Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

Hata Warusi wanasaidiwa na mamluki wengi kutoka Syria, Belarus, Chechnya, nk.

Hao mamluki wana power kuliko NATO [emoji23][emoji16][emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao ni warusi hata huelewi, chezea Russians wewe. Unafahamu ni kwa nini Putin amepiga marufuku vyombo vya habari vya Russia kutangaza habari za uvamizi wake, hata swali dogo tu hilo unashindwa kujiuliza.
Kama ambavyo western wamefungia media za RUSSIA
au hili swali kubwa kwenu
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Propaganda
[https://res]

Jiji la Lviv, lililokumbwa na mashambulizi kadhaa ya Urusi, kulingana na gavana wa mkoa huo, saa chache baada ya Moscow kutangaza uamuzi wake wa kutaka "kuikomboa Donbass", Jumamosi Machi 26, 2022. [emoji2398] Nariman El-Mofty / AP

Urusi imeanza "operesheni yake ya kijeshi", iliyoelezewa kama vita na mataifa mengi ya kigeni, siku 31 sasa. Jumamosi hii, Machi 26, Rais wa Marekani Joe Biden anaendelea na ziara yake barani Ulaya, huku jeshi la Urusi likilazimika kutia kambi na kuendeleza mashambulizi yake mashariki mwa Ukraine, kulingana na maneno yake yenyewe.

Emmanuel Macron, rais wa Ufaransa, kwa upande wake amesema kuwa "zoezi la kipekee la kiutu" linatayarishwa, pamoja na Uturuki na Ugiriki, kuwahamisha raia kutoka mji wa Mariupol unaozingirwa na jeshi la Urusi. Zoezi hili linapaswa kufanyika katika siku chache zijazo. Rais Macron pia amesema kuwa atakuwa na "mazungumzo mapya" na Vladimir Putin, Rais wa Urusi, "ndani ya saa 48 hadi 72".

Vikosi vya Kyiv vimeanzisha mashambulizi dhidi ya mji wa Kherson. Afisa mkuu wa Pentagon anathibitisha hili. "Hatuwezi kusema ni nani hasa anayedhibiti Kherson, lakini ukweli ni kwamba jiji hilo haliko chini ya udhibiti wa Urusi kama hapo awali. "

Katika hatua nyingine Rais wa Marekani Joe Biden amewasili Poland. Ametembelea jeshi la Marekani lililoko nchini humo. Hii ni hatua ya pili baada ya ziara yake mjini Brussels, iliyolenga kuimarisha umoja wa nchi za Magharibi dhidi ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, katika nyanja ya kidiplomasia na kiuchumi.Rais

Biden amekutana na mawaziri wawili wa Ukraine nchini Poland kuonesha uungaji mkono wa Washington kwa serikali mjini Kyiv wakati Urusi ikiashiria kwamba inaweza kupunguza malengo yake ya kivita nchini Ukraine. Kulingana na wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani, mkutano huo kati ya Biden na mawaziri wa mambo ya nchi za nje na ulinzi wa Ukraine ulijikita kwenye kusisitiza dhamira ya Marekani katika kutetea uhuru na hadhi ya mipaka ya Ukraine.
 
Wanajeshi wa ukraine washinde vita halafu wajisalimishe.
Watu wenye vicha vya piliton acheni uongo.

... kuna watu wa ajabu sana humu Mkuu!

Taarifa toka Ukraine...naona mashambulizi ya anga ya Urusi yamezidi..Rais Zelensky anaomba msaada wa ndege vita na tanks...hii imekusa siku moja baada ya mashambulizi ya yaliyofanya na Russia kwenye Air defence system za Ukraini. Hata hivyo slovania imepelekea S300 ukraine ili iweze kupambana na makombora ya masafa marefu na mafupi ya Russia. S300 inatengenezwa Russia, Jini anatumwa akapambane na Master wake

Screenshot_20220327-122526_Twitter.jpg

Screenshot_20220327-122539_Twitter.jpg

Screenshot_20220327-122526_Twitter.jpg
 
Propaganda

Zelenskiy asks the West if scared of Russia

Sun, March 27, 2022, 3:27 PM

STORY: A visibly irritated Ukrainian president demanded late on Saturday (March 26) that Western nations give him tanks, planes and missile defence systems.
Volodymyr Zelenskiy said he wanted only a fraction of military hardware held in stockpiles - and questioned whether NATO was scared of Moscow.
"Only 1% of all NATO aircraft and 1% of all NATO tanks - 1% ! We did not ask for more, and we do not ask for more. And we have already been waiting for 31 days! So who is running the Euro-Atlantic community? Is it still Moscow, because of threats?”
 
Tim Nato Uzi Kama Huu Wanapita Kimya Kimya [emoji16][emoji16]

Jamaa kawashtukia nato hawana msaada kwake ameona ni bora awachane mazima
 
Hata Warusi wanasaidiwa na mamluki wengi kutoka Syria, Belarus, Chechnya, nk.

Chechen ni mkoa ndani ya Urusi.
 
Russia wanahaki zote za kutumia siraha zao watakavyo hata kama itaigharimu dunia,

Kutumia silaha na kukenua si tofauti mkuu?

Ungekuwa umejikita kwenye maswali si ungekuwa umejitendea haki sana mkuu?
 
Back
Top Bottom