JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Sio huo tu, angalia na kaskazini, Tunisia inachowafanyia wakimbizi weusi wa Afrika, imewafukuza mjini, ikawapeleka Jangwani mpakani mwa Tunisia na Libya!!Huu ndiyo ukatili wa hali ya juu unaoendelea huko Palestina na huku Dunian ikifumbia macho haya yote.
View attachment 2700747
Haya basi Palestina na waarabu wote ni raifa teule. Furahia sasa mkuuSI KWELI
Njoo na hoja kuwa Israel ni taifa teule
Islaer = Israel. Watu kama wewe ndo mnafanya elimu ya Tanzania idharaulikeNi kweli islaer ni taifa teule la mungu.., lakini ukifuatilia vitabu vya injili hii Hali haikuanza Leo,ndio maana hata bwana yesu aliwaonya sana kwamba kwa kuwa wamekuwa wakatili na kuona hii zawadi waliyopewa na mungu si kitu kwao,basi hii zawadi ya uzima wa milele watapewa watu wa mataifa
Ndipo tutawaona Ibrahim na isaka na yakobo wakifurahi katika ufalme wa mungu huku Wana wa ufalme( islaer) wakitupwa nje kwenye Giza Nene hambapo kutakuwapo kilio na kusaga meno
Kama hawakuweza kumstahi mwana pekee wa mungu, unafikiri hao wapalestna watawastahi kwa lipi?
Wapalestina na Waarabu hawajawahi kuwa taifa teule ni Israel pekee ndio walipata hiyo prestigeHaya basi Palestina na waarabu wote ni raifa teule. Furahia sasa mkuu
Ila Israel si ni ardhi ya Palestina iliyochukuliwa kwa mabavu kwenye vita mwaka 1967 au? Sasa mchokozi nani?TATIZO LA WAPALESTINA HUWA WANAANZA WAO UCHOKOZI, WENZIO WAKIJIBU WANAANZA KUJILIZA NA NDEVU ZAO