Wanajeshi wa Ukraine waelekea kukomboa mji wa Kherson unaokaliwa na Urusi

Naskia nato walikua wanataka kuvamia maeneo ya Urusi DPR walioyateka juzi, kilichowakuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]

Jaribio la counteroffensive la Wanajeshi wa Ukraine uko Kherson limeshindikana na wanajesh wa ukraine wapata hasara kubwa, Kirill Stremousov, naibu mkuu wa DPR.

Mkuu,kila mtu mwenye akili timamu anajua Urusi ni maji marefu - Ukraine na hayo mataifa 26 yanayo msaidia Zelensky yanatwanga maji kwenye kinu, bado Urusi itatimiza malengo yake iliyo jipangia huko Ukraine no matter what - na Putin alisha sema kama Merikani inataka kujiingiza moja kwa moja kwenye vita/mgogoro huu waje tu, tutajua jinsi ya ku-deal nao summarily - wenye akili wanajua Putin hatanii hata kidogo - hata kawa kujiingiza kwao kunaweza kusababisha WW3 Warusi wako tayari kwa lolote na watawashinda US na genge lake for the sake of the World's ever lasting peace - the entire World banks on Tzar Putin efforts to contain the most World hegemonic DEMON anaye fikiri ana hati miliki ya kuitawala Dunia na kufanya apendalo bila ya kuhojiwa na mtu - vita hii ya Ukraine ndio vitakuwa chanzo cha ku-witness the beginning of the end of Unipolar World.
 
Duh....comment ya ajabu kabisa.,Kila siku maeneo ya Ukraine yanachukuliwa halafu wewe unasema Russia haijafanya kitu....yaani mpaka ichukuliwe Kiev ndipo useme hapo Ukraine imeshindwa?! Hizo media za West zinawaghilibu mno aisee...
soma reply yako linganisha na comment yangu , nahis ume confirm nlichoandika kuwa mna kautundio ka ubongo , sijaandika kuwa Russia hajafanya kitu , ila lzm muelew kweny hii vita zipp sehem Urusi amefer ikiwepo uvamiz wa kyiev
 
Mkuu,kila mtu mwenye akili timamu anajua Urusi ni maji marefu - Ukraine na hayo mataifa 26 yanayo msaidia Zelensky yanatwanga maji kwenye kinu, bado Urusi itatimiza malengo yake iliyo jipangia huko Ukraine no matter what - na Putin alisha sema kama Merikani inataka kujiingiza moja kwa moja kwenye vita/mgogoro huu waje tu, tutajua jinsi ya ku-deal nao summarily - wenye akili wanajua Putin hatanii hata kidogo - hata kawa kujiingiza kwao kunaweza kusababisha WW3 Warusi wako tayari kwa lolote na watawashinda US na genge lake for the sake of the World's ever lasting peace - the entire World banks on Tzar Putin efforts to contain the most World hegemonic DEMON anaye fikiri ana hati miliki ya kuitawala Dunia na kufanya apendalo bila ya kuhojiwa na mtu - vita hii ya Ukraine ndio vitakuwa chanzo cha ku-witness the beginning of the end of Unipolar World.
mdogo mdogo waliondolewa kyiev then wataondolewa Kweny majimbo yote
 
Nilisha sema kwamba jeshi la Russia lilijifanya lina lengo la kuteka jiji la Kiev kumbe hiyo ilikuwa ni mbinu za kuwachota akili jeshi la Ukraine ili wahamishe wanajeshi Wengi kutoka mashariki mwa Taifa la Ukraine na kuyaleta magharibi kuimarisha ulinzi kwa jiji la Kiev - Russian forces DECOY tactics zilifanikiwa eventually ndio maana ilikuwa rahisi jeshi la Urusi kuteka majimbo ya mashariki yanayo kaliwa na raia wengi wa Ukraine wenye asili ya Urusi na hilo ndilo lilikuwa lengo kuu la Putin kuanzisha a special operation huko Ukraine -yaani kuwakomboa/nusuru jamaa zao (Ethnic Russians) wanao ishi mashariki mwa Ukraine.

One more thing - hivi inaingia akilini kwamba wanajeshi 1,200 wa Urusi wangeweza kweli kuteka jiji la Kiev lenye wakazi zaidi ya million nne/tano? Sijui kwa nini mnakazania kusema kila mara kwamba Urusi ilishindwa kuuteka mji wa Kiev,mnapuuzia kuzungumzia miji na majimbo ya mashariki ambayo jeshi la Urusi likisaidiana na wanamgabo wamefanikiwa kuyateka.
 
Javelin we zisikie tu
 
Mzeeee wa decoy uchwara.
Angekuwa U.S kashindwa ungejidai wameshindwa Ila kwa Russia na Decoy.
Mtabadili maneno mpaka basi ila.hamtoboi.
Judgement day ni lini tena Sheeh
 
Leta hoja/maelezo/ufafanuzi mbadala members watakuelewa kama hoja zako zina mshiko au la - lakini unapo tumbukiza maneno ya kejeri na dharau mada nzima inakuwa diluted kabisa - jaribu kufatilia majibu ya member mwenzetu kutoka Kenya (MK 254) uwezi hata siku moja kumsikia ana andika mujibu yenye kejeri na dharau, Wazambia nao wako hivyo hivyo wanajua/fundishwa jinsi ya kuheshimu binadamu wenzao - kwa bahati mbaya Watanzania tulio wengi hilo hatuna kabisa masaa yote ni kutumia abrasive language tu - mara waseme: huna akili, mara unavita bangi mara..., tunatia aibu sana.
 
Bila ya kuutaja uislamu mkundu unakupwits **** we
Yaani hao jamaa nnawashangaa sana unakuta mada inazungumzia kitu kingineee lakini hawasikii Raha bila kutaja uislam halafu huwezi kumkuta muislam anaukashifu ukristo na ndio maana wanaambiwa wasile nguruwe wanaminyoo Ile minyoo ikishaingia kwenye ubongo ndio akili zinakuwa hvyo
 
Mkuu,kila mtu mwenye akili timamu anajua Urusi ni maji marefu - Ukraine na hayo mataifa 26 yanayo msaidia Zelensky yanatwanga maji kwenye kinu, bado Urusi itatimiza malengo yake iliyo jipangia huko Ukraine no matter what - na Putin alisha sema kama Merikani inataka kujiingiza moja kwa moja kwenye vita/mgogoro huu waje tu, tutajua jinsi ya ku-deal nao summarily - wenye akili wanajua Putin hatanii hata kidogo - hata kawa kujiingiza kwao kunaweza kusababisha WW3 Warusi wako tayari kwa lolote na watawashinda US na genge lake for the sake of the World's ever lasting peace - the entire World banks on Tzar Putin efforts to contain the most World hegemonic DEMON anaye fikiri ana hati miliki ya kuitawala Dunia na kufanya apendalo bila ya kuhojiwa na mtu - vita hii ya Ukraine ndio vitakuwa chanzo cha ku-witness the beginning of the end of Unipolar World.
Amka kumekucha usije ukajikojolea.... Russia anatandikwa huko.... Russia bula nuke hata Zambia anajiweza[emoji1787]

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Nilisha sema kwamba jeshi la Russia lilijifanya lina lengo la kuteka jiji la Kiev kumbe hiyo ilikuwa ni mbinu za kuwachota akili jeshi la Ukraine ili wahamishe wanajeshi Wengi kutoka mashariki mwa Taifa la Ukraine na kuyaleta magharibi kuimarisha ulinzi kwa jiji la Kiev - Russian forces DECOY tactics zilifanikiwa eventually ndio maana ilikuwa rahisi jeshi la Urusi kuteka majimbo ya mashariki yanayo kaliwa na raia wengi wa Ukraine wenye asili ya Urusi na hilo ndilo lilikuwa lengo kuu la Putin kuanzisha a special operation huko Ukraine -yaani kuwakomboa/nusuru jamaa zao (Ethnic Russians) wanao ishi mashariki mwa Ukraine.

One more thing - hivi inaingia akilini kwamba wanajeshi 1,200 wa Urusi wangeweza kweli kuteka jiji la Kiev lenye wakazi zaidi ya million nne/tano? Sijui kwa nini mnakazania kusema kila mara kwamba Urusi ilishindwa kuuteka mji wa Kiev,mnapuuzia kuzungumzia miji na majimbo ya mashariki ambayo jeshi la Urusi likisaidiana na wanamgabo wamefanikiwa kuyateka.
hz taarifa zako uliambiwa na nani pale klemlin ?
 
Yaani hao jamaa nnawashangaa sana unakuta mada inazungumzia kitu kingineee lakini hawasikii Raha bila kutaja uislam halafu huwezi kumkuta muislam anaukashifu ukristo na ndio maana wanaambiwa wasile nguruwe wanaminyoo Ile minyoo ikishaingia kwenye ubongo ndio akili zinakuwa hvyo
sorry kukuita mpuuz , kama haujaishi mikoa ya pwani bas krb ujionee , watu tunawastili tu
 
Back
Top Bottom