Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Hongera kwa kuwa na imani kubwa lakini kwa Myahudi mmeyakanyaga.Yule si Mkristo,mafundisho yake ni kulipa kisasi.Kichapo mnachokula hamtokaa msahau.Pale hakuna vita bali genocyde ya hamasIsraeli recognition that Hamas is far from the point of collapse... and a prominent officer: Its fighters move freely and the damage has not reached them
Hamasi hashindwi hi vita na mimi namini Israel atakimbia Gaza very soon au ataomba vita isimame atoke bila aibu
Hawajasema badoooKama kawaida HAMAS wamekua wakitumia maeneo ya raia kama eneo la kurushia makombora, sasa kuna hili handaki lipo chini ya hospitali ambayo inahudumia wananchi, Israel wameizingira na muda wowote kutatokea maafa hapo, sijui pataishaje maana hilo handaki ndio command post ya HAMAS.
========================
Israeli Defense Forces have reportedly surrounded Gaza City’s biggest hospital, which they say sits on top of an underground Hamas command center.
Heavy fighting near the al-Shifa Hospital took place Friday and Israeli forces said it had killed dozens of militants and destroyed some of Hamas’ notorious terror tunnels where they harbour leaders and stash weapons, according to CBS.
One missile landed in the courtyard of the hospital causing chaos as the Israeli forces fought deeper into Gaza Friday.
The IDF later told CNN it concluded the missle was “a misfired projectile launched by terrorist organizations inside the Gaza Strip.”
The Israeli army has repeatedly accused Hamas militants of using hospitals in the area as cover and claimed Hamas commanders hide in tunnels underneath them.
They have said they want to take control of the hospitals so they are not longer under Hamas adminstration.
IDF spokesperson Lt. Col. Richard Hecht clarified Friday: “The IDF does not fire on hospitals. We are aware of the sensitivity of the hospitals … [But] are aware that Hamas are operating within the hospitals … We are not dropping bombs on Al-Shifa,” CBS reported.
Bibi shikamooMkenya usisahau kujweka hii walivyozingirwa wajomba wa Mungu wako na kuchezea kichapo:
View: https://youtu.be/a0b6Z2hbg4o?si=qTE65w-8-oaT2D7i
hao wakawaonee wagonjwa na watoto tu mahospitalini.
Bora yako ambaye hato kufa.Magaidi wauwawe tu hakuna namna nyingine Ostaz
Hamas don't give damn about Palestine children's LifeIsrael ilitoa tangazo makusudi ikijua watakaobaki wote magaidi na wake zao na familia zao na Vitoto vyao wanavyofundisha ugaidi kupitia madarasa nk kuwa na roho ngumu
Waliokataa kutii amri ni magaidi wa kike na kiume na watoto wao
Ndio maana Jeshi la IDF lilitoa tamko lile ikijua watakaobaki wote Hamas na familia zao ndio maana wanapiga bila huruma hata chembe
Mm mkatoliki ningekushauri uongee na paroko wa karibu umuulize maswali juu ya ukatoliki wewe ni binadamu si vema kutukana watu walioumbwa na mungubwako bil 1 kirahisi hivoWaabudu sanamu mashoga hao
Hivi nasikia mna kisomo Cha albadir je kwa Hawa IDF hakifanyi kazi mkiwasomea ? Au ndo mzungu halogeki😅kwani hospital wanapo zipiga huwa wanaomba rai watoke, siwanapiga waingie tu watuonyeshe hio base ya Hamasi watu wakiwa vichaa ni vichaa tu, yani mmepiga hospital na mnaipiga kwa mizinga sa raia gani unasubiri watoke, wakitoka rai mtasema Hamasi wamekimbia 😄
If you believe Hamas gonna win this War why you guys are keeping crying Israel to ceasefire?Israeli recognition that Hamas is far from the point of collapse... and a prominent officer: Its fighters move freely and the damage has not reached them
Hamasi hashindwi hi vita na mimi namini Israel atakimbia Gaza very soon au ataomba vita isimame atoke bila aibu
Nashangaa hata mimiIf you believe Hamas gonna win this War why you guys are keeping crying Israel to ceasefir
Maandamano yepi na wapi?Bibi shikamoo
nikajua Jana na wewe ilikua kwenye maandamano? What happened?
Aaah Bibi hukua na habari sheikh ponda alitutaka tukutane viwanja vya mnazi mmoja Kwa ajili ya maandamano ya amani kupiga unyama na ukatili unaofanywa na Israel dhidi ya Palestine?Maandamano yepi na wapi?
Wewe sijui kafiri wa aina ipi maana una ubinadamu sanaWakatoliki tuko pamoja na palestine kwenye uovu huu wanatendewa.
Usiite tena mkatoliki kafiri.kafiri ni atheist yaan haamini Mungu .ni tusiWewe sijui kafiri wa aina ipi maana una ubinadamu sana
Ni sahihi. Kama huwezi kulipia gharama ya uharibifu, usumbufu na adhabu ya hukumu(Tozo) kwa ulichofanya ni sharti mali yako halali ikiwemo ardhi yako zibinafsishwe/zitaifishwe. Mbona hilo ni wazi na ni sahihi kabisa? Mifano ni mingi - Hapa Tz. ukikopa e.g. Benki halafu ukashindwa kulipa/kurejesha mkopo, nyumba au kiwanja kinapigwa mnada. Nchi ikikopa halafu ikashindwa kurejesha mkopo bandari inachukuliwa n.k.Inasemekana Israel kila walipopigana vita, ikiisha wanaonheza ukubwa wa eneo.
Nasubiri kuona kuna ka nchi safari hii kanamegwa na wababe wa IDF.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Nyinyi hamuabudu Mungu bali mnamuabudu binaadamuUsiite tena mkatoliki kafiri.kafiri ni atheist yaan haamini Mungu .ni tusi
Hupaswi ita watu kafir wala huwabadili kwa kutowaelewa.na mungu wa hao wasio waislamu anawapa mafanikio na furaha .kuwachukia hata yy anakucheka .Nyinyi hamuabudu Mungu bali mnamuabudu binaadamu
Mkenya usisahau kujweka hii walivyozingirwa wajomba wa Mungu wako na kuchezea kichapo:
View: https://youtu.be/a0b6Z2hbg4o?si=qTE65w-8-oaT2D7i
hao wakawaonee wagonjwa na watoto tu mahospitalini.
Nimepata leo habari kuwa kashikwa na wenzake kwa kukaidi amri ya serikali.Aaah Bibi hukua na habari sheikh ponda alitutaka tukutane viwanja vya mnazi mmoja Kwa ajili ya maandamano ya amani kupiga unyama na ukatili unaofanywa na Israel dhidi ya Palestine?
Kuna meli mbili special Biden aliambatana nazo, wale jamaa wanasema eti mpaka hizo meli zirudi zilipotoka ndio watajibu kinyume na hapo majibu hakuna.Kuna nchi walisema IDF wakiingi Gaza watajibiwa, wameshajibiwa au IDF hawajatia mguu Gaza? Mwenye taarifa tafadhali.
Unafahamu kuwa Leo kuna kamanda wa kizayuni, mkuu wa kikosi kilichojipeka kimbembele Ghaza na wasaidi wake wawili wameshikwa na wako utumwani saa hizi? Jionee:Ulipaswa kuwa kwenye huu utumwa, sielewi unapata wapi ujasiri wa kubanana na wanaume humu, au labda utakua limwanaume fulani hivi hujifanya mwanamke
Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?
As-salamu alaykum ndugu zangu. Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera. Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume. Zaidi ukisoma Quran tukufu...www.jamiiforums.com