Wanajeshi wa Urusi wawaita Wanajeshi wa Afrika "Takataka" wakiwa wote vitani Ukrein

Shida ni kuwa ubaguzi ni ishara ya chuki... jamaa wanatumiwa kama ngao tu, wanawekwa front-line kwenye mashambulizi na ndio maana ya disposable
Pesa mzee😂
 
Kwani ukiitwa nyani na ukaitikia unakufa????
Hapo nyani wamechagua pesa ubaguzi hautawez kuisha
Hapo ni pesa katika kifo... unaweza kukuta wamekufa bure tu, kwanza vita mpaka leo bado haijaisha... unaweza kuta wamekufa na familia zao hazikupata kitu yule mtanzania Nemes Tarimo alikufa vitani huko Ukraine akipigania urusi
 
Kama huko Kwao wakuu wao wanaingiziwa bilioni chap bila sababu ya yeye anauwezo wa kwenda kuitafuta yake ya kihalali anaachaje? Wajanja wengi wamekimbia shithole countries
Na wengi wamekufa bila hata familia zao kujua.... vita yenyewe inapigwa sasa ni miaka 4 kama si 5... Urusi haiwezi kukulipa vizuri uchumi umeporomoka kisa vita... wanafinya bajeti
 
Propaganda ya nani sasa.... kama huamini fanya transcript upate text, kisha uitafsiri kwa Kiingereza, mimi nimefanya transcription kisha nikaitafsiri kwa Kiingereza kutoka Kirusi nikaona kweli jamaa anawaita Takataka za kutupa "Disposable"
Propaganda tu za mtandaoni...angeongea Vladimir Putin hapo sawa...ameongea mwnaajeshi ambaye Hana influence yoyote Ile ni sawa sawa tu na angesema nawachukia warusi wenye matako makubwa...huo unakua sio msimamo wa Putin Bali ni WA mtu binafsi na hulka zake...
 
Na wengi wamekufa bila hata familia zao kujua.... vita yenyewe inapigwa sasa ni miaka 4 kama si 5... Urusi haiwezi kukulipa vizuri uchumi umeporomoka kisa vita... wanafinya bajeti
Na WaRusi wanaweza kuwafyeka vita ikiisha ili waonekane walifia Vitani ili wasilipwe.
 
Alichosema huyo Mrusi ni kitu kinachoaksi mitazamo ya Warusi wengi... Vladimir au kiongozi mkubwa hawezi kusema hivyo kwa sababu ya image yake kiutawala na kuendelea kuzishawishi nchi maskini... lakini moyoni uenda ndio anavyowaona hao Waafrika walioenda vitani na ndio maana wanawekwa Frontline vitani... uwezi kuelewa hizi mambo vitani

Hao warusi kusema hivyo sio kwamba wameropoka tu, ni wanajua hao Waafrika kazi yao ni kutumika kushinda vita tu hasa kuwa front-line
 
Wanaume wanapambana kiukweli. Kuitwa disposable Haina tofauti na huku Afrika mhindi akikuita ng'ombe. Pambaneni wazee watoto waendelee chooni
 
Hapo ni pesa katika kifo... unaweza kukuta wamekufa bure tu, kwanza vita mpaka leo bado haijaisha... unaweza kuta wamekufa na familia zao hazikupata kitu yule mtanzania Nemes Tarimo alikufa vitani huko Ukraine akipigania urusi
Acha kaka zetu wa bet Mengine yatajulika huko mbele
 
Taifa gani la Africa limepeleka Wanajeshi wake Ukraine?
 
Huenda wako huko urusi kwa mafunzo ya kivita front line. Kwani wanafunzi wanajeshi hufanyia wapi field? Ni hukohuko kwenye nchi zenye vita. Ukipona poa tu na ukifia mazoezini ndio imetoka hiyo
 
Wasingekuwa takataka kwenye vita ya wenzao wangefuata nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…