Wanajeshi wa Ukraine waelekea kukomboa mji wa Kherson unaokaliwa na Urusi

Wanajeshi wa Ukraine waelekea kukomboa mji wa Kherson unaokaliwa na Urusi

Javelin we zisikie tu

Mbona siku hizi hasikiki na sijui ziliishia wapi - kitu kingine ambacho media za magharibi uwa hawakisemi ni hiki: linapo kuja suala la silaha yenye uwezo mkubwa Duniani dhidi ya vifaru (ATGM) hata ambavyo vina protective layers - silaha yenyewe uwezo mkubwa ni inayo undwa Urusi type Kornet-EM 9M133 hilo uwa hasilisemwi kabisa na media za magharibi.
 
Vipi Kherson bado tu au iko mikononi mwa Ukraine??
Screenshot_2022-09-14-07-58-42-45.jpg
 
Mbona siku hizi hasikiki na sijui ziliishia wapi - kitu kingine ambacho media za magharibi uwa hawakisemi ni hiki: linapo kuja suala la silaha yenye uwezo mkubwa Duniani dhidi ya vifaru (ATGM) hata ambavyo vina protective layers - silaha yenyewe uwezo mkubwa ni inayo undwa Urusi type Kornet-EM 9M133 hilo uwa hasilisemwi kabisa na media za magharibi.
Mkuu sisi kwa sasa tunaangalia kinachoendelea Ukraine na huu ndiyo uhalisia wenyewe.Uzuri hii ramani imeletwa na Al Jazeera na wala siyo zile 'propaganda za Magharibi'. Mkuu Morogoro kaskazini nimeamua kuchukua jukumu lako la kuleta update ya ramani
JamiiForums-440920656.jpg
 
Uncle Putin inabidi akubali kakosea mahali....ajipange upya.
Bado nina imani na yeye.
 
Mbona siku hizi hasikiki na sijui ziliishia wapi - kitu kingine ambacho media za magharibi uwa hawakisemi ni hiki: linapo kuja suala la silaha yenye uwezo mkubwa Duniani dhidi ya vifaru (ATGM) hata ambavyo vina protective layers - silaha yenyewe uwezo mkubwa ni inayo undwa Urusi type Kornet-EM 9M133 hilo uwa hasilisemwi kabisa na media za magharibi.
Javelin ilikuwa special kwa ule msafara uliokuwa unaelekea kiyv

Sasa hv yupo baba lao HIMARS [emoji1787]
 
sorry kukuita mpuuz , kama haujaishi mikoa ya pwani bas krb ujionee , watu tunawastili tu
Pwani kuna nini? Kama kula nguruwe mbona huku dar wavaa kobaz wanaipiga sana.
 
Mkuu,kila mtu mwenye akili timamu anajua Urusi ni maji marefu - Ukraine na hayo mataifa 26 yanayo msaidia Zelensky yanatwanga maji kwenye kinu, bado Urusi itatimiza malengo yake iliyo jipangia huko Ukraine no matter what - na Putin alisha sema kama Merikani inataka kujiingiza moja kwa moja kwenye vita/mgogoro huu waje tu, tutajua jinsi ya ku-deal nao summarily - wenye akili wanajua Putin hatanii hata kidogo - hata kawa kujiingiza kwao kunaweza kusababisha WW3 Warusi wako tayari kwa lolote na watawashinda US na genge lake for the sake of the World's ever lasting peace - the entire World banks on Tzar Putin efforts to contain the most World hegemonic DEMON anaye fikiri ana hati miliki ya kuitawala Dunia na kufanya apendalo bila ya kuhojiwa na mtu - vita hii ya Ukraine ndio vitakuwa chanzo cha ku-witness the beginning of the end of Unipolar World.
Una taarifa za leo? Angalia ramani uone maeneo yaliyokombolewa kwa wiki moja ukomenti tena
 
Back
Top Bottom