Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

We ni mtoto wetu sisi katoliki,tulia tumalizane na gaidi kwanza
Ni za watu wa motoni vinywaji vya maji ya moto na adhabu yenye kuumiza kwa sababu ya kukanusha kwao}} [An-Aam : 70].

Na Amesema Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala) :
 
Hapo vita imefika penyewe ni mafanikio makubwa kwa kikosi maalum cha makomandoo wa Jeshi la chini ya Ardhini kinachojulikana kama Yahalom

Jeshi la Israel lina vikosi vifuatavyo vikubwa kuna cha angani , Majini,cha juu ya ardhi ,Cha Chini ya ardhi kinachoitwa Yahalom hicho ni kikosi maalum cha mainjinia watupu kujiunga kuanzia chekechea unatakiwa sio tu ufaulu ufaulu wa juu lakini hadi IQ yako ya akili inatakiwa kuwa kubwa mno unatakiwa kubalance vyote viwe juu na uwezo wa kuhimili kimwili uwe juu mno

Ni kikosi kinaongoza kuwa na makomandoo wenye uwezo mkubwa mno wa kupigana chini ya Ardhi na wote huwa mainjinia wenye digrii wako wenye Bachelor, Masters hadi PhD ilakini ni wapiganaji bila kujali cheo. Ikilipuka vita

Kwa hiyo toka vita imeanza Brigadia wa vita ya chini ya ardhi ndie alikuwa akiongoza vita kama kiongozi wa vita yote iwe ya angani nk yeye ndie alikuwà ana direct kama ndege ,kombora ,au kifaru au Askari wa miguu apige wapi kwenye Tunnels .Concentration yake ya forces zote directed kwenye Tunnels tu

Sasa hapo kwenye makao makuu wamefika wao ndio wanamalizia vita ya chini ya Ardhi wapokewe na Brigadier wa kamandi ya juu ya Ardhi wao baada ya kumaliza task ya Underground war hadi kufika makao makuu ya Hamas yaliyo Underground

Na inaisha baada ya kuokoa mateka ndani chini yavArdhi na kuua Askari wa Hamas wako hapo

Makomandoo wa Yahalom wakimaliza hapo kubomoa hiyo kambi ya Hamas Underground kazi yao ya Underground war inaishia hapo wanapokewa na Brigadier na wababe wa vita ground war

Handover iko karibu kufanyika

Hongera kamandi ya Yahalom kwa kazi nzuri toka vita ianze hongereni sana

Mumefanya kazi nzuri.Malizieni hapo

Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo na Mungu aliyesimama na Ibrahim ,Musa,Yoshua,Waamuzi na wafalme nk kushinda adui wa Israel Awe nanyi kuwasaidia wakiwemo malaika waliosaidia Israel kuua maadui wa Israel wawasaidie kwenye hii Vita vikosi vya Yahalom mkimalizia jukumu lenu na kukabidhi kwa wapokea kijiti
 
Kama mnasikiaga kuhusu Gamboshi kuwa mchana kijiji usiku mji ndio Gaza, chini Hamas wamejenga mtandao mkubwa sana
 
Ni za watu wa motoni vinywaji vya maji ya moto na adhabu yenye kuumiza kwa sababu ya kukanusha kwao}} [An-Aam : 70].

Na Amesema Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala) :
Wewe ni mtoto wetu,tunachopanga sisi katoliki,huwezi kupinga
 
Kafiri unanifurahisha sana. Maana ushajua ukifa bado ukiwa ktk ukafiri motoni
Israel anawasaidia wanaume wa Hamas wawahi pepini na wawahi mabikira 72
Si ni jambo zuri

Wacheni Israel iwasaidie kuwawahisha kelele za nini sasa wakati wao wakifa ni mashahidi na wanaenda peponi kwenda kujinoma na wanawake bikira 72 ambao hawajawahi bikiriwa na mtu wao ndio wanabikiri kwanza na kuendelea kujinoma raha ilioje waacheni Israel wawahishe waende mikelele ya nini?
 
Hahaha mkuu labda kabla sijaonesha uo ushaidi nisaidie kitu ki Moja Hamas wanakambi za jeshi?
Sasa kama hana kambi hizo mnazo sema zipo kwenye makazi ya watu ni nn?

Alafu vita huwa ni sehemu ya kuhifadhia wanajeshi na sio sehemu ya kupigania vita.
 
Israeli recognition that Hamas is far from the point of collapse... and a prominent officer: Its fighters move freely and the damage has not reached them

Hamasi hashindwi hi vita na mimi namini Israel atakimbia Gaza very soon au ataomba vita isimame atoke bila aibu
 
Alisikika shoga mmoja mshabiki uchwara wa wazayuni toka Tandale kwa mfuga mbwa akikoroma huku akinywa gongo chafu na supu ya miguu ya kuku
Matusi ya nini?acha kupaniki!
Acha magaidi yapelekewe motrooooo!
 
Maneno ya nani?
 
Sasa kama hana kambi hizo mnazo sema zipo kwenye makazi ya watu ni nn?

Alafu vita huwa ni sehemu ya kuhifadhia wanajeshi na sio sehemu ya kupigania vita.
Very good kumbe battlefield inaweza kua mpaka hospital, shule na sehem yoyote then mnalia nn?
Kama hawa watu hawana specific uniform and camping wamevaa kiraia wamejichanganya na Raia ni Israel atafanyaje ku identify specific target?
Unajua hao wote waliopo kwenye izo hospitals and schools washapewa last notes ku evacuate kuelekea south
 
Israel ilitoa tangazo makusudi ikijua watakaobaki wote magaidi na wake zao na familia zao na Vitoto vyao wanavyofundisha ugaidi kupitia madarasa nk kuwa na roho ngumu

Waliokataa kutii amri ni magaidi wa kike na kiume na watoto wao

Ndio maana Jeshi la IDF lilitoa tamko lile ikijua watakaobaki wote Hamas na familia zao ndio maana wanapiga bila huruma hata chembe
 
Mkenya usisahau kujweka hii walivyozingirwa wajomba wa Mungu wako na kuchezea kichapo:



View: https://youtu.be/a0b6Z2hbg4o?si=qTE65w-8-oaT2D7i
hao wakawaonee wagonjwa na watoto tu mahospitalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…