Wanajeshi wa Ukraine waelekea kukomboa mji wa Kherson unaokaliwa na Urusi

vitu vingine unajitungia mwenyew hakuna media ya west imewai sema Ukraine inashinda vita , teamPutin huwa wana kamtindio ka ubongo , media ikitangaza mafanikio madogo ya silaha au kusonga mbele sehem fulan bas teamKobaz mnanuna mnadai wamesema Ukraine imeshinda vita , hv km hakuna sehem Ukraine imefanikiwa si Urusi angekuwa kaiteka Ukraine nzima mpk ss hv ? ukiona Urusi ilitoka Kyiev inamaana hali sio nzur kwake
 
Uislamu siyo adui yako, adui yako Ni ushoga,ulevi, uzembe ,uvivu etc
kisa vinachinja watu ? mm silew sio shoga wala sio mvivu ss yananihusu vip mamb ya shoga au mlev au mvivu tukifanana wote hatutokuwa tofaut na mbuz , utofaut wetu ndo uzur wetu , muheshimu kila mtu na mfumo wake wa maisha kikubwa hakuingilii kweny anga zako pia
 
Duh....comment ya ajabu kabisa.,Kila siku maeneo ya Ukraine yanachukuliwa halafu wewe unasema Russia haijafanya kitu....yaani mpaka ichukuliwe Kiev ndipo useme hapo Ukraine imeshindwa?! Hizo media za West zinawaghilibu mno aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…