min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Pesa mzee😂Shida ni kuwa ubaguzi ni ishara ya chuki... jamaa wanatumiwa kama ngao tu, wanawekwa front-line kwenye mashambulizi na ndio maana ya disposable
Pesa mzee😂Shida ni kuwa ubaguzi ni ishara ya chuki... jamaa wanatumiwa kama ngao tu, wanawekwa front-line kwenye mashambulizi na ndio maana ya disposable
Hapo ni pesa katika kifo... unaweza kukuta wamekufa bure tu, kwanza vita mpaka leo bado haijaisha... unaweza kuta wamekufa na familia zao hazikupata kitu yule mtanzania Nemes Tarimo alikufa vitani huko Ukraine akipigania urusiKwani ukiitwa nyani na ukaitikia unakufa????
Hapo nyani wamechagua pesa ubaguzi hautawez kuisha
Na wengi wamekufa bila hata familia zao kujua.... vita yenyewe inapigwa sasa ni miaka 4 kama si 5... Urusi haiwezi kukulipa vizuri uchumi umeporomoka kisa vita... wanafinya bajetiKama huko Kwao wakuu wao wanaingiziwa bilioni chap bila sababu ya yeye anauwezo wa kwenda kuitafuta yake ya kihalali anaachaje? Wajanja wengi wamekimbia shithole countries
Ndo maana wanawashwaga kama ng'ombe mbele ya mstari wa mapambano wakafyekwe maana ni takataka tu.Ngozi nyeupe wanabagua sana... imagine hao wazee ni wanajeshi wameenda kusaidia tu hao warusi kushinda ila bado wanabaguliwa
Propaganda tu za mtandaoni...angeongea Vladimir Putin hapo sawa...ameongea mwnaajeshi ambaye Hana influence yoyote Ile ni sawa sawa tu na angesema nawachukia warusi wenye matako makubwa...huo unakua sio msimamo wa Putin Bali ni WA mtu binafsi na hulka zake...Propaganda ya nani sasa.... kama huamini fanya transcript upate text, kisha uitafsiri kwa Kiingereza, mimi nimefanya transcription kisha nikaitafsiri kwa Kiingereza kutoka Kirusi nikaona kweli jamaa anawaita Takataka za kutupa "Disposable"
Na WaRusi wanaweza kuwafyeka vita ikiisha ili waonekane walifia Vitani ili wasilipwe.Na wengi wamekufa bila hata familia zao kujua.... vita yenyewe inapigwa sasa ni miaka 4 kama si 5... Urusi haiwezi kukulipa vizuri uchumi umeporomoka kisa vita... wanafinya bajeti
Alichosema huyo Mrusi ni kitu kinachoaksi mitazamo ya Warusi wengi... Vladimir au kiongozi mkubwa hawezi kusema hivyo kwa sababu ya image yake kiutawala na kuendelea kuzishawishi nchi maskini... lakini moyoni uenda ndio anavyowaona hao Waafrika walioenda vitani na ndio maana wanawekwa Frontline vitani... uwezi kuelewa hizi mambo vitaniPropaganda tu za mtandaoni...angeongea Vladimir Putin hapo sawa...ameongea mwnaajeshi ambaye Hana influence yoyote Ile ni sawa sawa tu na angesema nawachukia warusi wenye matako makubwa...huo unakua sio msimamo wa Putin Bali ni WA mtu binafsi na hulka zake...
Acha kaka zetu wa bet Mengine yatajulika huko mbeleHapo ni pesa katika kifo... unaweza kukuta wamekufa bure tu, kwanza vita mpaka leo bado haijaisha... unaweza kuta wamekufa na familia zao hazikupata kitu yule mtanzania Nemes Tarimo alikufa vitani huko Ukraine akipigania urusi
Taifa gani la Africa limepeleka Wanajeshi wake Ukraine?Moja ya jambo linalotembea mtandaoni ni video inayoonesha Wanajeshi wa Kirusi waliokuwa vitani Ukreni wakiwa wameketi na Wanajeshi wa Afrika, Porini katika baridi kali. Huku Wanajeshi hao wa Kiafrika wakiwa wanaimba nyimbo za Kiswahili zenye kiitikio cha "Moto unawaka" ambacho ni kiashiria kuwa wanatoka katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Wengine wakidai hao ni Watanzania, wengine wakisema hao ni Wakenya. Lakini wengine wanasema wakenya wamefungana na Wamarekani sana, ni ngumu Wanajeshi wao kujiunga na Warusi wakati Marekani iko upande wa Ukrein.
Tanzania kwa ukanda huu ndio nchi inayofungamana na Urusi kiitikadi hasa Ujamaa. Na Kiswahili kwenye hiyo nyimbo ni cha kitanzania zaidi, hata rafudhi ukisikia.
Video hii imehudhunisha Waafrika wengi baada ya Mrusi mmoja akisikika akisema kwa Kirusi badae kutafsiri kwa Kiingereza kuwa Wanajeshi hao wa Kiafrika ni Disposable, neno linalotafsirika kama Takataka au kitu cha kutumiwa na kutupwa.
Inaonekana kuwa Waafrika hao ndio watakuwa mstari wa mbele (Frontline) kwenye mapambano hayo, huku warusi wakija kwa nyuma.
Wasingekuwa takataka kwenye vita ya wenzao wangefuata nini?Moja ya jambo linalotembea mtandaoni ni video inayoonesha Wanajeshi wa Kirusi waliokuwa vitani Ukreni wakiwa wameketi na Wanajeshi wa Afrika, Porini katika baridi kali. Huku Wanajeshi hao wa Kiafrika wakiwa wanaimba nyimbo za Kiswahili zenye kiitikio cha "Moto unawaka" ambacho ni kiashiria kuwa wanatoka katika ukanda wa Afrika Mashariki.