Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

Propaganda hizi sasa
 
Lakini Russia ikitoa taarifa huwa haina ukakasi wowote wa propaganda maana inahitaji kushinda vita kivitendo wala si kimaneno kama hayo mabeberu ya magharibi
Duh!
NI kama useme TBC haifanyi propaganda.
Kule Russia kuna propaganda za kutisha.. Warusi wasio na access kwa vyombo huru vya habari vya nje hawajui kinachoendelea!
 
Dunia mpaka sasa hivi imeshajua wazi..kwamba hii vita Russia anapigana Marekani/Nato,tangu tulipoambiwa wanajeshi wa kujitolea wanaenda Ukraine kupigana dhidi ya Russia,yani Nato wakapeleka watu wao pamoja silaha..kwa upande wa Propaganda Juzi Serikali Uingereza Wameipatia shirika lao Propaganda BBC wazidi kudanganya ulimwengu kinaochoendelea kwenye battle ground!!
 
picha?
 
...tangu tulipoambiwa wanajeshi wa kujitolea wanaenda Ukraine kupigana dhidi ya Russia,yani Nato wakapeleka watu wao pamoja silaha..
Hata Warusi wanasaidiwa na mamluki wengi kutoka Syria, Belarus, Chechnya, nk.


 
Hii vita propaganda nyingi na watu wengi washekuwa brainwashed, na leo shehena za siraha zimepokelewa Ukraine. Kunawatu wanachochea hii vita isiishe. Sasa dunia imekuwa vipande 2 pro Russia na Pro Ukraine (NATO)
Watu sampuli yako ndio wanaeneza taarifa hewa kwamba kuna wanajeshi wa Ukraine eti wamejisalimisha kwa warussia mbona wanajeshi wa Russia wanapopora supermarkets na kuiba vyakula hamsemi.
 
Watashinda mwaka gani halafu nini kilimkuta Sergei Shoigu.
 
Kwamba jana wamepelekewa silaha na Ujerumani leo wanajisalimisha?

Unaweza pata uchizi kujaribu kuendana na kasi ya taarifa ya hii vita
Mimi nashangaa, dunia nzima inapigana na Urusi peke yake bila mafanikio. Silaha na vifaa vingine vya kivita vinapelekwa Ukraine toka NATO lakini wapi, Warusi wanaendelea kuteka miji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…