Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Hao wacongo wanakuhusu nini wewe? Hao watu wa Bukavu wenyewe wanawashangilia M23, wewe kisorokwinyo unajidai unauchungu sana na watu wa Bukavu kama sio uchizi huo ni niniKwa hiyo Rwanda aendelee kuua na kuteka askari wetu kwa sababu tu tulimwekea vikwazo tunaumia? Huko CCM mnajaza funza kwenye vichwa vyenu nini?
💯% gonga 👊Hii kuingiza watu jeshini kwa vimemo, kuokota vijana kutoka UVCCM wasio na sifa na kuwageuza wajeda kuwa chawa ndiyo products hizo zinazodhihirisha
Mnajuaje kuwa hakuna viongozi wa nchi hii wanaofaidika na vita hivi. DRC ni shamba na labda vikosi kuendelea kuwa huko ni project.Hii issue ni serious sana. Nilitegemea hivi sasa hatua dhidi ya Rwanda zingekuwa zimeshaanza kuchukuliwa maana ushahidi upo wazi kuwa wanajeshi wa Rwanda zaidi ya 4000 walivuka mpaka kuingia Goma na kuiteka. So it's obvious Wanajeshi wetu waliouliwa waliuliwa na Wanajeshi wa Rwanda na Hawa waliotekwa wametekwa na Jeshi la Rwanda kwa mgongo huu wa M23.
Hakuna hiyo kitu. Kwa huo weledi wako ulipaswa kujiridhisha kidogo kabla ya kuisambaza. Goma airport iko mikononi mwa M23 tangu Januari 27 na 28. Halafu askari wetu hawapigani kule hao wahuni tu wanaeneza propaganda nyeusi za kitoto.Propaganda nilete mimi? Unaweza jifananisha na mimi kwa uzalendo juu ya nchi yangu wewe?
Hiyo habari nimeitoa X nq imepostiwa leo saa kumi na mbili jioni.
Waandishi akina Kabendera hizi ndio fani zao sasa.Kuna taarifa imetolewa jioni hii na Waandishi wa Habari Kupitia Mtandao wa X (Zamani Twitter) waliopo Goma ambayo inaeleza wametaarifwa na Wanamgambo wa M23 kuhusu kutekwa kwa Wanajeshi wa SADC kutoka Mataifa ya Afrika Kusini, Malawi na Tanzania waliopo Goma.u
Kwenye taarifa yao, waandishi hawa wameelezwa na Wanamgambo wa M23 kuwa Wanajeshi wetu wanashikiliwa mateka kwenye kambi zao ambapo wameweka bendera nyeupe kama ishara ya ku surrender.
Taarifa hiyo pia imewataja moja kwa moja wanajeshi wa Tanzania na kuelezea kuwa walishiriki kwenye vita dhidi ya M23 na kushindwa mapambano hivyo kuchukuliwa mateka.
Maombi yangu.
Kama taarifa hizi ni za kweli naomba Serikali yetu ianze kuchukua hatua kwa kuwawekea vikwazo Rwanda na kuchukua hatua nyingine za kijeshi dhidi ya Rwanda.
Nimeumia sana kama Mtanzania mzalendo!
View attachment 3252351View attachment 3252359
View attachment 3252361
Rwanda ni kama Israeli. Hii statement watu hawataki kuikubaliNi aibu kama ni kweli wanajeshi wetu tunaowategemea wamekalishwa
Kama ni kweli hii habari..basi kama nchi tumekwisha tubaki tu kulinda mipaka yetu dhidi ya uvamizi!
Japan ni kisiwa ila kiliwahi kutawala dunia
Kuna Fact sheet iliandikwa kuhusu Gold Mafia in Afrika ndio utaelewa kwanini vita haiwezi kuisha kirahisi Congo.Mnajuaje kuwa hakuna viongozi wa nchi hii wanaofaidika na vita hivi. DRC ni shamba na labda vikosi kuendelea kuwa huko ni project.
ku hizi nina kusoma na kukuelewa vizuri, hasa haya maswala ya kudhalilishwa kama nchi chini ya CCM iliyo oza muda kitambo.Uingereza hajauliwa wala kutekwa askari wake ila kamwekea vikwazo Rwanda. Sie tunashindwa wapi?
Acha makasiriko.....huo ndio ujnja w kagame kwamb anatuzidi kwa mengi.Hii ni akili matope?
Mhariri ni mnyarwanda unategemea amkaange Kagame?
Tunapambania watu wa Goma huko Congo wakati wao M23 wanaifurahia mpaka wanashangalia mitaani. Sasa sisi tunapigani nini hapo sasa? Yawezekana Rais wa Congo anjua huko ndo kuna Masalia wa Kinyrwanda hawapeleki huduma yoyote kama Serikali. Bado nashangaa wnanchi wa Goma kufurahia na kuwashangilia M23Ni aibu kama ni kweli wanajeshi wetu tunaowategemea wamekalishwa
Kama ni kweli hii habari..basi kama nchi tumekwisha tubaki tu kulinda mipaka yetu dhidi ya uvamizi!
Japan ni kisiwa ila kiliwahi kutawala dunia
Mbona alishatoa maelekezo kwa jeshi kupambana na M23?hawa watu ilikuwa tuwape kichapo..tatizo amiri jeshi mkuu wetu yupo soft mno sio mtu wa kufanya maamuzi magumu na pia hataki lawama na anayependa sana kubembeleza kuliko actions..
rais wetu hawezi kuyapa maelekezo majeshi ya pamoja yaani SARMIADC na MONUSCO walio chini ya mwamvuli wa umoja wa mataifa ambao sheria zao haziruhusu majeshi hayo ya pamoja kupigana vita zaidi ya kulinda amani na kujihami wao tu hata kama wao ndio wanashambuliwa na waasi basi wajihami tu na sio vita hasa ndio hivyo unasikia wanatekwa na m23 sababu sheria inawabana kujibu mapigo wanapaswa kujilinda tu..kwa lugha rahisi hao UN na jeshi lao wanatumika tu kulinda maslahi ya mabeberu..ndiomaana tsheked anawataka majeshi ya kigeni waondoke anawaona mizigo tu kama hawapigani wa kazi gani sasa.!Mbona alishatoa maelekezo kwa jeshi kupambana na M23?
Asante kwa kunisoma na kunifuatilia.Si
ku hizi nina kusoma na kukuelewa vizuri, hasa haya maswala ya kudhalilishwa kama nchi chini ya CCM iliyo oza muda kitambo.
Kuhusu huo mstari nilio u'quote' hapo; nataka kukutahadharisha, na jaribu kuelewa ninalenga kitu gani hapa.
Chini ya CCM serikalini mwetu watu wanaofanya maamuzi muhimu sasa hivi ni watu wasiokuwa na uzalendo wowote juu ya nchi hii. Tuna watu toka kwenye nchi hizo unazo zizungumzia humu ambao wameshika nafasi muhimu ndani ya serikali yetu. Huwezi kutegemea wafanye maamuzi dhidi ya wenzao walioko nje.
Ni hivi: kama unadhani tuko salama na nchi kama Rwanda, Uganda na Kenya, utakuwa unajidanganya sana. Ni swala la muda tu, kama tusipokuwa makini hapa hapa tutavurugwa.
Nimalize kwa kusikitika pamoja na wewe, kwa kuona nchi yetu imedidimia kiasi hiki nyakati hizi. Binafsi naomba tuachane kabisa na hili la kupeleka wanajeshi wetu nje, kama sababu ya wao kwenda huko siyo kwenda kupigana vita moja kwa moja na kushinda vita hiyo.
Hii tabia ya kupeleka vijana wetu bila ya kuwapa maagizo sahihi na uwezo wa kushinda vita wanayo kwenda kupambana nayo tuachane kabisa nayo.
Pia nikutahadharishe: hivi vihabari vya kuokoteza kama hivi vya hao waandishi, bila kujuwa ni akina nani hawa; usije kushangaa ni kundi la Kagame hilo liko kazini kupotosha na kupiga propaganda.
si anapita mombasaTulishaandika sana kama vipi Tanzani itoe kikosi chake huko mashariki mwa congo kilicho chini ya jeshi la kimataifa la kulinda amani huko. Waasi wanazidi kuteka maeneo huko, ya nini wanajeshi wetu waaibike huko kama hakuna maslahi kwa nchi? Kagame akiwekewa vikwazo mizigo yake haitapitia bandari za Tanzania. DRC iachwe ijipambanie yenyewe, kama kagame ataimega congo au kuichukua yote aachwe tu ila ajue naye atabondwa na kubondeka
The main issue hapa ni askari wetu kuwa chini ya mateka ya M23.Hakuna hiyo kitu. Kwa huo weledi wako ulipaswa kujiridhisha kidogo kabla ya kuisambaza. Goma airport iko mikononi mwa M23 tangu Januari 27 na 28. Halafu askari wetu hawapigani kule hao wahuni tu wanaeneza propaganda nyeusi za kitoto.
USalama wa nchi yetu siyo jambo la mzaha hata kidogo. Huu utawala wa CCM sasa hivi hauelewi unyeti wa swala hili.Pia ni vizuri kuwapa moyo wanajeshi wetu kuwa nchi yetu bado ina watu wazalendo wanaowapenda na kuwahitaji kufanya vizuri.