Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

Israeli recognition that Hamas is far from the point of collapse... and a prominent officer: Its fighters move freely and the damage has not reached them

Hamasi hashindwi hi vita na mimi namini Israel atakimbia Gaza very soon au ataomba vita isimame atoke bila aibu
Hongera kwa kuwa na imani kubwa lakini kwa Myahudi mmeyakanyaga.Yule si Mkristo,mafundisho yake ni kulipa kisasi.Kichapo mnachokula hamtokaa msahau.Pale hakuna vita bali genocyde ya hamas
 
Kama kawaida HAMAS wamekua wakitumia maeneo ya raia kama eneo la kurushia makombora, sasa kuna hili handaki lipo chini ya hospitali ambayo inahudumia wananchi, Israel wameizingira na muda wowote kutatokea maafa hapo, sijui pataishaje maana hilo handaki ndio command post ya HAMAS.
========================

Israeli Defense Forces have reportedly surrounded Gaza City’s biggest hospital, which they say sits on top of an underground Hamas command center.

Heavy fighting near the al-Shifa Hospital took place Friday and Israeli forces said it had killed dozens of militants and destroyed some of Hamas’ notorious terror tunnels where they harbour leaders and stash weapons, according to CBS.
One missile landed in the courtyard of the hospital causing chaos as the Israeli forces fought deeper into Gaza Friday.

The IDF later told CNN it concluded the missle was “a misfired projectile launched by terrorist organizations inside the Gaza Strip.”

The Israeli army has repeatedly accused Hamas militants of using hospitals in the area as cover and claimed Hamas commanders hide in tunnels underneath them.

They have said they want to take control of the hospitals so they are not longer under Hamas adminstration.

IDF spokesperson Lt. Col. Richard Hecht clarified Friday: “The IDF does not fire on hospitals. We are aware of the sensitivity of the hospitals … [But] are aware that Hamas are operating within the hospitals … We are not dropping bombs on Al-Shifa,” CBS reported.
Hawajasema badooo
Wenyewe watatema ndono
 
Israel ilitoa tangazo makusudi ikijua watakaobaki wote magaidi na wake zao na familia zao na Vitoto vyao wanavyofundisha ugaidi kupitia madarasa nk kuwa na roho ngumu

Waliokataa kutii amri ni magaidi wa kike na kiume na watoto wao

Ndio maana Jeshi la IDF lilitoa tamko lile ikijua watakaobaki wote Hamas na familia zao ndio maana wanapiga bila huruma hata chembe
Hamas don't give damn about Palestine children's Life
They don't even fvck care about their own lives too
 
Waabudu sanamu mashoga hao
Mm mkatoliki ningekushauri uongee na paroko wa karibu umuulize maswali juu ya ukatoliki wewe ni binadamu si vema kutukana watu walioumbwa na mungubwako bil 1 kirahisi hivo
 
kwani hospital wanapo zipiga huwa wanaomba rai watoke, siwanapiga waingie tu watuonyeshe hio base ya Hamasi watu wakiwa vichaa ni vichaa tu, yani mmepiga hospital na mnaipiga kwa mizinga sa raia gani unasubiri watoke, wakitoka rai mtasema Hamasi wamekimbia 😄
Hivi nasikia mna kisomo Cha albadir je kwa Hawa IDF hakifanyi kazi mkiwasomea ? Au ndo mzungu halogeki😅
 
Israeli recognition that Hamas is far from the point of collapse... and a prominent officer: Its fighters move freely and the damage has not reached them

Hamasi hashindwi hi vita na mimi namini Israel atakimbia Gaza very soon au ataomba vita isimame atoke bila aibu
If you believe Hamas gonna win this War why you guys are keeping crying Israel to ceasefire?
Yes your right Hamas haiwez kuisha kwa sababu ya ideology na chuki inayo pandikizwa na wa Palestine kwa watoto wao and of course wapo sahihi siwez kulaumu hamna chuki mbaya Kama kushuhudia wapendwa wao miili imelala bila uhai na unajua alie katisha maisha yao

unaona na mafundisho ya waislam wote Dunia chuki yao dhidi ya taifa la Israel (Malaika mtoa roho wamempa Jina anaitwa Israili)
To kill Hamas you must wipe All of them which is impossible.

But what about casualties?
Mmmm what fatalities?
what about collateral damage? We are talking about innocent people's lives dude

A wise man once said
"Tulipo gundua Amani ni bora kuliko ushindi tuliwapa ushindi tukabaki na Amani"
 
If you believe Hamas gonna win this War why you guys are keeping crying Israel to ceasefir
Nashangaa hata mimi

You are right

If they believe Hamas shall win they are supposed to shut up

No need to cry ooh Israel ceasefire cease fire

Hopeless
 
Inasemekana Israel kila walipopigana vita, ikiisha wanaonheza ukubwa wa eneo.

Nasubiri kuona kuna ka nchi safari hii kanamegwa na wababe wa IDF.



Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Ni sahihi. Kama huwezi kulipia gharama ya uharibifu, usumbufu na adhabu ya hukumu(Tozo) kwa ulichofanya ni sharti mali yako halali ikiwemo ardhi yako zibinafsishwe/zitaifishwe. Mbona hilo ni wazi na ni sahihi kabisa? Mifano ni mingi - Hapa Tz. ukikopa e.g. Benki halafu ukashindwa kulipa/kurejesha mkopo, nyumba au kiwanja kinapigwa mnada. Nchi ikikopa halafu ikashindwa kurejesha mkopo bandari inachukuliwa n.k.
 
Nyinyi hamuabudu Mungu bali mnamuabudu binaadamu
Hupaswi ita watu kafir wala huwabadili kwa kutowaelewa.na mungu wa hao wasio waislamu anawapa mafanikio na furaha .kuwachukia hata yy anakucheka .
 
Mkenya usisahau kujweka hii walivyozingirwa wajomba wa Mungu wako na kuchezea kichapo:



View: https://youtu.be/a0b6Z2hbg4o?si=qTE65w-8-oaT2D7i

hao wakawaonee wagonjwa na watoto tu mahospitalini.


Ulipaswa kuwa kwenye huu utumwa, sielewi unapata wapi ujasiri wa kubanana na wanaume humu, au labda utakua limwanaume fulani hivi hujifanya mwanamke

img_20231029_131529-jpg.2796730
 
Aaah Bibi hukua na habari sheikh ponda alitutaka tukutane viwanja vya mnazi mmoja Kwa ajili ya maandamano ya amani kupiga unyama na ukatili unaofanywa na Israel dhidi ya Palestine?
Nimepata leo habari kuwa kashikwa na wenzake kwa kukaidi amri ya serikali.

Kashindwa kusoma nyakati, wakati wengine wananyimwa kufanya maandamano yeye kajifanya mjanja.

Kwa mtazamo wangu, kuwaunga mkono Wapalestina hakuhitaji maandamano kabisa kwa sasa kutokea kwetu huku. Wapalestina tuwaunge mkono kitoho (spiritually) kuna manufaa makubwa zaidi.

Yeye angetumia busara na kuwachombeza bakwata waitishe maandamano, ndiyo mapandikizi ya serikali na hayakataliwi kitu.

Inatakiwa Masheikh wote ambao hawapo na bakwata watumie hekima za ziyada. Wasijimwambafai.
 
Kuna nchi walisema IDF wakiingi Gaza watajibiwa, wameshajibiwa au IDF hawajatia mguu Gaza? Mwenye taarifa tafadhali.
Kuna meli mbili special Biden aliambatana nazo, wale jamaa wanasema eti mpaka hizo meli zirudi zilipotoka ndio watajibu kinyume na hapo majibu hakuna.
 
Ulipaswa kuwa kwenye huu utumwa, sielewi unapata wapi ujasiri wa kubanana na wanaume humu, au labda utakua limwanaume fulani hivi hujifanya mwanamke
Unafahamu kuwa Leo kuna kamanda wa kizayuni, mkuu wa kikosi kilichojipeka kimbembele Ghaza na wasaidi wake wawili wameshikwa na wako utumwani saa hizi? Jionee:

IMG-20231111-WA0046.jpg


IMG-20231111-WA0045(1).jpg
 
Back
Top Bottom