Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

warussi wanakula kichapo uko kherson kina waumiza mpaka hawa warussi wetu wa mchamba wima mabonde kuinama mabwepande mpijimagohe bom-bom kijiwe Samli mkuranga kibiti bila kuwasahau wale wa kwa mtogole na bi nyau habari za kipigo zime wafikia
[emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo Afghanistan usisahau pia Russia alishachakazwa akapakimbia kama nj swala la Historia.Unaongelea vita ya zaidi ya miaka 40 huko wakati tuko sasa hivi na Superpower anatolewa jasho na underdog pamoja na makeke yote yale ya Putin kabla ya Vita.
 
Hapo Afghanistan usisahau pia Russia alishachakazwa akapakimbia kama nj swala la Historia.Unaongelea vita ya zaidi ya miaka 40 huko wakati tuko sasa hivi na Superpower anatolewa jasho na underdog pamoja na makeke yote yale ya Putin kabla ya Vita.

Hujajibu swali,narudia tena,je,kuondoka kwa majeshi ya USA huko VietNam na Afghanistan was it in orderly manner or not?? Kwani tatizo liko wapi?? tafuteni video clips na picha kutoka kwenye archives za Utube mjionee wenyewe yaliyo tokea.

Sasa tuje kwenye suala la majeshi ya Urusi kuondoka huko Afghanistan, kitu cha kwanza yaliagwa na utawala WA Najibura, tuliwaona akina mama wamejipanga barabarani mjini Kabul wakiwagawia wanajeshi wa Urusi maua, mikate na chumvi na kupeana mikono wakati wanajeshi wa Russia walipo kuwa wanaondoka - waliondoka Afghanistan kistaarabu sana - tofauti na jinsi majeshi ya US yalivyo ondoka huko Afghanistan na VietNam ushahidi tunao.
 
ia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani.

Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu
Ungetupia na ka picha ka kanzu na BARAKA-SHIA ya kijeshi ingenoga zaidi; mweeeeee
 
Mwamba ameahidi kusaidia
 
rudi kweny mada kuu , hizo story zko fungua post yako
 
Asante kwa mipasho.kama ningekuuliza hili swali 29/2/ basi hii insha ungechambia mwenyewe muda huuu mnafirimbwa huko mmeanza kubadili maneno.
Mlifata nn Kiev?
Kutest zali eeeh !.
 
Case ya us na Vietcong ni sawa kabisa na Ukraine na Russsiakimba.
Huwezi kuvamia nchi ya watu ukidai et unakuja kuwatetea sijui.wataungana na kukufurumusha kwa aibu na hasara.
Mpuuzi putooo ni fala wa Karne ya sasa.
 
Umesahau hoja ya ushoga. Au mwalimu wenu kasema usitumie tena
 
Ungekuwa walao umewahi kupitia jeshini "decoy tacticts" wouldn't have sounded Greek to you - need I clarify any further?
Wewe hujaenda jeshini Wala nn.ni mjinga mjinga upo kwenye kijiwe chini ya nguzo ya umeme.mnadanganyana eeeeh ile kwenda Kiev ni decoy.
Mkifurumushwa kheson na mariuopol tutakuuliza tena utasema decoy ya ushuzi.
Lala upewe chai,ukapige umbea kijiweni tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…