Wanajeshi wa Ukraine waelekea kukomboa mji wa Kherson unaokaliwa na Urusi

Wanajeshi wa Ukraine waelekea kukomboa mji wa Kherson unaokaliwa na Urusi

Hata sisi pia tunaangalia Al-Jazeera tunaona karibu wanataka kuukomboa, kila mtu aangalie Al-Jazeera yake.
Acha kujidanganya mji wa Kherson upo chini ya ulinzi mzuri wa warusi na soon wananchi wanapewa uraia wa urusi hamna huo uwezo wa kuirudisha huo mji waukraine wamepigwa vibaya.hapo Sasa ni mji wa kirusi
 
Propaganda na urussi.Kazuia vyombo vyote vya habari urusi kutangaza habari za vita zisizo wa favour wao.Yuko kama JPM
Nyie west hamna la kuwafundisha urusi kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari Kwanza mnatumia vyombo vya habari kutangaza propaganda zenu na uongo kwamba Ukraine wanashinda vita,alafu mmefungia nyombo vya habari za warusi.Alafu huyo magufuli ni Bora Sana kuliko viongozi wa kimagharibi wengi Sana unaona mpaka Sasa hivi wanajiuzulu wengi wameshindwa kuongoza nchi zao.
 
Back
Top Bottom