalestina maji mjini Hebroni

Huu ndiyo ukatili wa hali ya juu unaoendelea huko Palestina na huku Dunian ikifumbia macho haya yote.

View attachment 2700747
Sio huo tu, angalia na kaskazini, Tunisia inachowafanyia wakimbizi weusi wa Afrika, imewafukuza mjini, ikawapeleka Jangwani mpakani mwa Tunisia na Libya!!
Kwanza, inawaona nuksi,haitaki uchangamano, nao,haitaki hata kuwapa uraia, inahofia wakiwa wengi, itazidi idadi ya wa Arab!
 
Ni kweli islaer ni taifa teule la mungu.., lakini ukifuatilia vitabu vya injili hii Hali haikuanza Leo,ndio maana hata bwana yesu aliwaonya sana kwamba kwa kuwa wamekuwa wakatili na kuona hii zawadi waliyopewa na mungu si kitu kwao,basi hii zawadi ya uzima wa milele watapewa watu wa mataifa

Ndipo tutawaona Ibrahim na isaka na yakobo wakifurahi katika ufalme wa mungu huku Wana wa ufalme( islaer) wakitupwa nje kwenye Giza Nene hambapo kutakuwapo kilio na kusaga meno

Kama hawakuweza kumstahi mwana pekee wa mungu, unafikiri hao wapalestna watawastahi kwa lipi?
Islaer = Israel. Watu kama wewe ndo mnafanya elimu ya Tanzania idharaulike
 
Kuna baadhi ya wakristo ambao kwa upumbavu wao husema Israel ni taifa teule huku waisrael wenyewe wakiwa hawana muda kabisa na ukristo. Nchini Israel kuna wakristo chini ya 5% ya idadi ya watu.
 
TATIZO LA WAPALESTINA HUWA WANAANZA WAO UCHOKOZI, WENZIO WAKIJIBU WANAANZA KUJILIZA NA NDEVU ZAO
Ila Israel si ni ardhi ya Palestina iliyochukuliwa kwa mabavu kwenye vita mwaka 1967 au? Sasa mchokozi nani?
 
Waarabu wote hapo middle east wanoogelea kwenye utajiri wanashindwa kuwasaidia wapalestina kupata maji?
 
Back
Top Bottom