Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

CPA

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
809
Reaction score
354
Commanding post ya Jeshi la ukraine mjini kyieve yenye wanajeshi wengi maafisa yajisalimisha kwa majeshi ya urusi. Wanajeshi hao 61, wamepatiwa huduma muhimu, kama chakula na matibabu toka kwa jeshi la urussi. Inasemekana wamejisalimisha baada ya kuishiwa chakula, risasi na siraha, hii ni moja ya muondelezo wa mafanikio wanayopata Urussi siku hizi mbili baada ya hapo mwanzo kuzidiwa na kurudi kujipanga upya.

Jeshi la Russia limejikita zaidi kushambulia ghala za siraha, reserve za mafuta na commanding post za ukraine.
🇷🇺 Russian servicemen have taken control of a command post of the Ukrainian Armed Forces Nikolaevka on Kiev outskirts. 61 Ukrainian servicemen of the command post voluntarily surrendered, more than half of them senior officers of the Ukrainian Armed Forces.

▫️The servicemen laid down their arms en masse due to an acute shortage of supplies, ammunition and food.

▫️All servicemen who had laid down their weapons were evacuated from the combat zone and, if necessary, medical assistance was provided to them. All Ukrainian servicemen were also provided with food.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Propaganda

SmartSelect_20220327-061125_Chrome.jpg
 
Mwishowe hata Zelensky atajisalimisha. Warusi walipanga vyema mwendo wa kuimaliza Ukraine kwa kuiteka bandari ya Mariupol ambayo ndiyo njia kuu ya kuingiza bidhaa Ukraine. Akichoma moto maghala ya silaha, chakula na mafuta miji mingine Kiyv bila kuporomoshwa majengo yake itakuwa imeisha,
 
Tim Nato Uzi Kama Huu Wanapita Kimya Kimya [emoji16][emoji16]
Wafate nini, na kila siku si huwa unawaambia pro USA na EU kuwa "Ukraine inahitaji chakula lakini NATO huwa wanawapelekea silaha tu na askari wa kujitolea toka Canada" [emoji848]

Sasa leo wazo lako limethibitika ulikuwa unatumia medulla oblongata vizuri sana kuliko wapambe wa USA na EU [emoji16]
 
Hii vita propaganda nyingi na watu wengi washekuwa brainwashed, na leo shehena za siraha zimepokelewa Ukraine. Kunawatu wanachochea hii vita isiishe. Sasa dunia imekuwa vipande 2 pro Russia na Pro Ukraine (NATO)
Naona ni kama vile hii vita USA na EU wanapigana na RUSSIA kupitia uwanja wa nchi ya UKRAINE sababu kwanini waisaidie silaha za maangamizi nakati UKRAINE alikuwa bado hajajiunga na NATO [emoji848]
 
Habari kama hii huwezi kuiona CNN, BBC, DW et al.,

Huko utaambiwa wanajeshi 30000 wa urusi wamekufa (yani wanatuona sisi ni wapumbavu).
Mataira sana hayo mazee ya propaganda, mara Askari 40, 000 wa Russia wameuwawa, hata kwa akili ya Mtoto mdogo hawezi kuamini huo ujinga.

Lakini Russia ikitoa taarifa huwa haina ukakasi wowote wa propaganda maana inahitaji kushinda vita kivitendo wala si kimaneno kama hayo mabeberu ya magharibi
 
Back
Top Bottom