Wanajeshi wa Ukraine waelekea kukomboa mji wa Kherson unaokaliwa na Urusi

Javelin we zisikie tu

Mbona siku hizi hasikiki na sijui ziliishia wapi - kitu kingine ambacho media za magharibi uwa hawakisemi ni hiki: linapo kuja suala la silaha yenye uwezo mkubwa Duniani dhidi ya vifaru (ATGM) hata ambavyo vina protective layers - silaha yenyewe uwezo mkubwa ni inayo undwa Urusi type Kornet-EM 9M133 hilo uwa hasilisemwi kabisa na media za magharibi.
 
Mkuu sisi kwa sasa tunaangalia kinachoendelea Ukraine na huu ndiyo uhalisia wenyewe.Uzuri hii ramani imeletwa na Al Jazeera na wala siyo zile 'propaganda za Magharibi'. Mkuu Morogoro kaskazini nimeamua kuchukua jukumu lako la kuleta update ya ramani
 
Uncle Putin inabidi akubali kakosea mahali....ajipange upya.
Bado nina imani na yeye.
 
Javelin ilikuwa special kwa ule msafara uliokuwa unaelekea kiyv

Sasa hv yupo baba lao HIMARS [emoji1787]
 
sorry kukuita mpuuz , kama haujaishi mikoa ya pwani bas krb ujionee , watu tunawastili tu
Pwani kuna nini? Kama kula nguruwe mbona huku dar wavaa kobaz wanaipiga sana.
 
Una taarifa za leo? Angalia ramani uone maeneo yaliyokombolewa kwa wiki moja ukomenti tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…