Wanajeshi wa SADC waua wapiganaji wa kiislamu 30

Kasema waislam wanampigania mungu wao,tatizo uelewa wako huwa mdogo
Unajua watu wanachanganya brother sio kila anachopgania muislamu basi kinauhusiano na dini yake unaweza kuwa muislamu lakini vita unavyopgana havihusiani na dini yako hila unapgana kwa maslahi yako binafsi hila watu wakiona muislam kashika bunduki wanajua jihadi sio kila vita ni jihadi
 
Jeshi la Rwanda kwanza msumbiji limeendana baina ya mkataba na msumbiji na wagner group ambao nao wanamkataba na nchi ya Rwanda kwaajili ya msumbiji na Afrika ya kati
Rwanda kazi yake kule ni kuwalinda wafaransa wanaochimba gesi hajaenda kwa mwamvuli wa SAMIM
 
He detailed that the deceased are two military personnel from Tanzania and Botswana and added that the clashes resulted in the death of more than 30 suspected terrorists and the seizure of weapons, ammunition and equipment.
Rip...
 
Na magari yetu waliyoharibu na wayacheue mazima mazima shenzi type wanawachafua waislamu wakati tuko nao kutwa tunabishana mambo ya ihefu huku hao wana lao jambo pambaf na wafe wote
 
Good work
 
Huenda unachotaka kusema sicho wanachomaanisha hawa waislam tuliowaona kibiti na sasa wako Mozambique
 
Watumie drones ili askari wasipate madhara. Naamini kwa SADC afrika ya kusini wapo juu kwenye teknolojia ya vita na vifaa vya kisasa
Siyo kila vita inaweza piganwa kwa drones, drones hushambulia structure na equipment,.
 


Ni kweli mkuu, mambo ya aina hiyo yanapatikana hata katika dini zingine, mfano kuna makanisa yanayofungisha ndoa za mashoga hadharani, je ni kweli Ukristo kupitia Biblia inaruhusu Ushoga ??.--- Uisilamu kupitia Qur'an hauruhusu aina yoyote ya uuaji, dhuluma, ugaidi, mateso na kila aina ya uhalifu na mtu akifanya mambo hayo ni sawa tu na yule padri aliyefungisha mashoga kanisani au mtu yeyote aliyefanya uhalifu kwa jina la Ukristo.

MK254 ningependa ujifunze jambo hilo kwani wewe umeonyesha chuki kubwa sana dhidi ya dini ya Uisilamu, kumbuka wafuasi wa dini wanaweza kwenda kinyume na sheria za dini ili kukidhi matamanio yao binafsi hivyo dini itabaki kama dini na mafundisho yake na wafuasi watabaki kuwa wafuasi ama wafuate mafundisho au wapotoke kwenye mafundisho ya dini.
 
Maneno ya Mtume bado yanaendelea kuua watu.

Nimeamini kuwa huyo mtume hakika alikuwa mtume wa Majini.

Majini kamwe hayaachi matendo maovu.
 
Maneno ya Mtume bado yanaendelea kuua watu.

Nimeamini kuwa huyo mtume hakika alikuwa mtume wa Majini.

Majini kamwe hayaachi matendo maovu.

Umeandika kwa chuki na ushabiki tu, unaelewa maana "jinni".??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…